Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Hadithi ya Yona kumezwa na samaki na kukaa tumboni mwa samaki kwa siku 3 ni ngano kama ngano zingine
 
Hadithi ya Yona kumezwa na samaki na kukaa tumboni mwa samaki kwa siku 3 ni ngano kama ngano zingine

Mathayo 12:40: “Kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la yule nyangumi siku tatu mchana na usiku, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakaa ndani ya moyo wa nchi siku tatu…”

Qur’an pia inamtaja Yunus (Yona) kuwa ni Nabii, na inaeleza kwamba alimezwa na samaki (Qur’an 37:139–145).

Unaweza kusema, “Mimi siamini kwamba jambo hilo lilitokea,” lakini kusema “ni ngano” kunahitaji ushahidi kwamba ni hadithi iliyobuniwa.

Kutowezekana kwako kulielewa tukio hilo kwa mazingira ya kawaida si sawa na kuthibitisha kwamba halikutokea. Kwa Mungu mwenye uwezo wa kuumba mwanadamu na ulimwengu mzima, tukio la kimiujiza si jambo lisilowezekana.
 
NInachoamini ni zaburi , mhubiri, na vitabu vinavyoelezea wafalme waliowahi kuepo israel sijui misri na huko kwingineko, ila hivi vingine ni ngano ya baresa, ,,, mfno mwanzo, hadithi za akina ayubu, akina yona na wengineo akina ufunuo nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…