Stories za nightclub!

Stories za nightclub!

I hustle by my own,kwanini nikinazo nisifanye kitu nachokipenda!! Yaani naenda kwa raha zangu zote,nakunywa nacheza nikichoka narudi.
That's my life[emoji16][emoji16][emoji16]
Can I ask for ur company?
Siku yoyote we niite tu ntakuja [emoji2]
Will u??
 
I hustle by my own,kwanini nikinazo nisifanye kitu nachokipenda!! Yaani naenda kwa raha zangu zote,nakunywa nacheza nikichoka narudi.
That's my life[emoji16][emoji16][emoji16]
Njoo kwenye interview ya alibakari hapa jirani
 
Vijana wa siku hizi mmebaki na Bar tu hamna clubs! Nakumbuka siku hio nimeingia club na washkaji tuko watatu, majuu hio. Tuliposimama kwa mbele alikuwa kasimama demu mmoja mkali sana. Sasa kumbe kuna jamaa alikuwa anamsumbua demu akamwambia yule jamaaa bf yule pale anakuona huku ana point kwangu.
Jamaa alikuwa kalewa kidogo akaja tuliposimama akawa ananiomba msamaha mimi sielewi akaniambia gf wako kaniambia uko hapa sorry nilijuwa namsumbua akaondoka mimi kugeuka yule demu ananiangalia na smile moja zuri sana!
Ikabidi nimfuate tukaanza kuongea akaniambia anasubiri rafiki zake kweli baada ya muda wakaja nikawaacha nikarudi kwa wenzangu kwa makubaliano akitaka kuondoka tutaongea zaidi. Then muda wa kuondoka kweli tukaongea nikachukua namba yake,nilim date huyo demu on off kwa miaka 3!
Sikumshangaa sana huyo demu kwasababu enzi hizo nikiingia club unaweza kunifananisha na Nelly,Fabolous au Chingy....ukitaka kujua siku hip nilivaaje angalia Fabulous alivyovaa kwenye cover ya Street Dreams!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Enzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie

nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani

Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.
 
Back
Top Bottom