Stori ya kweli ya maisha yangu, pitia unaweza kujifunza kitu

Kweny sikosel hapa umedanganya na kupotosha.

Sikoseli ni ugonjwa usioambukizwa ni ugonjwa wa vinasaba mwilini..unarithiwa kutoka kwa wazazi wote wawili.

Ili kuepuka inashuriwa kwenda kupima damu ili kujua kama damu zenu wawili hazina vinasaba hivyo..kabla ya kuanza kuzaa.

#MaendeleoHayanaChama
Umeshasahau kuwa shetani ni Baba wa uwongo?

Ugonjwa unatengenezwa kwa nguvu za giza, tena hata hapo ulipo unaweza kuumwa TB, ingawa nao ni ugonjwa ambukizi lakini bado utazunguka sana mahospitalini kutibiwa ila hutaweza kupona hadi uwe na macho ya rohoni ndipo utajinasua katika huo ugonjwa.
 
Magonjwa yanatoka pande mbili kiroho na kimwili pia yaani yapo ya kibaiologia yaani kisayansi na kiroho pia.
Kwa my tafiti yangu ya kiroho uzao wa asili ya wachawi na waganga likely au wanasumbuliwa Sana na magonjwa hayo kifafa na sikoseli,
Nimemshangaa sana huyo Jamaa, anadhani shetani anashindwa kukopi na kupesti vitu vidogo kama hivyo, yani aweze kukopi Marehemu Baba, Babu, Bibi au Mama akija ndotoni kupumbaza watu kuwa ni mizimu/miungu inayosema na Watu walio hai kupitia nguvu za giza, kisha ashindwe kuweka viini macho kwenye vifaa vya kitabibu kuthibitisha kuwa maumivu anayopitia mgonjwa yamesababishwa na sikoseli au kansa ya damu?

Hajifunzi hata kwa Farao alivyokuwa akipambana na MUNGU kwa nguvu za giza kupitia yale mapigo 10 hadi akaruhusu Wana wa Israel toka Misri kwenda Kanani?
 
Magonjwa yanatoka pande mbili kiroho na kimwili pia yaani yapo ya kibaiologia yaani kisayansi na kiroho pia.
Kwa my tafiti yangu ya kiroho uzao wa asili ya wachawi na waganga likely au wanasumbuliwa Sana na magonjwa hayo kifafa na sikoseli,
Uko sahihi na mimi tafiti zako zinasema hivyo
 
Kila nikitype najikuta nafuta lakini kwa ufupi tu wanawake wa kilosa mpaka dumila pale kaa nao chonjo wao mpaka familia zao hata ujitoe vipi watakuja wakutolee boko hilo moaka kichwa kitauma. Pole kiongozi nahisi maumivu yako
 
A typical woman in Dar es salaam is either dealing with a sponsor, baby daddy issues or friends with benefits arrangement. Some deal with all the three.
 
Natumaini mko salama katika ujenzi wa taifa hii ni story ya kweli kuhusu maisha yangu nimeamua leo kuisema ila kuna ambavyo mnaweza kujifunza.

Nilipomaliza chuo(nilisoma kilimo) niliamua kwenda wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro katika utafutaji nilienda huko kulima mazao haya ya bustani hasa nyanya, hoho na vitunguu nashukuru Mungu kiukwel alinibariki nikawa napata pesa kupitia kilimo.

