Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

Nishawahi kumuona CoeT.. My first impression ilikuwa ni maisha bora huyu mlemavu! Dah, don't judge a book by its cover. Kila la kheri David! Mungu awe nawe.
 
Pole sana mwanangu na hongera kwa kutokubali kushindwa. Maisha yana sura nyingi mojawapo ni hiyo ila kuna nyingine kama kumpata Jessica. Keep on fighting and cheers.
 
Huyu jamaa tulisoma tuition pamoja shule ya msingi.English na Maths enzi hizo.
 
Dah speaking from the bottom of my heart hii story imenipa funzo kubwa sana. Pole sana bro kwa magumu uliyoyapitia but most of all hongera kwa hatua uliyofikia na MUNGU aendelee kukumiminia baraka zake Amen[emoji120][emoji120]
🤝🤝
 
Nilianza kwa kusikitika na kuwaaza sana magumu uliyoyapitia mzee Dave, lkn mwishoni umenifurahisha na kunijenga kwa somo zuri. Hongereni sana wewe na familia yako.
Hakika ni stori yenye kubadilisha mtazamo.
 
Kama ningeweza kumshauri David, basi ningemshauri aandike kitabu cha maisha yake...

Kuna mengi ya kujifunza ambayo naona katika makala hii kayaandika nusu nusu...
 
stori imenifundisha sana hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…