Stopper Rhymaker Yokoi & Joslin hamjielewi

Umeonaee, lkn huyu stoper haya yote kajitakia, bora akasome zake tu ingawa umri umeenda, ana mwenzie mmoja walkua nae waturutumbi alivyoona anawazingua yule alisoma had akapata masters ya sheria anaitwaga Davie na saivi yupo vizur kinyama, stoper afate mfano, hajachelewa bado, aangalie asije anza gonga chan'gaa aka piwa

Aisee hebu nipe historia kidogo ya waturu tumbi huyu jamaa seems alikwepo kwenye game kwa mda mrefu tu
 
Hao waturu mbona Stopa kawasaidia sana Hata huyo mnaemtaja Videdevi kama b.s. stopa asingekua kaka mzuri kwao asingefika huko...mbona yeye ndio anatumia kila aina ya kilevi na ushenzi wote anao?acheni maisha yaende mtarekebika kauli zenu tu siku moja,Elimu ipo tu na hamjui Stopa yupo hapo na keshasaidia wangapi nae hata kama ni skuli ni any time tena anafanya kugusa tu vitu flani maana tayari ni Electrician by pro sasa msitake nae awe Lawyer ama sijui Boss wa kampuni flani nyie mtafanya kazi gani?..ila machizi msitake kutengeneza ma biff yasio kuwa na msingi,,kwa mana mnapo anza zungumzia mtu alafu mnaanza kuonyesha mifano ya watu wengine sio mpango mzuri,,ww ulileta hizi taarifa juwa utatengeneza chuki baina ya watu hawa,,ona mwazo unaouanzisha fikiria mwisho utakavyokuwa
 
stopa rudi shule mwana. bange zinakuzingua
 
by laki si pesa;
stopa rudi shule mwana. bange zinakuzingua

laki si pesa hopefully uliyemjibu ndiye stopa mwenyewe! Asante kwa kumpa ushauri mzuri...
 
Last edited by a moderator:
Hao waturu mbona Stopa kawasaidia sana Hata huyo mnaemtaja Videdevi kama b.s. stopa asingekua kaka mzuri kwao asingefika huko...mbona yeye ndio anatumia kila aina ya kilevi na ushenzi wote anao?acheni maisha yaende mtarekebika kauli zenu tu siku moja,Elimu ipo tu na hamjui Stopa yupo hapo na keshasaidia wangapi nae hata kama ni skuli ni any time tena anafanya kugusa tu vitu flani maana tayari ni Electrician by pro sasa msitake nae awe Lawyer ama sijui Boss wa kampuni flani nyie mtafanya kazi gani?..ila machizi msitake kutengeneza ma biff yasio kuwa na msingi,,kwa mana mnapo anza zungumzia mtu alafu mnaanza kuonyesha mifano ya watu wengine sio mpango mzuri,,ww ulileta hizi taarifa juwa utatengeneza chuki baina ya watu hawa,,ona mwazo unaouanzisha fikiria mwisho utakavyokuwa

Yani kusema Jamaa anakunywa mpaka natapika barabarani huku masaburi yakiwa nje ndo kuleta BIFU....?

Watu kama nyie ndio wale marafiki ambao manaangamiza wenzenu...Jamaa amempa ushauri mzuri sana na wadau wametoa ushauri wa maana..
 
Hao waturu mbona Stopa kawasaidia sana Hata huyo mnaemtaja Videdevi kama b.s. stopa asingekua kaka mzuri kwao asingefika huko...mbona yeye ndio anatumia kila aina ya kilevi na ushenzi wote anao?acheni maisha yaende mtarekebika kauli zenu tu siku moja,Elimu ipo tu na hamjui Stopa yupo hapo na keshasaidia wangapi nae hata kama ni skuli ni any time tena anafanya kugusa tu vitu flani maana tayari ni Electrician by pro sasa msitake nae awe Lawyer ama sijui Boss wa kampuni flani nyie mtafanya kazi gani?..ila machizi msitake kutengeneza ma biff yasio kuwa na msingi,,kwa mana mnapo anza zungumzia mtu alafu mnaanza kuonyesha mifano ya watu wengine sio mpango mzuri,,ww ulileta hizi taarifa juwa utatengeneza chuki baina ya watu hawa,,ona mwazo unaouanzisha fikiria mwisho utakavyokuwa

