Stori na Visa vya watu wanaofuga nyoka

Stori na Visa vya watu wanaofuga nyoka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nilisikia Kuna tajiri fulani alikuwa mzungu Akawa amekodi nyumba anaishi peke yake na katika moja ya chumba alifuga lijoka kubwa ambalo kila baada ya siku kadhaa lilikuwa linahitaji nyama.sasa huyo mzungu Akawa anaenda kuopoa wanawake kwenye ma club akimwingiza ndani ana fanya nae ngono Kisha kwa ukatili anamtupia kwenye kile chumba Cha lijoka kutafunwa..watu walikuja wakamshtukia mchezo wake sijui ndo ushirikina au kitu gani.chumbani joka liliuliwa na kukakutwa mafuvu matatu.
 
Chanzo chako cha habari ni batiri ndio maana unatumia kauli za "sikujui"

#acha kuishi kwa kubatisha ndugu..
 
joka linatafuna ?? 😛😛
sio linameza mzimamzima?, na kama linameza hayo mafuvu yanatoka wapi? au uzi wako ni fumbo kuhusu lile joka la pale kisiwani?
 
Afadhali umwambie maana ni thread ya kitoto sana. Anasikia....hataji wapi....yaani akiangalia movie anakuja kufungua uzi.
Arafu nilikuwa sijamuona mtoa uzi(huenda kutokana na jamaa kubadili profile).

#kumbe ni ndege JOHN kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tukiwa wadogo tumeuza sana panya kwa mzungu flani. Alikuwa anafuga nyoka kama hobby tu
 
Hizi chai nyingine mchanganyage na K-VANT kabla ya kuweka sukari na tangawizi.🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom