Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Kutongoza wakati mwingine kunachosha sana
 
hahahaha... simba mwenda pole ndie mla nyamaaa
Unamtingoza mtu leo anakuambia nipe mda kidogo nitakuambia baada ya siku mbili ukionana naye au ukimpigia cm kuulizia utasikia hiv uliniambiaje vile nimesahau naomba unikumbushe.....aisee inabidi ufute namba umpotezee
 
Unamtingoza mtu leo anakuambia nipe kidogo nitakuambia baada ya siku mbili ukionana naye au ukimpigia cm kuulizia utasikia hiv uliniambiaje vile nimesahau naomba unikumbushe.....aisee inabidi ufute namba umpotezee
ahahahaha baki hapa hapa bro utasikia vituko vingi sana hapa
 
Mpe pole shommy maana alikurupuka..Glass ya kwanza ya maji imeisha hebu ngoja niongeze ya pili kwaajili ya kusoma "Fumanizi".
 
Mpe pole shommy maana alikurupuka..Glass ya kwanza ya maji imeisha hebu ngoja niongeze ya pili kwaajili ya kusoma "Fumanizi".
bro mbona shommy mpaka sehemu ya pil;i nimerusha angalia page ya 4
 
haya kubwa LA mashangingi...nimeshafika hapa...naona Vyuma vimekaza kinyama mpaka grisi imegeuka kuwa kama maji tu...kila ukipaka vilainike wapi
 
Ifanyaje hio plastic surgery labda?! Imtongoze Vera au
Unanikumbusha kuna mwanamke nilikuwa namtongoza. Hapo nipo chuo udom, akaniambia niende hostel kwao kesho asubuhi. Rafiki zake hawatakuwepo. Siku hiyo nilitetememeka mpaka jasho maana nilikuwa naogopa sana, siku hiyo usingizi haukupita. hatujazoeana leo niende room kwake?. Duh! Mtihani. Km Mungu alisikia kilio changu. Asubuhi akanipigia simu amepata dharula anaenda lecture room kujisomea, kesho wanatest. Nilishangilia sana.
Mm mwanamke ambaye hatujazoeana, huwa namuogopa sana.
 
Back
Top Bottom