Stori ya jamaa wa Nigeria, kuhusu mkewe yaliza watu

Stori ya jamaa wa Nigeria, kuhusu mkewe yaliza watu

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Huyu jamaa ni Nigerian, kaoa mke mMoja, wamezaa mtoto mMoja, sasa jamaa alikua mahakamani katika kufatilia kumbe kashitaki mkewe sijajua anataka vunja ndoa au laaah.

Stori Iko hivi, jamaa alikua anapambana kutafuta chakula na mahitaji ya mkewe na mtoto Kila mara, alijitahidi kuhemea mahitaji ya mkewe Kila siku kukamilisha wajibu wake.

Jamaa anadai siku Moja mtoto wao aliugua balaa ilibidi jamaa apambane japo hakua na fedha ikabidi amtafute kaka yake aliepo nje ya Nigeria lakini bila mafanikio, walipo fika hospitalini waliaandikiwa dawa. elf 45 nayeye hakua na kitu.


Basi bwana jamaa akiendelea kupambania mtoto, baadae aligindua mkewe alikua na milioni Moja ndani, ikabidi ashike simu ya mkewe, kwamba hatampa mpaka ajue kinacho endelea kwenye simu yake, chakushangaza mkewe alitoka kwa hasira nakwenda kununua simu ya laki SITA, na kurudi nayo kumbuka hapo wana magonjwa ndani tena mtoto wao wa kuzaa, na hela ya dawa haijapatikana.

Nb kama unamchukia baba Yako kwa stori za kuambiwa na mama Yako kimbia kamuombe radhi haraka
 

Attachments

  • Screenshot_20260926-202900.jpg
    Screenshot_20260926-202900.jpg
    21.6 KB · Views: 11
Back
Top Bottom