ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hiyo story ya mzungu ni Mimi niliyeitunga
Khaaa! Unaanzaje kumuumbua kijanaHiyo story ya mzungu ni Mimi niliyeitunga
Arafu nilikuwa sijamuona mtoa uzi(huenda kutokana na jamaa kubadili profile).Afadhali umwambie maana ni thread ya kitoto sana. Anasikia....hataji wapi....yaani akiangalia movie anakuja kufungua uzi.