Nilifanikiwa kupata bint tumuite H tukaanza nae mahusiano ya kimapenz kiukwel ndan ya muda mfupi yule bint tulifanikiwa kupendana sana had ndugu zake wakafahamu kuwa niko na bint yao

Kuna siku moja jiran yao na huyo mwanamke aliniita akaniulza unamjua vyema huyu bint nikasema namfahamu lakin sana ila akaniambia kaa subir utakuja kuona[emoji24][emoji24][emoji24]

Tuliishi kwa amani na upendo ila siku moja nikiwa niko kazin kwenye shughuli zangu za shamba nikapigiwa simu nirud nyumbani kuna matatizo kiukwel nilichukua usafir wangu haraka kurud nyumban nilipofika nilikuta umati mkubwa sana wa watu, ando nikamuona huyo mpenz wangu akiwa amelala chin....kuuliza kulikoni nikaambiwa amepandisha majini(kile nilichoambiwa nitaona ndio hiki)

Baada ya masaa kadhaa mpenz wangu alikaa sawa na kumbukumbu zikaanza kumuijia nilikaa siku mbili tatu nikamuuliza kwan huwa una majin akaniambia ndio na anayo toka muda mrefu wameshapambana had kwa waganga lakin hawakupata mafanikio mie nikamuahid kuwa nitamsaidia ili awe sawa(kosa)

Kiukwel niliwashirikisha ndugu zake juu ya lengo langu la kutaka kumsaidia binti nilianza jitihad za kutafuta waganga ili niweze kumsaidia nilipata waganga weng ila kuna mmoja tu ndio alifanikiwa kumsaidia mpaka akapona

Mganga alivyokuja siku ya kwanza alihitaj kikao cha faragha na mimi akaniambia kuwa kuna vitu anataka kuniambia kama nikiviamin tunaweza kufanya kazi, alisema yafuatayo

1. Kuwa hili tatizo alilonalo mpenz wangu chanzo kikuu ni familia yake yaan familiacyao ni ya kichawi na ndio wanaomloga

2. Nikubali kufa pia maana vita ninayoingia sio ya kitoto

3. Ninaweza nikafirisika yaan mirad yangu yote niliyonao badae inaweza ikayumba na nikawa maskin( mirad nitayotoa pesa kumsaidia huyu mwanamke)

Kwa kuwa nilikuwa nampenda nilikubali hvo vyote ili mradi huyu mwanamke wangu apone

Kiukwel safari huyu mwanamke mpak anapona ni ndefu sana ila kuna matukio meng san hapa nmepitia km kutembea uchi, kukutana na mauza uza kama mapembe n.k (siwez kusimulia kwa kuwa ni meng sana) i

Kiufup ni kuwa bibi yake ni huyu mwanamke alikuwa ni mchaw sana aliuua watoto wake 5 kati ya tisa ili kulipa damu kwenye chama chao cha kichawi.

Finally mwanamke wangu alipona na familia nzima ikawa na furaha na akafaniwa kushika ujauzito na Mungu akamsaidia akajifungua mtoto wa kiume niliipenda sana na kuijali familia yangu ila kipind cha nyuma shangaz yake mkubwa na huyu mwanamke aliwah kuniambia familia uliyoingia sio nzur ish nayo kwa akili na pia mama yangu aliwah kuniambia kuwa akilala anaota kuwa mwanamke nilienao sio sahih kwangu hvo niachane na haraka ila kwa kuwa mapenz ni upofu niliamua kupuuzia yote na kuendelea na mambo yangu.

Maisha yalisonga mbele huku nikipata mafanikio nikajenga nyumba na nikafungua bar na nikawa na mashamba mengi.

Baada ya miaka kwenda ule utabiri kuwa utaanza kufirisika ulianza yaan mambo yangu meng yalianza kwenda ndivyo sivyo kuanzia shambani had kwenye biashara zangu kiukwel nilifuria sana sana had pale kijijin wakajua huyu jamaa tayar kafirisika.

