Stori ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu alivyopoteza kila kitu kutokana na mwanamke

Dah
 
Ila nyie vijana wakiume wa sasa ,View attachment 3548973mnalalamika sana kuhusu wanawake sijui kwaniniπŸ€”
Wanawake wa sasa hivi ni tofauti na zamani, hawa wa sasa hivi wamepewa nguvu kubwa sana bila kuwekewa namna za kuwawajibisha wakitoka nje ya mstari.

Tafuta story ya dan alves, mchezaji wa zamani wa barcelona. Jamaa alibambikiwa kesi ya kubaka. Kakaa jela, akaunti zake zimefungwa. Ilibidi Neymar na Messi walipe faini jamaa atoke. Baadae ikaja kugundulika hana hatia. Demu aliempakazia hakuwajibishwa na mahakama ikapiga marufuku asitangazwe popote ili kulinda usalama wake.

Sema story ya mshkaji ina mashaka kidogo. Demu afiche mzigo wa silaha geto usijue.! sio rahisi. Labda muwe mnaishi kwenye mansion sawa, ila haya mageto yetu ya kuweka kitanda kwenye kona ya chumba.! Bro na demu wake walikua wanashirikiana polisi walimpa kibano demu sababu walijua mwanamke akitishwa kidogo tu anasema kila kitu
 
NMETUMIA neno ghetto ili KURAHISISHA ila SI geto kama ya vijana HUYO ALIKUA MTU MZIMA tayari,, pia kaka UKIWA unaishji NDANI na MKE ni ngumu kukagua kila mahala, we UNAENDA. Mishemishe ukirudi umechoka sa HAPO unapata WAPI MUDA WA kukagua CHUMBA kujua HIKI KIPO HIKI hakipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…