Stopper Rhymaker Yokoi & Joslin hamjielewi

Stopper Rhymaker Yokoi & Joslin hamjielewi

u dem bwai....stopper the rhymes maker.mzee umejuaje anakunywa bia za kuomba ombaa.ukiwa bar fata yako acha kuchunguza meza za wezako
 
Asante kwa taarifa tumejua kwamba ulikuwa bar na umemuona stopper anakunywa bia, Ukiwaona wasanii wengine usisite kuja kutuambia
 
We nae kwa kutunga visa hujambo...unaonekana umedhamiria kutenda dhambi kwa kuongea stori ya ukweli na majina ya ukweli alafu ukaweka uongo mtakatifu ndani yake....kifupi nimekuelewa sana nia yako na mwanzo mlidai mvuta bangi now umebadilika endelea na dhamira yako kaka Mungu atakusaidia.

Now i know how you feel about mchizi...ila kama kweli nyie ni wanae mnajua ukweli ila hapa mna mission yenu basi yote heri...ila kifupi mi faya napajua na washikaji kibao nawafahamu ambao ni wanae Stoper wa kweli sidhani kama wanaelewa stori uliyoweka hapo!
 
We nae kwa kutunga visa hujambo...unaonekana umedhamiria kutenda dhambi kwa kuongea stori ya ukweli na majina ya ukweli alafu ukaweka uongo mtakatifu ndani yake....kifupi nimekuelewa sana nia yako na mwanzo mlidai mvuta bangi now umebadilika endelea na dhamira yako kaka Mungu atakusaidia.

Now i know how you feel about mchizi...ila kama kweli nyie ni wanae mnajua ukweli ila hapa mna mission yenu basi yote heri...ila kifupi mi faya napajua na washikaji kibao nawafahamu ambao ni wanae Stoper wa kweli sidhani kama wanaelewa stori uliyoweka hapo
 
Kwahiyo mtu akisoma ndo anafanikiwa maisha? ?acheni kukopi maisha wangap wana elimu wanateseka mtaani na wangap hawana elimu wapo vizuri kimaisha? Acheni uwack
 
Na huyo stopa mnamnunuliaga izo bangi? Huo mda mnao snitch si mkafanye harakati zenu zingne za kimaisha?
 
Ushauri ungempa stopa na siyo unaweka jamii forum ina maana unataka kitu au na wewe ni mtoto wa wale wachafua watu kwa matakwa yao? Tushakujua.jamaa anapiga show bila kutajwa kwenye jingle
 
Back
Top Bottom