kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 911
- 862
Wasanii wa bongo wanachelewa sana kujitambua ni kichefuchefu kiufupi hawa jamaa majina yanafifia kiukweli ila naamini kipaji bado kipo maana wamezaliwa nacho. Ndo maana mpaka kesho sishangai kumuona mtu akisikiliza perfume, niite basi, kwa stopper masongi kadhaa kama style tatu na mengine ya maana.
Hawa jamaa sa hizi nyota hazing'aa kivile kama mwanzo lakini wanachoboa ni kwamba wanakunywa kupitiliza kama jana pale corner bar Sinza saa kumi jioni stopper anatapika vibaya tena barabarani ameinama ------ nje kila anaepita anashuhudia masaburi ambapo kila anayepita anamuona kwamba jamaa amelewa mbaya zaidi bia za kuomba omba unaomba bia bila kujua kipimo.
Hawa ndio wasanii ambao katiba mpya inawapa upendeleo wa kipekee haki zao zinapiganiwa na wanasiasa halafu wao hawajielewi jirekebisheni mkishindwa kukua kimwili kueni kiakili.