Mpenzi wangu alivyoona nmeanza kukosa pesa alianza dharau na hakutaka kushiriki na mimi chochote hasa mapenz zilianza dharau had ndugu zake pia walianza kunidharau nilitumia pesa nying kutatua matatizo binafs ya mwanamke wng na mtoto na pia ndugu wa mwanamke wangu hasa mama yake aliekuwa anasumbuliwa na uvimbe clinic kila mwez na nilikuwa natoa pesa ndefu, kusomesha mtoto wa marehemu kaka yake n.k

Nilipitia ukame mkubwa sana nikaanza kuuza vitu vya ndani km vile tv na vitu vya kwenye biashara kama friji, tv n.k nilipona vitu vya ndan vimeisha nikaanza kuuza had simu zangu, nguo zangu, viatu n.k

Niliuza vitu ikiwemo had simu nikawa natembea na line tu mfukon....nilipoona mambo yamekuwa magumu nilimtafutia mwanamke wang kaz kwenye shirika fulan hv(kosa kubwa zaid) ili tuweze kusaidiana majukumu kipind hiko nip kwenye matatizo.

Mwanamke alipopata kaz alianza dharau sana na alifikia hatua akaanza kutembea na mmoja wa wafanyakaz wenzie wakawa wanapigiana simu na kuchat muda wote.

Nilipopeleka malalamiko kwa mama mkwe na wazaz wake walisema siwez kumuoa bint yao tyr amechumbiwa na mtu mwingne tokana na kukosa kwangu pesa nilidharauliwa sana.

Nilipitia meng san ila bado nilijaribu vumilia mwanamke alipoona nazid kumban kuwa nae alienda kwa mganga akitaka kuniloga niwe chiz ili niondoke (nilikuta makafara kabatin kwetu)

Mapenz yalizd kufifia na matus yakawa meng kutoka kwa wanaume wake niliamua kukimbia nyumban kwangu na kwenda kuish kwa mjomba wangu.

To cut story nilikuja kufanikiwa badae na yeye sasa hv ana maisha magumu sana.

Mungu n mwema
Pole mkuu ila upimbi ulikuzidi kichwani. Ulishindwa kusomesha hata ndugu zako au kujenga hata kwenu ukakalia kuburuzwa na mapenzi na kuweka heshima ukweni. Siku nyingine acha ufara huo utakuja kufa siku si zako. Mwanamke siyo nduguyo.
 
Magonjwa yanatoka pande mbili kiroho na kimwili pia yaani yapo ya kibaiologia yaani kisayansi na kiroho pia.
Kwa my tafiti yangu ya kiroho uzao wa asili ya wachawi na waganga likely au wanasumbuliwa Sana na magonjwa hayo kifafa na sikoseli,
Uko sahihi kabisa .... kuna ndg yetu aliolewa na bwana mmoja ambaye wazazi wa kiume ni mganga. Bahati mbaya sana sister na mume wake walifariki.
Mtoto wa kiume waliyemzaa akiwa form two alikuja kupata kifafa cha gafla kimemsumbua mnoo hadi akashindwa kupambana na shule kabisa . Hadi leo tunahangaika nae kama ataweza kupona . Yaaani hvi vitu ni kweli kabisa . Sijui hata tutamsaidiaje ili aweze kupona
 
Kinapona kiroho apatiwe training ya kukata zile connection zote na mizimu ila ni lzm muhusika mwenyewe awe ameridhia.
Mwanadamu kapewa UHURU wa kuchagua mema na mabaya
 
Pole mkuu ila upimbi ulikuzidi kichwani. Ulishindwa kusomesha hata ndugu zako au kujenga hata kwenu ukakalia kuburuzwa na mapenzi na kuweka heshima ukweni. Siku nyingine acha ufara huo utakuja kufa siku si zako. Mwanamke siyo nduguyo.
Katika story yangu hakuna mahali nilipozungumzia nilishndwa kusomesha ndugu zangu au kujenga kwetu

Kwetu nilijenga na pia wadogo zng niliwasomesha

Next time uache kukurupuka
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kila nikitype najikuta nafuta lakini kwa ufupi tu wanawake wa kilosa mpaka dumila pale kaa nao chonjo wao mpaka familia zao hata ujitoe vipi watakuja wakutolee boko hilo moaka kichwa kitauma. Pole kiongozi nahisi maumivu yako
Asante mkuu imebak historia kwa sasa naendelea vyema na maisha yangu
 
Natumaini mko salama katika ujenzi wa taifa hii ni story ya kweli kuhusu maisha yangu nimeamua leo kuisema ila kuna ambavyo mnaweza kujifunza.

