Stop dating mentally broke girls

Stop dating mentally broke girls

Hahahahaha!! Sasa mbona unaniwish good night wakati ndio kwanza tumeanza foreplay tena! I never said its not my responsibility to take care of your broke ass, the issue on the table is are you mentally aware its just a favor to do so? Msitake kutuendesha kama magari ya mkaa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Goodmorning.

Who told u that my ass is broke[emoji23]
Kima weee[emoji28][emoji28]... hizo basic needs ndo mtoe hela. Ebooo. Unataka kila hela nikutolee maelezo wewe ni bwana jela? Give me freedom. Nyie ndo wale wake zenu wanaliwa na gardeners, shamba boys, wapaka rangi etc. Mnafikiri kumbana sana mkeo kwa kila kitu ndo kumuweza?
 
Na dildo ambazo zenyew haina kelele wala lawama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata tukisema wanawake ombaomba wote waache kutoa mbususu na wahamie kwenye dildos,bando watakaoumia ni haohao maana najua hawawezi pata nguvu ya kujisukumia dildo bila kula,na kula yao ni uombaomba wao.
 
Mi nikimwona mwanaume anaemention birthday party sijui namwonaje? Aisee
 
Mi nikimwona mwanaume anaemention birthday party sijui namwonaje? Aisee
Shida ni mazingira uliyokulia dada-angu, unakuta haujawahi kufanyiwa party yoyote tangu uzaliwe hivyo hauwezi kulipa uzito swala la birthday.
 
Nilidhani nimetenda kosa kubwa, ila kwa uzi huu kumbe niko sawa.
 
Aseee for the gentlemen, if you call her for dinner she should clear her own bills, make sure that is must, shall not be you're duty to clear her bills.
 
Utakufa na genye zako mzee wa kaz...
Just do the minimum and leave them alone , unless you dating to marry
REALLY????? you mean there is no financially stable ladies out there who have something to add me, came on man, maybe you are just used to dating these broke girls, not me
 
Mwamba hii kitu ya omo umemwaga hapa si mchezo. Relax man! ladies are flowers acha tuwahudumie. They were born to be taken care of. Ni fahari kwa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake jombi na ndio inakupa confidence ya kiuanaume.

Tafuta hela mdogo wangu uache kupingana na necha. Nguvu unazotumia kupingana na necha ungetumia kutafuta mpunga mkuu, necha hautaiweza nakuhakikishia.

Dah! aisee ila umeenda mbali sana mkuu, unalinganisha kuletewa valentine's gift na girl mkuu ndio na wewe umpe? Usifike huko kamanda please.
In which world do you live, i dont mean physical world, i mean mental world????
 
Thanks sooo much sir for nailing it, saying it as is, for any inteliigent man, any man who really knows what he needs in life, any man who is a visionaly, before he approaches a lady, he must have done survey, and found that this lady fits in my plans, aims and purposes.such a lady must be an asset to the man and not a liability,its that kind of a girl that cames with ideas, you put them together with yours and you both make strides in life,its such girls who aslo beleives that a lady should aslo contribute in one way or another in life, its such a girl who you tell her you want to invest in plots and later build and asks you in which areas, how much are the plots and she cames with a better area and better financing plans,its such girl you take her out for dinner and next month she suprises you with a weekend huko zanzibar, hao wa kusema unajua simu yangu bovu ukinikosa hewani kesho jua sababu, ndio umununulie ingine, je kaa hamzngekutana, ndio wale wanasema mama mgojwa naomba nauli, ndio wale dada ako na arusi na sina hela ya sare, siumwambie dada yako akununulie sale, anyway birds of the same feathers flock together, i can tell you who you are by the type of girl or man you are dating.
 
Ila me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Nina manz ambaye ni best yangu sana now japo natafta mbinu nimtafune kimasihara ila huwa ananiambia hivyo hivyo kuwa anaombaga hela kwa mtu asiye na hisia nae just to cut him off! Au anakula offer zako za out na tunda hakupi ila anayempenda wala hamsumbui hata kidogo so huenda hili ni la kweli maana nimeyasikia kwa manzi kabisa!
 
Pia siafiki maoni yako mkuu, wewe utakuwa unatoka na hawa kina Mwajuma ndala ndefu wa uswahilini, hana chochote cha kumuingizia kipato zaidi ya mwili wake

Akiamka asubuhi anakuwa yupo kibarazani kupiga umbea na kina Asha Ngedele, au sijui aende kwenye kigodoro huyu lazima umuhudimie tu tena kwa 100%

Ila upate mdada wa kishua ana biashara yake safiii ana usafiri wake utaona kama anashobo na vi mia mia vyako! Dunia inaenda kasi siku hizi wadada tegemezi wanapungua kwa kasi sana hasa wanaojielewa hawataki kutegemea kabisa

Kwanza mimi mdada wa kunitegemea kila kitu simtaki maana ikitokea nimedrop kidogo atategemea kwingine
Ukisema hivi wanakuona hutaki kuhudumia ila kimsingi hamna mtu anayependa kuelemewa na matatizo ya mtu mwengine bana! Msaada unatoa ila ifike mahala anaepewa msaada aache kuomba kila kitu.

Tatizo wanawake wao wanajihesabiaga haki kuwa lazma wapewe hawa ndio wanachosha zaidi. Unakuta kibaya zaidi hata kuitafuta sh.100 mbovu hawezi
 
N

Sidhani kama kuna mwanaume anaempenda kwa dhati mwanamke wake,alafu akashindwa kumhudumia kwa mahitaji yake ya lazima unless awe hana kabisa hela.
Shida inakuja pale ambapo wewe mwanaume unawaza kuwekeza ila mwanamke wako anakuja na mawazo ya kufuja pesa tu bila sababu za msingi.

Mwanamke ambaye baada ya kutimiza mahitaji yote ya familia na ukaamua kumpa 300k leo za matumizi yake binafsi, baada ya wiki anataka tene100k😅 za kutumiatumia yeye pekeake,mwanamke ambaye ukiwaza kujenga anaona bora muendelee kupanga.Sasa hapo eti ndo ukute unapambana na biashara,unawaza kuwa na watoto bado nyumbani kwenu mama yako anakutegemea utakubali tu.
Wale wa baby rafiki yangu ana birthday halafu sina viwalo kabisa af nywele zangu zimechakaa yani 😜 sijui unansaidiaje mpenz wangu.

Yani simu hii ya android inanisumbua sana Fredy nifanyie mpango basi baby wangu ningepata walau iphone 11 pro ni nzuri ile naipenda.

Yani kodi yangu inaisha sijui hata nafanyaje mpenzi wangu!

Hapo ndugu Fredy una mshahara wa laki 4 tu kwa mwezi na viposho ndio vinakusogeza sogeza! Unategemea review zitakuaje?
 
miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?

Kwamba usifanye chochote kuchangia kiuchumi, mimi na mke wangu tukitoka tunajitambulisha kama family sisemi mr fulani na ua langu, na ninajisikia fahari naamin hata siku ikitokea sipo duniani kina Sumayi na Susana wataishi hawataenda kusumbua ndugu zangu coz mama yao nae ni mpambanaji

Harafu sisi tumezaliwa wakiume watano wakike wawili na bahati nzuri au mbaya wakike walipangana mwishoni, baba mwalimu mama nesi na hatukuwa na beki tatu kazi zote sisi kudeki, kupika tumekulia kijijini mara moja moja kipindi mzee anaishi nyumba ya shule kuni na maji tuliletewa na wanafunzi ila alipohama tulifuata sisi kuni porini (kama umewahi kuishi Geita utakuwa unapajua Kasamwa kuna pori la mkangala ) umbali kama km 6 kutoka home

Umetoka homu saa 12 asubuhi kurudi saa 8 mchana, unafika kupika, uoshe vyombo ufue nguo zako

Harafu unaleta story za kazi za nyumbani wewe? Chamsingi ni kufanya kazi kwa ushilikiano, yaani nyie wadada mnazidiwa mpaka na wanyama ndege jike anachangia ujenzi wa nyumba hakai tu kusubiri dume lifanye

Mnaleta u slay queen kwenye hamna, kwamba kama una kikazi kinakuingizia eti za kwako za nani ndo za wote? Tumeungana ili iweje unizalie? kwani siwezi kupata watoto bila ndoa? sipati tendo bila ndoa? nimekuoa unisaidie sio unipe stress

Una bahati upo mbali wewe hiiiiiiiii ningekutwanga mkofi nikulipe
Mie pia nashukuru nature ya mwanamke niliye naye hanilazimu kumpa hela kila wakati japo akiniomba nampatia ila ni very independent, ananiombaga kwa security checks tu au kuniinjoy tu thus why hata siwazagi! Huwa nashangaa sana wanawake wanaolilia kupewa hela kila mda na kila jambo anaomba hela kama vile ni lazima iwe hivyo!

Anafanya vibiashara vyake akishirikiana na dada yake kuji manage mwenyewe sema mchumi sana sio mfujaji wala slay queen ila kukwambia mme wangu nina million na nusu hii nimevunja kikoba tufanye jambo gani hizi ndio zake 😅😅😅 na hapo ndipo napompendea na kujisemea asante mungu kwa huyu mwanamke uliyenipa.

Saa zingine linatokea dili buh bah linataka hela ya fasta kufanikisha nambonyeza mama nijazie M hapa nimalize ishu flani mezani nivute hela anakurekebishia.

Naamini hii ndio maana halisi ya kuwa patners sio kufujana ambako kunatetewa kwa nguvu na mademu wenye akili za kimaskini!😅😅😅
 
Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,

Na nyie acheni kuwa vitombi, mbaki na hela zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke kuomba hela hovyo kuna connection na kukosa adabu! Kukosa adabu kuna connection na kukosa hisia sababu wengi wanajua kwamba wanachofanya ni foul ila they do it sababu hawawapendi hao wanaume!
 
Back
Top Bottom