Join Date : 5th October 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Kuna uwezekanao mkubwa wewe ndio STOPPER
 
Kwanza wekeni majina yenu ya kawaida tuwajue maana baadhi yenu nshawajua wachawi tu makabila yenu yanaruhusu ushoga,kifupi mafanikio ya mchizi yatawanyoosha kauli zenu,msibadilike tu baadae

umepanic mzee
 
Join Date : 5th October 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Kuna uwezekanao mkubwa wewe ndio STOPPER

haha kafungua ac ili ajibu mashtaka,ila kama ni yeye mbona majanga maana huo mwandiko ulivyo mbovu ni shyyyda
 
Wewe kama umemaliza skul una miaka 40,ni ww sio wengi wenu maisha mmeandaliwa na mama zenu.
 
Eti mchizi akitapika ndiyo pf,,unauliza nini sasa we unatuma matukio ya stoper kwenye jamii forum kwani yeye anayaona,,au kama ungekuwa una nia nae nzuri siungempigia simu,,alafu isitoshe kama ww unania nae nzuri mbona huweki jina lako ukajulikana wewe nani,,mimi jina langu ndiyo hilo natumia kwenye fb na email ya hotmail.wany.na tagged,,sasa wewe unajifanya unataka kusaidia mchizi au umekuja kumcharazia mchizi,,acheni mambo hayo majamaa komaeni vichwa utoto kando,,mnabonga kichizi ila hamna msada wowote maishani mwake,au urafiki wa kiushabiki na kiunafiki,,acheni wanaume waishi wawezavyo sio mtakavyo,,by mc mwani
 
We vipi wewe, we unamjua stoper ww, eti we ndo mturu wa kariakoo??? Hamnaga mturu kariakoo, hlf mbna unatukana saana et unawaita wanaume mabint, mi ni binti sasa, hlf stoper kama alimsaidia huyo Davie mbna huyo Davie hamsaidii yy? Sasa sisi huku fire ars tunamjua stoper vzr bangi havutagi ila pombe anakunywa na mambo kibao mengi tunayajua na mziki haujamkubali, na naona umefungua acount ili umjibie, bora huu muda ulopoteza hapa kuongea non sense na mambo usoyajua ungeenda kwa dentist akusugue hayo meno, unawaita wanaume mabinti na machoko, we umekamilika kama mwanaume?? kwn we nani kama hauko hivyo, maana hakunaga mwanaume anayesuta kama ww, maana hapa ni umesuta na kupaka tabia ambayo ni ya mabint na machoko, ungejib kwa facts si huu uchoko uloandika hapa
Watu wote mlio comment hapo mnaonekana mnabeef na. mchizi mnajifanya mnamfahamu shkaji lakini naona kama wote hadi mtoa mada kama bibi zenu wanga kaka zenu mashoga lakini hatusemi,eti stopa anavuta bangi au mlevi Kweli mtahukumiwa vibaya sana nanyi kwa unafiki na chuki zenu za kichawi,mwacheni mchizi apambane na maisha yake tunaomfahamu imetuuma sana,kwana hata ingetokea hivo kwani yeye ndio wa kwanza nanyi kati yenu hajawahi kutapika,kifupi endeleeni na maisha yenu acheni wanga,Waturu ndio sisi na tunajua broo hajawahi kututosa ila hata yeye nafasi yake bado ndogo,alitusaidia vya kutosha sema wote sisi hatukua serious sana na muziki yeye binafsi anapambana kivyake na Mungu anajua kifupi jipangeni na maisha yenu inaonekana anawakera sana kifupi anaglieni hii ...#VIDEO "Tesa Nae" by Joslin ft Stopa Rhymecca full Hd Official Video Tesa naye by Joslin ft Stopa wa rymes full Hd offircial video - YouTube msimloge tu Mchizi wa watu ni binadamu kama nyie tena wengine hapa Majitu tu wanafiki wakubwa,,alafu tunaomba na yenu mabaya mliyo yafanya na sisi tuyajuwe,,au kwa vile mchizi na msanii mwenye kufahamika na ww unatumia nafasi hii kumchafulia,,jiangalieni washikaji haya maisha tu inaonekana wanaume kama mabinti,baada ya kufata yaliowaleta hapa dunian kumbe mmekuja kufatilia watu acheni uchoko
 
