Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Hiyo sayansi ilikuwepo kitambo tuu
“He has let free the two bodies Of
flowing water, Meeting together: Between them is a Barrier Which they
do not transgress.” [Al-Qur’aan 55:19-20]

Oceanologists are now in a better position to explain this verse. There is a slanted unseen water barrier between the two seas through which water from one sea passes to the other.

But when the water from one sea enters the other sea, it loses its distinctive characteristic and becomes homogenized with the other water. In a way this barrier serves as a transitional homogenizing area for the two waters. This scientific phenomenon mentioned in the Qur’aan was also confirmed by Dr. William Hay who is a well-known marine scientist and Professor of Geological Sciences at the University of Colorado.
 
Vitabu vya dini ukitumia logic, HUTOBOI. Maana kuna vingine havimake sense kabisa. Kufika mbinguni kazi sana.

Kuna muda unasoma unaona kabisa hii chai sasa, hasa yule mwamba aliyemezwa na samaki siku 3. Kwamba alikuwa tumboni amekaa tu. Sijui anapumuaje huko tumboni.

Mungu kama unatusikia tusamehe tu baadhi yetu
Mwamba yule jina lake kwa kimalkia ni la 'SUPIKA' wa mjengo wa jamhuri ya watu wanao weka matanga na nia.
 
Siku hizi ili kupata likes inabidi uwe mpuuzi na kuandika upuuzi kwa kadri inavyotakiwa.
Mkuu umeongea ukweli kiasi flani.
Lakini mleta mada na wachangiaji mada wana hoja zenye kufikirisha.
Note: Naamini Mungu au muumba yupo ila mafundisho na maandiko mengi ni uzushi na batili.
 
Utasikia hata baadhi ya vitu walivyotumia ni vitukufu,

Sandal
Punda
Ngamia
Nyumba walizoishi
Marafiki zao
Washikaji zao

Blah blah nyiingi.. mimi naamini hao jamaa walikuwa wanatumia marijuana...walikuwa na akili nyingi kuwazidi wenzao basi, zilizobakia ni hadithi tu..

Ukitaka kuamini doma Biblia ama Quran ama kitabu chochote cha dini ukiwa High ndio utajua mambo yaliyoandikwa mule yoote hayapo ni mavitu ambayo hayawezi ata kuwa kueleweka
 
Mkuu unamaanisha nisome Biblia au Quran nikiwa nimevuta cha Arusha a.k.a Msuba au Mjani ndio nitaelewa upotoshaji wake. You are so funny
 
Kwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).

Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).

Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).

Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).

Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.

Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).

Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.

Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?

Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Mkuu kuna yule aliyeumbwa siku Moja na adam, na Mungu akawaita Adam, kuna wa pili ambaye ubavu wa adamu ulichomolewa, baada ya kupewa usingizi mzito, Eva. Kwahiyo kuna uumbaji wa aina mbili za mwanamke.
 
Kuna yule baharia alitaka kusababisha wenzake wafe kwa meli wakamtupa baharini akamezwa na samaki siku 3 halafu akatemwa kule alipotakiwa kwenda ambapo alikuwa hataki na aliagizwa na Mungu..[emoji1787][emoji1787]

Haikutosha vipi kwa mose ati alitawanya bahari waisraeli wakapita!.. nilipopenda zaidi ati shetani alienda mbinguni kuongea na Mungu ili amjaribu yule msela aliepewa mapunye mwili mzima,utajiri wake ukapotea,familia yake ikafa! How can it be wengine wafe kisa kujaribiwa kwa mtu mmoja!![emoji3]

Vipi kuhusu Israel ati alipigana na malaika usiku kucha mwisho wa siku malaika akaamua amtengue nyonga yakobo..[emoji1787] jamani kama ni kupima uwezo Mungu si anajua uwezo wa kila mtu Sasa vipi kutumiana malaika waje tupigane nao ngwara..??[emoji23]

Tuachane na yote ati Adam na Eva walipokula tunda Mungu alipokuja akaanza kuwauliza ati nani kawaambia wapo uchi baada ya kula tunda!.. wakati huohuo tunaambiwa Mungu anayajua yote mwanzo Hadi mwisho sasa alikasirika nini na wakati alikuwa anajua kila kitu!
Alimuumba shetani huku akijua ya kuwa atakuja msaliti..[emoji1787] what a movie..??
Wafia dini huwa hawapendi kujiuliza maswali uliyojiuliza, maana yanaleta msuguano wa kiimani, utawasikia Mungu ana makusudi.

Umeiacha ile ya kuufanya moyo wa farao kuwa mgumu, alafu akaua wazaliwa wa kwanza wa wanyama na binafamu.
 
Mkuu hiyo nayo ilinifanya nishangae mashangao yote..🤣

Yani alimfanya kuwa mkaidi halafu akamuadhibu then farao ndo anaonekana mmbaya na si Mungu aliemfanya farao kuwa mkaidi..😀
 
Biblia ukisoma nusu nusu hutoelewa milele hasa neno lenye uchaji wa Mungu halieleweki kwa wote. Mfano kuna watu wa itelejinsia humu huwasiliana kwa maandishi haya na wengi wetu hatujui wala kuelewa chochote, note that.
Kama sio mcha Mungu sahau kuhusu kuelewa Neno LA Mungu.
Kwani neno ( biblia au Msahafu)la Mungu ni kwa ajili ya wale wamchao bwana au wale wasio mcha?
 
Kitu kingine kinachonishangaza shetani alipokengeuka kwanini asitupwe kwingine akatupwa huku duniani.Je ilikuwa ni mpango wa huyo mungu shetani atutaabishe
 
Hili nalo no la kujiuliza sana. Tumepigwa sana lwenye hizi dini
IMG-20201115-WA0044.jpg
 
Picha ya Yesu ipo mpaka sanamu(sawa)
Maria (Mama mtoto) ipo,
Kuna hawa picha sijawahi kuziona;
Petro,
Yuda,
Daniel,
Au washkaji zake na Yesu.

Kama camera 📷 ilikuwa bado, je alichorwa au alichongwa kama vinyago vya Mwenge🙄
Kwa nini picha za wengine hazipo!!!
 
Kwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).

Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).

Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).

Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).

Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.

Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).

Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.

Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?

Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Kwakweli hapa ni kikwazo sana ila naamini Mungu yupo kweli pamoja ni mikanganyiko yote hii
 
Picha ya Yesu ipo mpaka sanamu(sawa)
Maria (Mama mtoto) ipo,
Kuna hawa picha sijawahi kuziona;
Petro,
Yuda,
Daniel,
Au washkaji zake na Yesu.

Kama camera [emoji328] ilikuwa bado, je alichorwa au alichongwa kama vinyago vya Mwenge[emoji849]
Kwa nini picha za wengine hazipo!!!
Hapa umekaza kichwa tu ila inaeleweka kabisa
 
Back
Top Bottom