We nae kwa kutunga visa hujambo...unaonekana umedhamiria kutenda dhambi kwa kuongea stori ya ukweli na majina ya ukweli alafu ukaweka uongo mtakatifu ndani yake....kifupi nimekuelewa sana nia yako na mwanzo mlidai mvuta bangi now umebadilika endelea na dhamira yako kaka Mungu atakusaidia.
Now i know how you feel about mchizi...ila kama kweli nyie ni wanae mnajua ukweli ila hapa mna mission yenu basi yote heri...ila kifupi mi faya napajua na washikaji kibao nawafahamu ambao ni wanae Stoper wa kweli sidhani kama wanaelewa stori uliyoweka hapo!
We nae kwa kutunga visa hujambo...unaonekana umedhamiria kutenda dhambi kwa kuongea stori ya ukweli na majina ya ukweli alafu ukaweka uongo mtakatifu ndani yake....kifupi nimekuelewa sana nia yako na mwanzo mlidai mvuta bangi now umebadilika endelea na dhamira yako kaka Mungu atakusaidia.
Now i know how you feel about mchizi...ila kama kweli nyie ni wanae mnajua ukweli ila hapa mna mission yenu basi yote heri...ila kifupi mi faya napajua na washikaji kibao nawafahamu ambao ni wanae Stoper wa kweli sidhani kama wanaelewa stori uliyoweka hapo
Kwahiyo mtu akisoma ndo anafanikiwa maisha? ?acheni kukopi maisha wangap wana elimu wanateseka mtaani na wangap hawana elimu wapo vizuri kimaisha? Acheni uwack
Ushauri ungempa stopa na siyo unaweka jamii forum ina maana unataka kitu au na wewe ni mtoto wa wale wachafua watu kwa matakwa yao? Tushakujua.jamaa anapiga show bila kutajwa kwenye jingle
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.