U are correct, we ndo unamjua vizuri stopper ktk hiyo grp alikua na hayati Fred jebby na niger Lukago amabae stoper alimtosa baada ya kuona hiyo nyimbo ya kero imebamba na akaanzisha waturutumbi na pia kama kawaida yake alivyoona wanaelekea kufanikiwa akasepea Dar akaanzisha waturutumbi yake ya kichina na ndo imemfkisha hapo alipo now, msemaji wa hii waturu ya china ndo huyuu mcmwami
Stoppa wa longtime halafu yuko vizuri though hana zali kama wakina Jos Mtambo,mi nimemjua kupitia wimbo mmoja una maneno haya "Na hii ni moja kati ya mambo yanayonikera" alikuwa na wenzake kundi lao wakijiita The Undergrounds
 
U are correct, we ndo unamjua vizuri stopper ktk hiyo grp alikua na hayati Fred jebby na niger Lukago amabae stoper alimtosa baada ya kuona hiyo nyimbo ya kero imebamba na akaanzisha waturutumbi na pia kama kawaida yake alivyoona wanaelekea kufanikiwa akasepea Dar akaanzisha waturutumbi yake ya kichina na ndo imemfkisha hapo alipo now, msemaji wa hii waturu ya china ndo huyuu mcmwami

RIP Fred Jebby .......harakati kitambo .........
 
Daah umenikumbusha mbali sana!! Fred Jebby RIP na msela wake Kabelo aka Kb. Nakumbuka wakati huo tulicheza mechi na Sekei Sec tulimzingua mdogo wake fred. Jony walitutafta wakaja wanishka mimi nilichezea makofi ya kutosha!! Ila badae wakawa mabest.
RIP ferddy Jebby
 
U are correct, we ndo unamjua vizuri stopper ktk hiyo grp alikua na hayati Fred jebby na niger Lukago amabae stoper alimtosa baada ya kuona hiyo nyimbo ya kero imebamba na akaanzisha waturutumbi na pia kama kawaida yake alivyoona wanaelekea kufanikiwa akasepea Dar akaanzisha waturutumbi yake ya kichina na ndo imemfkisha hapo alipo now, msemaji wa hii waturu ya china ndo huyuu mcmwami

Wimbo wake wa mwanzo ulionivutia ni Kama wanawake wataacha kuvitupa hivi viumbe.
Hv Stopa si kaka yake Danny Mmbaga??
 
Hapana, Dan Mbaga ni kaka yake Davie mbaga ambae alkua mturu, Dan saivi yupo gado
Wimbo wake wa mwanzo ulionivutia ni Kama wanawake wataacha kuvitupa hivi viumbe.
Hv Stopa si kaka yake Danny Mmbaga??
 
Daah umenikumbusha mbali sana!! Fred Jebby RIP na msela wake Kabelo aka Kb. Nakumbuka wakati huo tulicheza mechi na Sekei Sec tulimzingua mdogo wake fred. Jony walitutafta wakaja wanishka mimi nilichezea makofi ya kutosha!! Ila badae wakawa mabest.
RIP ferddy Jebby

Hahahaha ....Kabelo Turuka......
 
Back
Top Bottom