Stories za nightclub!

sijawai kwenda na demu club ila sijawahi kosa demu wa kucheza nae(sio kwamba najisifia) nikipata chance ya kucheza na demu(ambae nimependa jinsi anavyokata mauno)hata dkk 1..lazma anigande na mwisho wa siku najikutaga nacheza na demu mkali mpaka wahuni nliokuja nao wananishangaaga yani huwaga kama nakabahati flani iviii,tokea nikiwa shule
 
Hujamalizia mkuu huwa unacheza tu mziki au na ule mchezo pendwa!
 
Tulienda club baada ya kutoka kwenye uchaguzi wa chuo, Bint mmoja akabeba kamera wkt ule simu za Siemens, anapiga picha watu tunaocheza mziki. Akatokea sharobaro mmoja kamkunja mdada wa watu eti kwanini anawapiga picha.

Mbona kamati ya makinikia ilikaa maana kamera ilipokonywa na zile pombe ilikuwa balaa.
 
Hujamalizia mkuu huwa unacheza tu mziki au na ule mchezo pendwa!
kula mzigo ni mara chache sana(siunajua tena mademu wa club)
kuna kipindi nikiwa shule(boarding) tulitoroka tukaenda ka pub flanivi kadogo na wahuni wangu kabla hatujafika nikapitia sehemu nikanunua weed yakutosha nikavuta na muhuni wangu(wengine walikua hawatumii) tukaingia pub,tukakaa na kuagiza vinywaji vyakutosha(siunajua tena kufuru za wanafunzi batani)tulikua ndo tumefungua kwaio tulikua na pesa yakutosha..kabla vinywaji havijaletwa nikaanza kuona wahuni wanaondoka mmoja mmoja nikastuka nikajiuliza kuna ninii,kuangaliaangalia hivi!!! mwalimu mkuu huyu hapa anakaa kwenye ile meza niliokua nimekaa...sintakaa niisahau hii siku,ntamalizia kesho ngoja nlale kwanza
 
Hahaaaaaa club Royal njia panda aisee maisha ya club raha sana
 
Haya bwana shikamoo ila ukija kwenye anga zangu nakusomesha namba kaa mbali na michuchu yangu.
Michuchu yako sina haja nayo. Mama zako wadogo wananitosha kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…