Stopper Rhymaker Yokoi & Joslin hamjielewi

Stopper Rhymaker Yokoi & Joslin hamjielewi

Joslin anapiga bangi sana kuna interview nimeiona wana introduce single yao yupo na stoppa alikuwa anahojiwa na Global TV yani ni sheedaa anavyoongea joslin yani bangi ipo kwenye damu!
 
Joslin anapiga bangi sana kuna interview nimeiona wana introduce single yao yupo na stoppa alikuwa anahojiwa na Global TV yani ni sheedaa anavyoongea joslin yani bangi ipo kwenye damu!

Afu si mtoto wa mchungaj huyu?????? Duh!
 
Stopper is my boy longtime toka enzi za mitaa ya Fire Arusha....... huyu yupo kwenye harakati za muziki muda mrefu sana ......ameshauriwa sana arudi shule na abakie kufanya muziki kama hobby lakini bado anaamini kipaji chake kitamtoa .......umri umesonga si kidogo (ingawa ana sura ya kitoto) ....... Bora apoteze miaka kadhaa ya elimu itayompa uhakika wa kujenga familia yake kuliko kusubiri hisani za akina Ruge huku ukizeeka..........

Si FTC wa Electrical Installation
 
Umeonaee, lkn huyu stoper haya yote kajitakia, bora akasome zake tu ingawa umri umeenda, ana mwenzie mmoja walkua nae waturutumbi alivyoona anawazingua yule alisoma had akapata masters ya sheria anaitwaga Davie na saivi yupo vizur kinyama, stoper afate mfano, hajachelewa bado, aangalie asije anza gonga chan'gaa aka piwa
Sanaa imekuwa ngazi ya kutengeneza maskini wenye majina.
 
Watu bana! Basi list ya wasanii wanaotakiwa warudi shule ni ndefu, Dudubaya, Mr.Nice, Ray C, Bitchuka, Banza Stone, Mwijuma Muumini...........Duh! wapo wengi sana.
 
Watu bana! Basi list ya wasanii wanaotakiwa warudi shule ni ndefu, Dudubaya, Mr.Nice, Ray C, Bitchuka, Banza Stone, Mwijuma Muumini...........Duh! wapo wengi sana.

Hapana labda hukuelewa.....hao uliowataja walishafikia kilele cha mafanikio yao na wengine kama Banza ni legendary bila kujali status yake sasa.Stopper muziki haujawahi kumkubali walau kufikia hata robo ya ndoto zake na ameanza harakati za muziki miaka ya tisini ingawa wengi mmemjua majuzi hivyo ni bora angekazana na elimu na muziki afanye kama hobi tu.....
 
Hapana labda hukuelewa.....hao uliowataja walishafikia kilele cha mafanikio yao na wengine kama Banza ni legendary bila kujali status yake sasa.Stopper muziki haujawahi kumkubali walau kufikia hata robo ya ndoto zake na ameanza harakati za muziki miaka ya tisini ingawa wengi mmemjua majuzi hivyo ni bora angekazana na elimu na muziki afanye kama hobi tu.....

Stopper ndio yule alikuwa anaimba hip hop enzi za akina spark dog?
 
Watu wote mlio comment hapo mnaonekana mnabeef na. mchizi mnajifanya mnamfahamu shkaji lakini naona kama wote hadi mtoa mada kama bibi zenu wanga kaka zenu mashoga lakini hatusemi,eti stopa anavuta bangi au mlevi Kweli mtahukumiwa vibaya sana nanyi kwa unafiki na chuki zenu za kichawi,mwacheni mchizi apambane na maisha yake tunaomfahamu imetuuma sana,kwana hata ingetokea hivo kwani yeye ndio wa kwanza nanyi kati yenu hajawahi kutapika,kifupi endeleeni na maisha yenu acheni wanga,Waturu ndio sisi na tunajua broo hajawahi kututosa ila hata yeye nafasi yake bado ndogo,alitusaidia vya kutosha sema wote sisi hatukua serious sana na muziki yeye binafsi anapambana kivyake na Mungu anajua kifupi jipangeni na maisha yenu inaonekana anawakera sana kifupi anaglieni hii ...#VIDEO "Tesa Nae" by Joslin ft Stopa Rhymecca full Hd Official Video www.youtube.com/watch?v=6ysXDjOx3k0&sns=tw msimloge tu Mchizi wa watu ni binadamu kama nyie tena wengine hapa Majitu tu wanafiki wakubwa,,alafu tunaomba na yenu mabaya mliyo yafanya na sisi tuyajuwe,,au kwa vile mchizi na msanii mwenye kufahamika na ww unatumia nafasi hii kumchafulia,,jiangalieni washikaji haya maisha tu inaonekana wanaume kama mabinti,baada ya kufata yaliowaleta hapa dunian kumbe mmekuja kufatilia watu acheni uchoko
 
Kila mtu ana maisha yake bana,,ww unataka mchizi akasome upo tayari kumlipia ada na kuilea familia yake,,au unaongea tu maisha unadhani ni ya majaribio au sio,,ni wangapi unaowajua wamesoma na wanayumba tu town hapa,,maisha yanasonga sana tunatakiwa kuangalia mbele ni vipi tutaweza kupambana na hali halisi ya maisha ,,yeye kaona maisha yake yanakidh mahitaji yake nyie mkiwa kama wanaume huwezi kukaa na kuanza kufatilia history ya mchizi katoa wapi anafanya nini au anaishije,,yeye ni mtu kama ww hata angekuwa ni nani kila mtu ana style ya maisha yake..kama joslin na stopa wamejiona akili zao zimekwamia hapo ww unauwezo gani wakuweza kuwabadili,,,cha zaidi utajifanya unampa mtu ushauri,,eti washikaji wanaomba bia,,nyie si ndiyo mkiwaona mnajifanya mnataka kuwanunulia ma star wenu kumbe nia ni umpe bia then uje kumtangaza,,angetakataa ungesema anaringa,acheni ujinga bana fanyeni mambo ya msingi
 
Stopper ndio yule alikuwa anaimba hip hop enzi za akina spark dog?

Stoppa wa longtime halafu yuko vizuri though hana zali kama wakina Jos Mtambo,mi nimemjua kupitia wimbo mmoja una maneno haya "Na hii ni moja kati ya mambo yanayonikera" alikuwa na wenzake kundi lao wakijiita The Undergrounds
 
yap ni mtoto wa mchungaji,yani anavyoongea kama ile style ya zamani ya byser babyloon bizzy.

Jamaa ni mkali sana kwenye kuimba na kuchana,anaflow fulan ambayo haiboi na hatumii nguvu nyingi,ila akianzaga kuongea huwa napata hasira,anaongea kama chokko fulan hivi
 
Kwanza wekeni majina yenu ya kawaida tuwajue maana baadhi yenu nshawajua wachawi tu makabila yenu yanaruhusu ushoga,kifupi mafanikio ya mchizi yatawanyoosha kauli zenu,msibadilike tu baadae
 
Back
Top Bottom