πππππMimi hii kitu ndo haijawahi nikaa kabisa!! Hapa tumepigwa sana kwenye hizi dini. Ukweli lazima usemweView attachment 1825278
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hii kitu ndo haijawahi nikaa kabisa!! Hapa tumepigwa sana kwenye hizi dini. Ukweli lazima usemweView attachment 1825278
DaahKwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Mimi hii kitu ndo haijawahi nikaa kabisa!! Hapa tumepigwa sana kwenye hizi dini. Ukweli lazima usemweView attachment 1825278
Kuna sura na mstari kwenye kitabu cha yohana mtakatifu, unasema kama biblia ingeandika kila kitu basi isingetosha wala kujaa, hivo naamini pia kuna watu waliokuwepo ambao hawakuongelewa ktk kipengele hicho cha Kain, huenda ikawa pia ni wale jamii ya wanefili ambao kwenye mwanzo wanatajwa tu lkn hawakuonglewa kwa undani sanaKwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Kuna sura na mstari kwenye kitabu cha yohana mtakatifu, unasema kama biblia ingeandika kila kitu basi isingetosha wala kujaa, hivo naamini pia kuna watu waliokuwepo ambao hawakuongelewa ktk kipengele hicho cha Kain, huenda ikawa pia ni wale jamii ya wanefili ambao kwenye mwanzo wanatajwa tu lkn hawakuonglewa kwa undani sana
HahahhhhhKuna yule baharia alitaka kusababisha wenzake wafe kwa meli wakamtupa baharini akamezwa na samaki siku 3 halafu akatemwa kule alipotakiwa kwenda ambapo alikuwa hataki na aliagizwa na Mungu..[emoji1787][emoji1787]
Haikutosha vipi kwa mose ati alitawanya bahari waisraeli wakapita!.. nilipopenda zaidi ati shetani alienda mbinguni kuongea na Mungu ili amjaribu yule msela aliepewa mapunye mwili mzima,utajiri wake ukapotea,familia yake ikafa! How can it be wengine wafe kisa kujaribiwa kwa mtu mmoja!![emoji3]
Vipi kuhusu Israel ati alipigana na malaika usiku kucha mwisho wa siku malaika akaamua amtengue nyonga yakobo..[emoji1787] jamani kama ni kupima uwezo Mungu si anajua uwezo wa kila mtu Sasa vipi kutumiana malaika waje tupigane nao ngwara..??[emoji23]
Tuachane na yote ati Adam na Eva walipokula tunda Mungu alipokuja akaanza kuwauliza ati nani kawaambia wapo uchi baada ya kula tunda!.. wakati huohuo tunaambiwa Mungu anayajua yote mwanzo Hadi mwisho sasa alikasirika nini na wakati alikuwa anajua kila kitu!
Alimuumba shetani huku akijua ya kuwa atakuja msaliti..[emoji1787] what a movie..??
Kuna yule baharia alitaka kusababisha wenzake wafe kwa meli wakamtupa baharini akamezwa na samaki siku 3 halafu akatemwa kule alipotakiwa kwenda ambapo alikuwa hataki na aliagizwa na Mungu..π€£π€£
Haikutosha vipi kwa mose ati alitawanya bahari waisraeli wakapita!.. nilipopenda zaidi ati shetani alienda mbinguni kuongea na Mungu ili amjaribu yule msela aliepewa mapunye mwili mzima,utajiri wake ukapotea,familia yake ikafa! How can it be wengine wafe kisa kujaribiwa kwa mtu mmoja!!π
Vipi kuhusu Israel ati alipigana na malaika usiku kucha mwisho wa siku malaika akaamua amtengue nyonga yakobo..π€£ jamani kama ni kupima uwezo Mungu si anajua uwezo wa kila mtu Sasa vipi kutumiana malaika waje tupigane nao ngwara..??π
Tuachane na yote ati Adam na Eva walipokula tunda Mungu alipokuja akaanza kuwauliza ati nani kawaambia wapo uchi baada ya kula tunda!.. wakati huohuo tunaambiwa Mungu anayajua yote mwanzo Hadi mwisho sasa alikasirika nini na wakati alikuwa anajua kila kitu!
Alimuumba shetani huku akijua ya kuwa atakuja msaliti..π€£ what a movie..??
Mpk hapo bado unaamini Kuna mbingu..?πWe jamaa mbingu utaishia kuisoma JF ππ