Stori ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu alivyopoteza kila kitu kutokana na mwanamke

Hii kesi pia tungesikiliza na upande wa pili ambao ni wa mwanamke . Huenda bro wenu Kuna mahali alivuka redline
Sasa MBONA majambazi walimsema mwaida na SI bro kama bro ange kia ANAJUA mishe yote SI wange msema
Saiv hakuna wanaume ni maboya tuh ndio yamezagaa
Tunza hayo MANENO yatakukuta, Yani El Chapo unamuita boya, ILIHALI WEWE, baiskeli ikipiga pancha TU ULE mlio unakukimbiza balaaa
 
Ina maana huyo demu ndio alikuwa anaficha silaha za majamaa yake kwenye geto la msela wake bila msela kujua?
Ndio MKUU, MANA MUONEKANO TU WA DEMU alikua MISHE I town siunajua yule MTOTO WA mjini, ukienda viwanja yuko na wazito nambie MASKINI Gani atapata PESA ya kumiliki bunduki TENA na risasi?
 
Kila siku nasema kwa sasa hakuna Wanaume, kuna wavulana wachache, na Wa kiume wengiiiiiiii.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa hiyo coca una Manisha yule DEMU kushirikiana na majambazi NDO uanaume
 
Lust Lust Lust!! Wanaume tukiweza kucontroll lust hakuna atakayeweza kutuangusha. Ukianzia kwa Samson kina Suleiman, El Mencho huyu kachomeshwa na mchepuko muigizaji wa porn onlyfans hatari sana
Kaka hata WEWE tukitaka kukupoteza tunashirikiana na pale unapo kojelea fasta tu
 
Fact
 

Yaani uishi na demu kunahitaji maombi?
Demu anahitaji uwe na akili tena ya kibinafsi. Ukiweza hapo umetoboa.

Usimuamini Mwanamke labda kama mmeshazeeka na amewekeza kwako kwa kiwango kikubwa.

Lakini sio umjenge wewe alafu umuamini. Umekwisha
 
Yaani uishi na demu kunahitaji maombi?
Demu anahitaji uwe na akili tena ya kibinafsi. Ukiweza hapo umetoboa.

Usimuamini Mwanamke labda kama mmeshazeeka na amewekeza kwako kwa kiwango kikubwa.

Lakini sio umjenge wewe alafu umuamini. Umekwisha
Ni ngumu sana KUMFIKIRIA vibaya mwenzi WAKO, unaeza ishi NAE ukiamini TU ahhh tunapendana, kumbe mwenzio ana lake KICHWAN, nimeshangaa baadhi ya member wanadharau uanaaume eti SIKU HIZI HAMNA WANAUME, SA HAPO we ungefanyaje?
 
So huo siujinga wako mwenyewe, before ya kuwa na huyo mwanamke kwanini asinge mscan kwanza ili aridhishwe na mwenendo wa tabia zake
Kaka MTU anafanya KWA kificho kwani WEWE unawajua majambazi wote? Kuna WATU ukiambiwa WANA mishe chafu HUWEZI qmini
 
mwaida jambazi kabla ya kuja kwenu Shinyanga alipiga matukio sana Arusha miaka ile
 
mwaida jambazi kabla ya kuja kwenu Shinyanga alipiga matukio sana Arusha miaka ile
Mkuu HUYU NAYE mzungumzia ni mzawa WA KANDA ya ZIWA pia SIO shinyanga, HUYU DEMU Hadi kaka zake nawajua TENA SANA Yani hatuwezi pitana tukionana tunasalimiana SIZAN ka ni huyu
 
Kuna kisa cha kusikitisha cha hawa wanawake. Jamaa alioa mke wake kipenzi. Jamaa akachukua baadhi ya hati za nyumba zake na kuwa kwa jina lake. Yule mwanamke akapata boyfriend na kwa vila mme alikuwa bsy na bihashara zake hakunfatilia sana nyendo za mke wake. Mke na boyfriend wakapanga njama za kuondoa uhai wa mme wake. Wakakodi majambazi na kwa kweli walifanikiwa kummua jamaa. Baada ya uchunguzi ikaonekana ule mke alihusika na wakakamatwa wote na boyfriend. Hayo ndiyo mawazo mafupi ya wanawake.
**** mwingine naye Arusha alikodi majambazi lakini majambazi wakawa wema wakampelekea taarifa mme wake. Tuishi nao kwa akili,
 
Umemsahau mwalimu WA MOROGORO alieuliwa KWA NJAMA za mkewe ili yule MKE ale bata na BODABODA baada ya KUMUUA mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…