Enzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie
nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani
Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.
Wewe acha enzi hizo Mbowe ana curl kit na jina tulilolizoea ni Free.Namskia saana huyu jamaa
....mimi nilianza clubs nipo under 18.
Nakumbuka siku nililazimisha kuingia baunsa alinidunda mateke hadi leo huyo mzee hatuelewani.
Sijui nilijiamini nini nilijuta sana asubuhi
Hahahaa umenikumbusha mzee wasira kuna siku nimeskia anasema mnadanganywa name DJ Mbowe...Wewe acha enzi hizo Mbowe ana curl kit na jina tulilolizoea ni Free.
Itakuwa nguvu ya kimiminika tuSijui nilijiamini nini nilijuta sana asubuhi
Itakua tu hivi hivi nisingeweza ila nilimuaibisha misifa yote ilimuishaItakuwa nguvu ya kimiminika tu
kuruka majokaUlienda kufanya nini?
sawa kazi kwako mkuuMpaka wewe unaingia club mkuu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuanzia leo nitakuwa siendi teeeeeeena.
Best aliamua kukataa hela kisa ww kweli mmeshibana ww na best wakoEnzi hizo kuna kaka wa kihindi alikua ananifuatilia muda mrefu namkataa mara tukakutana Club, akaniambia hivi wewe (akanitaja jina).....kwanini hunitaki? basi nitajie nikupe kiasi gani unikubalie
nikaona huyu mbona kanidharau sana nikachukua pombe niliyoshika mkononi nikammwagia kichwani
Akajifanya anataka kuanzisha vurugu wakati mwenye Club ni best wangu sana akapigwa stop asiingie pale tena.
Aisee kweli bhana niliwahi kwenda club moja kyaka bukoba nilikuwa njian kuelekea Kampala nikalala hapo lodge usiku nikazama ka club kamoja watu Wa kuhesabu mademu wawili watatu nikaka muda Wa saa nane hivi nikamtongoza meneja Wa kike Wa ile club nikaenda kumega lodge!Mkuu club napenda ila toka niwe mkoa wa Mji kasoro bahari sitamani hata kwenda ...unaenda club ujikuta mpo watu kumi yaani club barid kali kama.......
Bahati yako mkuu kwingne unakuta hata meneja ni wakiumeAisee kweli bhana niliwahi kwenda club moja kyaka bukoba nilikuwa njian kuelekea Kampala nikalala hapo lodge usiku nikazama ka club kamoja watu Wa kuhesabu mademu wawili watatu nikaka muda Wa saa nane hivi nikamtongoza meneja Wa kike Wa ile club nikaenda kumega lodge!
Wewe acha enzi hizo Mbowe ana curl kit na jina tulilolizoea ni Free.