Nilipomaliza chuo(nilisoma kilimo) niliamua kwenda wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro katika utafutaji nilienda huko kulima mazao haya ya bustani hasa nyanya, hoho na vitunguu nashukuru Mungu kiukwel alinibariki nikawa napata pesa kupitia kilimo.

Nilifanikiwa kupata bint tumuite H tukaanza nae mahusiano ya kimapenz kiukwel ndan ya muda mfupi yule bint tulifanikiwa kupendana sana had ndugu zake wakafahamu kuwa niko na bint yao

Kuna siku moja jiran yao na huyo mwanamke aliniita akaniulza unamjua vyema huyu bint nikasema namfahamu lakin sana ila akaniambia kaa subir utakuja kuona[emoji24][emoji24][emoji24]

Tuliishi kwa amani na upendo ila siku moja nikiwa niko kazin kwenye shughuli zangu za shamba nikapigiwa simu nirud nyumbani kuna matatizo kiukwel nilichukua usafir wangu haraka kurud nyumban nilipofika nilikuta umati mkubwa sana wa watu, ando nikamuona huyo mpenz wangu akiwa amelala chin....kuuliza kulikoni nikaambiwa amepandisha majini(kile nilichoambiwa nitaona ndio hiki)

Baada ya masaa kadhaa mpenz wangu alikaa sawa na kumbukumbu zikaanza kumuijia nilikaa siku mbili tatu nikamuuliza kwan huwa una majin akaniambia ndio na anayo toka muda mrefu wameshapambana had kwa waganga lakin hawakupata mafanikio mie nikamuahid kuwa nitamsaidia ili awe sawa(kosa)

Kiukwel niliwashirikisha ndugu zake juu ya lengo langu la kutaka kumsaidia binti nilianza jitihad za kutafuta waganga ili niweze kumsaidia nilipata waganga weng ila kuna mmoja tu ndio alifanikiwa kumsaidia mpaka akapona

Mganga alivyokuja siku ya kwanza alihitaj kikao cha faragha na mimi akaniambia kuwa kuna vitu anataka kuniambia kama nikiviamin tunaweza kufanya kazi, alisema yafuatayo

1. Kuwa hili tatizo alilonalo mpenz wangu chanzo kikuu ni familia yake yaan familiacyao ni ya kichawi na ndio wanaomloga

2. Nikubali kufa pia maana vita ninayoingia sio ya kitoto

3. Ninaweza nikafirisika yaan mirad yangu yote niliyonao badae inaweza ikayumba na nikawa maskin( mirad nitayotoa pesa kumsaidia huyu mwanamke)

Kwa kuwa nilikuwa nampenda nilikubali hvo vyote ili mradi huyu mwanamke wangu apone

Kiukwel safari huyu mwanamke mpak anapona ni ndefu sana ila kuna matukio meng san hapa nmepitia km kutembea uchi, kukutana na mauza uza kama mapembe n.k (siwez kusimulia kwa kuwa ni meng sana) i

Kiufup ni kuwa bibi yake ni huyu mwanamke alikuwa ni mchaw sana aliuua watoto wake 5 kati ya tisa ili kulipa damu kwenye chama chao cha kichawi.

Finally mwanamke wangu alipona na familia nzima ikawa na furaha na akafaniwa kushika ujauzito na Mungu akamsaidia akajifungua mtoto wa kiume niliipenda sana na kuijali familia yangu ila kipind cha nyuma shangaz yake mkubwa na huyu mwanamke aliwah kuniambia familia uliyoingia sio nzur ish nayo kwa akili na pia mama yangu aliwah kuniambia kuwa akilala anaota kuwa mwanamke nilienao sio sahih kwangu hvo niachane na haraka ila kwa kuwa mapenz ni upofu niliamua kupuuzia yote na kuendelea na mambo yangu.

