King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Toka Tz A Tz B Sina Hata taxi!
Joslin anapiga bangi sana kuna interview nimeiona wana introduce single yao yupo na stoppa alikuwa anahojiwa na Global TV yani ni sheedaa anavyoongea joslin yani bangi ipo kwenye damu!
Stopper is my boy longtime toka enzi za mitaa ya Fire Arusha....... huyu yupo kwenye harakati za muziki muda mrefu sana ......ameshauriwa sana arudi shule na abakie kufanya muziki kama hobby lakini bado anaamini kipaji chake kitamtoa .......umri umesonga si kidogo (ingawa ana sura ya kitoto) ....... Bora apoteze miaka kadhaa ya elimu itayompa uhakika wa kujenga familia yake kuliko kusubiri hisani za akina Ruge huku ukizeeka..........
Jamaa yupo simple sana anajichanganya sehemu yeyote hapa A-town nshakutana naye kwa mama ntilie anapiga menyu.
Si FTC wa Electrical Installation
Kwahiyo kula mama ntilie ni muungwana,simple na ni mtu wa watu?
Afu si mtoto wa mchungaj huyu?????? Duh!
Jamaa yupo simple sana anajichanganya sehemu yeyote hapa A-town nshakutana naye kwa mama ntilie anapiga menyu.
Sanaa imekuwa ngazi ya kutengeneza maskini wenye majina.
Watu bana! Basi list ya wasanii wanaotakiwa warudi shule ni ndefu, Dudubaya, Mr.Nice, Ray C, Bitchuka, Banza Stone, Mwijuma Muumini...........Duh! wapo wengi sana.
Hapana labda hukuelewa.....hao uliowataja walishafikia kilele cha mafanikio yao na wengine kama Banza ni legendary bila kujali status yake sasa.Stopper muziki haujawahi kumkubali walau kufikia hata robo ya ndoto zake na ameanza harakati za muziki miaka ya tisini ingawa wengi mmemjua majuzi hivyo ni bora angekazana na elimu na muziki afanye kama hobi tu.....
Stopper ndio yule alikuwa anaimba hip hop enzi za akina spark dog?
yap ni mtoto wa mchungaji,yani anavyoongea kama ile style ya zamani ya byser babyloon bizzy.