Stories za nightclub!

Stories za nightclub!

sio mara moja au mbili au tatu, nawaona katika sehemu tofauti tofauti, niliwahi jichanganya once pale zamani bills, lakini kwa sasa si mpenzi wa kwenda club tena, mambo yanabana...ilikuwaje? niliingia kwenye kumi na nane za mcharuko KAISHKA, jinni fundi...anyway ngoja niendelee kusoma ya wenzangu...sipendi kuizungumzia hii..
unatuacha hewani kama kwenye ile thread ile
 
Vijana wa siku hizi mmebaki na Bar tu hamna clubs! Nakumbuka siku hio nimeingia club na washkaji tuko watatu, majuu hio. Tuliposimama kwa mbele alikuwa kasimama demu mmoja mkali sana. Sasa kumbe kuna jamaa alikuwa anamsumbua demu akamwambia yule jamaaa bf yule pale anakuona huku ana point kwangu.
Jamaa alikuwa kalewa kidogo akaja tuliposimama akawa ananiomba msamaha mimi sielewi akaniambia gf wako kaniambia uko hapa sorry nilijuwa namsumbua akaondoka mimi kugeuka yule demu ananiangalia na smile moja zuri sana!
Ikabidi nimfuate tukaanza kuongea akaniambia anasubiri rafiki zake kweli baada ya muda wakaja nikawaacha nikarudi kwa wenzangu kwa makubaliano akitaka kuondoka tutaongea zaidi. Then muda wa kuondoka kweli tukaongea nikachukua namba yake,nilim date huyo demu on off kwa miaka 3!
Sikumshangaa sana huyo demu kwasababu enzi hizo nikiingia club unaweza kunifananisha na Nelly,Fabolous au Chingy....ukitaka kujua siku hip nilivaaje angalia Fabulous alivyovaa kwenye cover ya Street Dreams!
 
Unanikumbusha hiyo pia iliwahi nikuta Tabora pale jirani na chuo cha uhaziri ile naingia kulipia kiingilio nakuta mchizi anamsumbua Dada mmoja hivi gafla yule Dada akanivaa huku kanishika bega anamsondea kidole yule jamaa huku anamwambia si unaona nilikwambia mwenyewe anakuja Wewe huelewi huyu hapa kaja [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kucheki demu mwenyewe mkali kiaina nikaopoa hapo hapo nikamlipia kiingilia na badae nikamega mzigo
 
Halafu uje kwenye interview ya alibakari
 
Back
Top Bottom