Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

Hadithi tamu sana.

Inabidi atuambie wale waliokuwa wanamsaidia watakuwa wapi sasa hivi.
 
Mungu ni Mwema

Mungu Anajibu

Mungu Anatenda

Cha muhimu ni kujenga uhusiano mzuri nae na kumweleza mahitaji yako, hakika atakujibu kwa uaminifu hata kama ni kwa kuchelewa lakini ni Hakika na Kweli.
 
Ahsante Davie, ume share ujumbe mzuri sana katika jamii. Binafsi nmejifunza mengi kama kumtanguliza
Mungu katika kila jambo, kutokata tamaa na kumuheshimu kila mtu.

Na pia hongera kwa kuandika story ya maisha yako yenye mtiririko mzuri, una kipaji cha ziada.
 
hakuna la kuongeza - Hongera sana sana kwa kuikubali hali yako nafikiri hapo ndipo kwenye KEY ya mafanikio yako!! Mungu ni mwema na anaishi nasi siku zote.

Maisha mema ya ndoa, Dave!!
 

The Sheriff

huku JF tunampa pole huyu Mcharo Mpare kwanini usitupe hilo jina huko Instragam tukampee hukohuko?
nimetfuta Mcharo hapatikani
 
Pole sana kiongozi, hakika umepambana sana kwenye safari yako ya maisha hadi kufikia sasa. Katika stori yako kuna mengi umeyafanya ambayo hata wasio walemavu hawawezi kufanya. Kuna mengi ya kujifunza kupitia stori yako.
 
Back
Top Bottom