[emoji6] [emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Hahahahaaaaaa awaoe tu wote,litakua bonge moja la series kupata kutokea........na hz social media full kuburudika.
Alafu tigo,voda n air tel kila mmoja ajichukulie ambassador wake si kwa jinsi tutakavyokua tunanunua bando.kila team na line zao
Naomba nilipwe kwa idea hii
Umeona eeerhh!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sijui ushoga utaendelea tena kati ya idriss na chibuuKurudiana kwao kunaanzaga kiutani utani ivi........Mara paaaap hawa hapa wadendeka kwny mipicha Tao
Km namuona idrisa anavyougulia
Evelyn unazingua sasaSi uende jukwaa la viwanda
Small minds mnapenda udakuNenda jukwaa la uchumi
Kila mtu apambane na hali zake
We ndo unaezingua, umefungua jf umepita majukwaa yoote ukaja huku, afu wajidai tuongee viwanda, viwanda vipo jukwaa la ma celebrities? Mpunguze unaaEvelyn unazingua sasa
Big mind huku umefata nini!?Small minds mnapenda udaku
Kitoto cha shilawadu hicho[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
vitu vya msingi vipo jukwaa la biashara sio hukuWatanzania hao hao wanalalamika ajira ngumu Mara maisha magumu na pesa Hamna kutwa kudiscuss huyu kafanya hiki na kile vitu visivyo na msingi badala mpambane na hali zenu
Naona unajitoa ufahamuvitu vya msingi vipo jukwaa la biashara sio huku
Mnashangaza nyie, ukienda msibani unapiga vigelegele ukienda harusini unalia.Naona unajitoa ufahamu
Sasa jukwa la viwanda wadiscuss mapenzi auTudiscuss viwanda vipya jamani tuachane na mambo ya diamond na wanawake wake