Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Stori hii ya mtoto wa Seremala ambaye miaka 2000+ baadae stori yake imeungwa mkono na kuenziwa na wafuasi zaidi ya watu bilioni 2.6.
Stori hii iliotengeneza utamaduni na jadi mpya duniani na ikabadirisha ulimwengu for good, utamaduni wa utulivu na amani, kutokuwa na kinyongo na kusamehe, utu na usawa.
Stori hii isio ya kulazimisha wala kukutisha kwamba bila kuifata utaadhibiwa na wanao-parent stori hii duniani ila ni stori inayokuhimiza na kukuhamasisha katika kuiamini.
Stori iliobadirisha empire ya kikatili ya roma na kupiga chini miungu na mienendo ya uovu. Stori hii iliotengeneza blueprint katika mamlaka karibia zote duniani hadi hii leo.
Sijali ni stori ipi unayoiamini ila nachoamini tayari nimeshakombolewa.✝️