Stori ya kweli ya maisha yangu, pitia unaweza kujifunza kitu

Kweny sikosel hapa umedanganya na kupotosha.

Sikoseli ni ugonjwa usioambukizwa ni ugonjwa wa vinasaba mwilini..unarithiwa kutoka kwa wazazi wote wawili.

Ili kuepuka inashuriwa kwenda kupima damu ili kujua kama damu zenu wawili hazina vinasaba hivyo..kabla ya kuanza kuzaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Magonjwa yanatoka pande mbili kiroho na kimwili pia yaani yapo ya kibaiologia yaani kisayansi na kiroho pia.
Kwa my tafiti yangu ya kiroho uzao wa asili ya wachawi na waganga likely au wanasumbuliwa Sana na magonjwa hayo kifafa na sikoseli,
 
Pole

Ila kama nishasoma pahala hii story. Sijui zinafanana au laah.

Ila dunia ina mapambano mengi sana.
 
Dunia tambala bovu pole kwa yaliyokukuta japo uliambiwa lakin hukusikia kitu mwisho wa siku umejifunza kitu
 
Wazee wa kulalamika hawawezi kufunga ndoa kabla ya ngono wakijipumbaza kuwa "wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia" wanapaswa kujifunza hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…