Maisha yalisonga mbele huku nikipata mafanikio nikajenga nyumba na nikafungua bar na nikawa na mashamba mengi.

Baada ya miaka kwenda ule utabiri kuwa utaanza kufirisika ulianza yaan mambo yangu meng yalianza kwenda ndivyo sivyo kuanzia shambani had kwenye biashara zangu kiukwel nilifuria sana sana had pale kijijin wakajua huyu jamaa tayar kafirisika.

Mpenzi wangu alivyoona nmeanza kukosa pesa alianza dharau na hakutaka kushiriki na mimi chochote hasa mapenz zilianza dharau had ndugu zake pia walianza kunidharau nilitumia pesa nying kutatua matatizo binafs ya mwanamke wng na mtoto na pia ndugu wa mwanamke wangu hasa mama yake aliekuwa anasumbuliwa na uvimbe clinic kila mwez na nilikuwa natoa pesa ndefu, kusomesha mtoto wa marehemu kaka yake n.k

Nilipitia ukame mkubwa sana nikaanza kuuza vitu vya ndani km vile tv na vitu vya kwenye biashara kama friji, tv n.k nilipona vitu vya ndan vimeisha nikaanza kuuza had simu zangu, nguo zangu, viatu n.k

Niliuza vitu ikiwemo had simu nikawa natembea na line tu mfukon....nilipoona mambo yamekuwa magumu nilimtafutia mwanamke wang kaz kwenye shirika fulan hv(kosa kubwa zaid) ili tuweze kusaidiana majukumu kipind hiko nip kwenye matatizo.

Mwanamke alipopata kaz alianza dharau sana na alifikia hatua akaanza kutembea na mmoja wa wafanyakaz wenzie wakawa wanapigiana simu na kuchat muda wote.

Nilipopeleka malalamiko kwa mama mkwe na wazaz wake walisema siwez kumuoa bint yao tyr amechumbiwa na mtu mwingne tokana na kukosa kwangu pesa nilidharauliwa sana.

Nilipitia meng san ila bado nilijaribu vumilia mwanamke alipoona nazid kumban kuwa nae alienda kwa mganga akitaka kuniloga niwe chiz ili niondoke (nilikuta makafara kabatin kwetu)

Mapenz yalizd kufifia na matus yakawa meng kutoka kwa wanaume wake niliamua kukimbia nyumban kwangu na kwenda kuish kwa mjomba wangu.

To cut story nilikuja kufanikiwa badae na yeye sasa hv ana maisha magumu sana.

Mungu n mwema
Sijaelewa vzuri,umeishi nae miaka nafikiri zaidi ya kumi,mmezaa na watoto,alafu ndio unataka kumuoa baada ya yeye kupata kazi,na familia yake wanakwambia kaletewa barua ya uchumba?huyo si tayari mke wako au?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Jitengeneze kabisa uvunje kabisa connection zao japo ni ngumu sababu tayari kuna mtoto umeunganishwa nao.
Mtoto hana kosa unaweza mkomboa au kumlinda kiroho asiwe connected na wapumbavu.
kumkomboa mtoto?hakuna binadamu au kiasi cha pesa kinachoweza kukomboa uhai wa mtu,zaidi ya damu ya yesu,na ukombozi huo ni bure bila hata sh mia.
 
Shida ilianzia ulipoenda kwa Mganga. Pia usijione umefanikiwa kama haujatubu kosa hilo na kuishi maisha ya utakatifu. Hata wapagani wanafanikiwa. Shida ni roho ya mafatilizi na malipizi kwako. Ulijiungamanisha sehemu mbaya sana ifanyie kazi kwa maombi sasa kama ni mwislam sijui vitu vingine havitok isipokuwa kwa jina La Yesu
 
Back
Top Bottom