We nae kwa kutunga visa hujambo...unaonekana umedhamiria kutenda dhambi kwa kuongea stori ya ukweli na majina ya ukweli alafu ukaweka uongo mtakatifu ndani yake....kifupi nimekuelewa sana nia yako na mwanzo mlidai mvuta bangi now umebadilika endelea na dhamira yako kaka Mungu atakusaidia.
Now i know how you feel about mchizi...ila kama kweli nyie ni wanae mnajua ukweli ila hapa mna mission yenu basi yote heri...ila kifupi mi faya napajua na washikaji kibao nawafahamu ambao ni wanae Stoper wa kweli sidhani kama wanaelewa stori uliyoweka hapo!