Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Wanawake
Mary: 'Hallow mpenzii'

Lily: 'Niambie my dear'

Mary.: 'Pouwaa za siku jamani'

Lily: 'Nzuri rafiki Yangu wa damu'

Mary: 'Jioni nakuja kwako tule na kunywa japo wine wangu.'

Lily: 'Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii'

Baada ya kukata simu kila mmoja anawaza.

Lily: 'Huyu mchawi wa kike leo anataka kuja kwangu wala hanikuti.'

Mary: 'Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende.'

Wanaume.
John: 'Niaje we mbwaa'

Sam: 'Pouwa kichaa wanguu'

John: 'Upo wap mpumbavu wewe.'

Sam: 'Niko hom, we fala Uko wap?'

John: 'Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata.'

Sam: 'Pouwaa we mjinga nakusubiri.'

Baada ya kukata simu kila mmoja anawaza.

John: 'Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time.'

Sam: 'John bwana akiwa na pesa lazima anitafute mwanaeee.:

Moral of the story.

Baadhi ya wanawake hujifanya wanapendana kwa maneno lakini ni kwa nje tu!! ndani WANACHUKIANA SANA.

WANAUME unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lakini WANAPENDANA..

Mpe ✌️ mchizi wako / shost wako kwa tag kudumisha upendo wenu.

Peterrabbit 🥕🐇
Stress free zone
Mpwayungu Village mchizi wangu gwala popote ilipo Scars OKW BOBAN SUNZU Greatest Of All Time Half american DeepPond 2 Chainz_ johnthebaptist
 
ilo niliwahi kulifanyia uchunguzi, urafiki baina ya wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawe, wa wanaume unadumu miaka yote labda mje kuzinguana kwenye masuala ya pesa ila mtanuniana baada ya muda maisha yanaendelea,

wanawake urafiki wao uwa hauchukui round coz kila mtu anajiona ni fahari zaid ya mwingine. akiona mwenzio kapendeza, amenawiri ama ameolewa bas chuki ata salamu anakata, ila sio wote
😅 Wanavimbiana
 
Mimi nataniana na wanaume kuliko hata wanawake.
Kuna marafiki zangu wa kiume nikimpigia au akanipigia ni vicheko tu.

Mimi : weee mpuuzi upo wapi?
Wao : wee fala nini? Ntaenda wapi sasa niko kwa wifi yako nimelala.
Mimi : mpuuzi mkubwa unalala unalala nini una hela?
Wao : we fala una ishu?
Mimi : kiazi wewe fasta wahi hapa chap😅😅😅
 
Mimi nataniana na wanaume kuliko hata wanawake.
Kuna marafiki zangu wa kiume nikimpigia au akanipigia ni vicheko tu.

Mimi : weee mpuuzi upo wapi?
Wao : wee fala nini? Ntaenda wapi sasa niko kwa wifi yako nimelala.
Mimi : mpuuzi mkubwa unalala unalala nini una hela?
Wao : we fala una ishu?
Mimi : kiazi wewe fasta wahi hapa chap😅😅😅
We Fala Umetisha sana. 😅
Yapokee kabisa maua yako💐💐💐💐💐

🥕🐇
 
Umemaliza bro japo hawapendi kuambiwa ukweli 👍

Pokea maua yako kabisa 💐💐💐💐💐

🥕🐇
Kuna mmoja nipo nae hapa akiwa anaongea na wahudumu wa kike anakuwa busy na simu. Nimemshauri hiyo sio ustaarabu na ni dalili ya dharau. Kama mtu amekupa attention ya kukusikiliza kwa nini wewe pia usimsikilize
 
Na tusio na marafiki tuna comment wapiiiii?
[emoji24][emoji24][emoji24] nahisi uchunguu, aaah
 
Mwanamke ni mtu mnafik sana kwa nafsi ake na kwa wanwake wenzake yaani kama terminator
 
Back
Top Bottom