Stories za nightclub!

I hustle by my own,kwanini nikinazo nisifanye kitu nachokipenda!! Yaani naenda kwa raha zangu zote,nakunywa nacheza nikichoka narudi.
That's my life[emoji16][emoji16][emoji16]
Can I ask for ur company?
Siku yoyote we niite tu ntakuja [emoji2]
Will u??
 
I hustle by my own,kwanini nikinazo nisifanye kitu nachokipenda!! Yaani naenda kwa raha zangu zote,nakunywa nacheza nikichoka narudi.
That's my life[emoji16][emoji16][emoji16]
Njoo kwenye interview ya alibakari hapa jirani
 
Ok let me know when you rich the place
(Sipending kingereza jamani)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kilikuja kwa ndege usijali...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Enzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie

nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani

Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…