Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Naamini ukimtongoza mwanamke its not what you say, its about how you say it, mm sina tantalila nyingi, mm na-target mademu ambao naona wako more likely kunikubalia, utakuta demu hana shobo na mm walau hata kujibu text yangu inampa shida, sasa hapo nkitongoza si natafta kibuti tu, kuhusu mda wa kutongoza, mm demu akinizungusha mda mrefu, na-assume kuwa hanipendi na pehaps anataka kuniweka spare tyre, friendzone, au kunichuna pesa nkiona hivo mm nasepa fasta. Kama mwanamke kavutiwa na ww atakukubali tu, hata ukimtongoza kijinga and u will get away with many things, kama mwanamke ni wa kukukatalia atakataa hata uje na maneno yapi, labda akuweke ili akuchune pesa Money Penny
Uko sahihi xanaa!!!!!
 
Kweli kaka,,kutongoza sio lazima tuwekana vikao kama vya makinikia,,mtu akikupenda hata ukimshika mkono au ukimwangalia tu tayar ushamtongoza na ushakubaliwa..
 
Back
Top Bottom