Story chini ya kapeti wema na daimond wamerudiana

Story chini ya kapeti wema na daimond wamerudiana

Hahahahaaaaaa awaoe tu wote,litakua bonge moja la series kupata kutokea........na hz social media full kuburudika.
Alafu tigo,voda n air tel kila mmoja ajichukulie ambassador wake si kwa jinsi tutakavyokua tunanunua bando.kila team na line zao

Naomba nilipwe kwa idea hii
[emoji6] [emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Kurudiana kwao kunaanzaga kiutani utani ivi........Mara paaaap hawa hapa wadendeka kwny mipicha Tao

Km namuona idrisa anavyougulia
Umeona eeerhh!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sijui ushoga utaendelea tena kati ya idriss na chibuu
 
We ndo unaezingua, umefungua jf umepita majukwaa yoote ukaja huku, afu wajidai tuongee viwanda, viwanda vipo jukwaa la ma celebrities? Mpunguze unaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Watanzania hao hao wanalalamika ajira ngumu Mara maisha magumu na pesa Hamna kutwa kudiscuss huyu kafanya hiki na kile vitu visivyo na msingi badala mpambane na hali zenu
 
Watanzania hao hao wanalalamika ajira ngumu Mara maisha magumu na pesa Hamna kutwa kudiscuss huyu kafanya hiki na kile vitu visivyo na msingi badala mpambane na hali zenu
vitu vya msingi vipo jukwaa la biashara sio huku
 
Jinsi ulivyoleta huo uzi umenikumbusha uandishi wa Warumi Aisee, sijui yuko wapi binamu jamani! Kina Nifah, Atoto, Heaven on Earth, na wengineo. Tulikuwaga wambea first grade! I miss em old days.
 
Back
Top Bottom