THE SHADOW ONE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,201 Reaction score 1,974 May 9, 2021 #21 πππ
log10 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 438 Reaction score 360 May 9, 2021 #22 Majaribu ni mtaji..
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 May 9, 2021 #23 Hizi ndio stori sasa! Siyo kila siku nilikula tunda kimasihara.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 May 9, 2021 #25 Sijawahi kusoma uzi mrefu namna hii mpaka kumaliza kwa wakati mmoja. Anyway maisha yana siri nyingi, hivyo yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.
Sijawahi kusoma uzi mrefu namna hii mpaka kumaliza kwa wakati mmoja. Anyway maisha yana siri nyingi, hivyo yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 9, 2021 #26 Mungu apewe sifa. Hongera sana mkuu kwa kuinuka tena.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 May 9, 2021 #27 Angeweka audio ingependeza zaidi
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,319 Reaction score 10,416 May 9, 2021 #28 Hii story imenibariki mno. Itoshe kusema Mwenyezi Mungu ni mwaminifu daima. Hongera na pole sana David. Mwenyezi Mungu azidi kuwasimamia na mkeo Jesca.
Hii story imenibariki mno. Itoshe kusema Mwenyezi Mungu ni mwaminifu daima. Hongera na pole sana David. Mwenyezi Mungu azidi kuwasimamia na mkeo Jesca.
The Iron JF-Expert Member Joined Apr 7, 2017 Posts 1,396 Reaction score 1,464 May 9, 2021 #29 Big up bro popote ulipo. Nimejifunza kushukuru Mungu kwa jinsi nilivyo, pia nisikate tamaa katika changamoto mbalimbali za maisha.
Big up bro popote ulipo. Nimejifunza kushukuru Mungu kwa jinsi nilivyo, pia nisikate tamaa katika changamoto mbalimbali za maisha.
T TIN 14 Member Joined Apr 15, 2021 Posts 66 Reaction score 110 May 9, 2021 #30 Salute kwake David. Mungu anakupa jaribu kutokana na viwango vyako vya imani.
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 May 9, 2021 #31 Duh! Kweli Mungu anajionyesha katika wakati uliokata tamaa.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 May 10, 2021 #32 Big up Davi, Mungu akubariki sana.
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 May 10, 2021 #33 Namuona Anna hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Zaburi 23 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 570 Reaction score 658 May 10, 2021 #34 Kukata tamaa ni dhambi. Pambana till Tone la mwisho la uhai wako. [emoji120][emoji120]
Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,750 Reaction score 2,283 May 10, 2021 #35 Hongera sana kwa David. Jamaa pamoja na changamoto hizo alikuwa mpambanaji sana.
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 9,140 Reaction score 15,963 May 10, 2021 #36 Umepata mke mwema aliyekupenda na hali yako.
Vera ginger JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,458 Reaction score 1,887 May 10, 2021 #37 KUTATABHETAKULE said: Hata mimi pia. Nimejikuta natokwa na machozi. Wema wa yule Mama unazidi kipimo. Mungu ambariki sana. Click to expand... Yaan mnoo
KUTATABHETAKULE said: Hata mimi pia. Nimejikuta natokwa na machozi. Wema wa yule Mama unazidi kipimo. Mungu ambariki sana. Click to expand... Yaan mnoo
T Tina tina Member Joined Jul 30, 2020 Posts 38 Reaction score 124 May 10, 2021 #38 Maisha safari ndefu na mbele hatupajui. Hongera kwa kupambana.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 May 10, 2021 #39 Binadamu wachache sana wenye moyo wa kutokukata tamaa wanapokutwa na matatizo kama haya, hasa ya kiafya yanayosababisha ulemavu.
Binadamu wachache sana wenye moyo wa kutokukata tamaa wanapokutwa na matatizo kama haya, hasa ya kiafya yanayosababisha ulemavu.
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,682 Reaction score 98,253 May 10, 2021 #40 Mungu nisamehe kwa nyakati zote ambazo huwa najilalamisha.