Stopper Rhymaker Yokoi & Joslin hamjielewi

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
911
Reaction score
862
Wasanii wa bongo wanachelewa sana kujitambua ni kichefuchefu kiufupi hawa jamaa majina yanafifia kiukweli ila naamini kipaji bado kipo maana wamezaliwa nacho. Ndo maana mpaka kesho sishangai kumuona mtu akisikiliza perfume, niite basi, kwa stopper masongi kadhaa kama style tatu na mengine ya maana.

Hawa jamaa sa hizi nyota hazing'aa kivile kama mwanzo lakini wanachoboa ni kwamba wanakunywa kupitiliza kama jana pale corner bar Sinza saa kumi jioni stopper anatapika vibaya tena barabarani ameinama ------ nje kila anaepita anashuhudia masaburi ambapo kila anayepita anamuona kwamba jamaa amelewa mbaya zaidi bia za kuomba omba unaomba bia bila kujua kipimo.

Hawa ndio wasanii ambao katiba mpya inawapa upendeleo wa kipekee haki zao zinapiganiwa na wanasiasa halafu wao hawajielewi jirekebisheni mkishindwa kukua kimwili kueni kiakili.
 
Stopper sawa, ..
..na huyo joslin nae kafanyanye mkuu ..??
 
Wapotezee fanya yako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
So stopper alikuwa na josline? au kuna ujumbe unataka umfikie josline?
 
hawa jamaa wanashinda pamoja kugongea bia joslin na stopper
 
Ruge kawanyima show ya fiesta, Wanapoteza mawazo
 
Stoper nadhan hiyo ni laana aliyopata kutoka kwa wenzie waturutumbi original wa Arusha, alipoona wanapata jina yy akiwa kama kiongozi aliwageuka kwa tamaa zake akaenda dar akatafuta viraka wa kuziba nafas za wale wenzie, stoper tamaa mbayaaa
 
Kinachouma ni kwamba vipaji wanavyo halaf bado wanakuwa wajinga wajinga sijui nani amewaroga
 
kwani hawa jamaa ndiyo wale wanao pendekeza kwenye BMK muungano uvunjike?
 
"Naposhuka nasimika,hata miaka bila single na bado nipo fresh,napiga tour bila kutajwa kwenye jingle"
~~~~~~~~
Bad man pon de air mi grab dem chart,mi lov a city weda si don wi mi bways stackin togeda in a conset mi gi dem fleva,mi no change man hardcore fover,mi don't play bongofleva
 
Nawajua vizuri hawa jamaa bangi mno. Binafsi nisha ball nao sana hawanunui bia hawa ni mzigo tuu unakaa nao baa mastaa jina tuu, pombe lazima uwanunulie na bangi uwape wewe...
 
Stopper is my boy longtime toka enzi za mitaa ya Fire Arusha....... huyu yupo kwenye harakati za muziki muda mrefu sana ......ameshauriwa sana arudi shule na abakie kufanya muziki kama hobby lakini bado anaamini kipaji chake kitamtoa .......umri umesonga si kidogo (ingawa ana sura ya kitoto) ....... Bora apoteze miaka kadhaa ya elimu itayompa uhakika wa kujenga familia yake kuliko kusubiri hisani za akina Ruge huku ukizeeka..........
 
Sasa si bora ungewambia ukweli wahusika huku wanaona ujumbe wako? Ukitoa maisha ya usanii bado wao ni binadamu kama wengne pia na kama ni ukweli weka ushaidi wa picha hapa na huyo stopa havutagi izo bangi mnazo sema unless kuna kitu unataka kutuaminisha hapa
 
Na usnitch haufai acheni siasa na wengne huwa wanalipwa kufanya haya matangazo sijui wwe umeajiriwa na huyo ruge au
 

Hivi mtu akifikisha miaka 30 halafu aingie kwenye elimu itamsadia kweli kwenye mishe za hela?
 
Hivi mtu akifikisha miaka 30 halafu aingie kwenye elimu itamsadia kweli kwenye mishe za hela?

Jerome a.k.a Stopper umri wake si chini ya 34 ......lakini nina ushahidi wa ndugu yangu aliyekuwa darasa la saba na umri ukiwa late 30s lakini sasa ana degree na ameajiriwa sehemu nyeti......elimu ni muhimu regardless your age na hasa kama njia zako zote zimekwama na hakuna dalili mkuu ......
 

Toka Tz A Tz B Sina Hata taxi!
 

Huyo joslyn 2lishawah kukaa nae hapo club lips-mwz full kuomba omba bia hadi ngusu,kutoka hapo akaenda kulala kwa machalii wake wanafunzi wa chuo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…