ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilisikia Kuna tajiri fulani alikuwa mzungu Akawa amekodi nyumba anaishi peke yake na katika moja ya chumba alifuga lijoka kubwa ambalo kila baada ya siku kadhaa lilikuwa linahitaji nyama.sasa huyo mzungu Akawa anaenda kuopoa wanawake kwenye ma club akimwingiza ndani ana fanya nae ngono Kisha kwa ukatili anamtupia kwenye kile chumba Cha lijoka kutafunwa..watu walikuja wakamshtukia mchezo wake sijui ndo ushirikina au kitu gani.chumbani joka liliuliwa na kukakutwa mafuvu matatu.