Binafsi kwenye kitabu cha dini yangu ya Kikristo, yaani BIBLIA TAKATIFU, sijawahi wala sitarajii kusikia Ngano humo ndani. Yote yaliyomo humo ni kweli tupu. Ni mafundisho ya kweli na ya UHALISIA.

Umewaza mbali...ila mimi huwa nahisi kwa Uungu aliokuwa nao Yesu alikuwa akiongea kila mtu anasikia hata aliyekuwa mbali kiasi gani😎
Binafsi kwenye kitabu cha dini yangu ya Kikristo, yaani BIBLIA TAKATIFU, sijawahi wala sitarajii kusikia Ngano humo ndani. Yote yaliyomo humo ni kweli tupu. Ni mafundisho ya kweli na ya UHALISIA.
Hadithi ya Yona kumezwa na samaki na kukaa tumboni mwa samaki kwa siku 3 ni ngano kama ngano zingineNgano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu.
Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini yako?
Hadithi ya Yona kumezwa na samaki na kukaa tumboni mwa samaki kwa siku 3 ni ngano kama ngano zingine
We jamaa mbingu utaishia kuisoma JF 😂😂
Mpk hapo bado unaamini Kuna mbingu..?😁