Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Kwanini mmechonga sanamu kwa mikono yenu wenyewe na mnaliomba toba na baraka?Haya kabusu jiwe lenu pale kahaba
Kwanini mmechonga sanamu kwa mikono yenu wenyewe na mnaliomba toba na baraka?Haya kabusu jiwe lenu pale kahaba
Hamna anaeyeomba dua sanamu. Na kama anaomba siyo Wakristu wa madhehebu yote wanatumia sanamu.Kubusu mbona mtu anaweza kubusu hata peni , Kitabu lakini Sanamu linaombwa Dua , mtu anatembea nalo kama kinga na mengine katika ushirikina.