Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #101
doh uje basi kujifunza hukuUnanikumbusha kuna mwanamke nilikuwa namtongoza. Hapo nipo chuo udom, akaniambia niende hostel kwao kesho asubuhi. Rafiki zake hawatakuwepo. Siku hiyo nilitetememeka mpaka jasho maana nilikuwa naogopa sana, siku hiyo usingizi haukupita. hatujazoea leo niende room kwake. Duh! Mtihani. Km Mungu alisikia kilio changu. Asubuhi akanipigia simu amepata dharula anaenda lecture room kujisomea, kesho wanatest. Nilishangilia sana.
Mm mwanamke ambaye hatujazoeana, huwa namuogopa sana.
dadako amekimbia dushe njoo muonee Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...
Mwengine amefumaniwa huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI