Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
πππ uku kavaa nusu kanzuDraft mtu anakuja na kikapu cha chumvi huku anaongea kwa lafudhi.
Mwanangu acha kabisa an na imagine hyo game ya mwisho sijui jamaa kichwani aliwaza nn hyo mwenyejiKila nikisoma nacheka najua hii kutu ishawahi nitokea..
Panga siku tucheze mm na wewe dau 50k tuKmmmke πππππππππππ
Unakuta game ya mwisho hyo ya laki na 20 hata wale wadhamini walistuka maninaaa unakuta jamaa anapaka poda mikononi hapo ndo unajua hiki cha kike...
Eeeh ikawaje mkuu
ππππππππ€£π€£π€£ Nyie watu leo mmepanga kutuchekesha...Draft mtu anakuja na kikapu cha chumvi huku anaongea kwa lafudhi.
π π π π π Nishashuhudia mtaani, jamaa kaja kwemye pool table na bodaboda yake akakuta watu wanacheza hiyo kamari.Akaomba acheze kwa elfu tano, baada ya mda jamaa kaliwa elfu hamsini mara ikafika laki mbili na nusu watu walijaa wanashangilia mwenyeji anavyopiga pesa.Sasa chakushangaza jamaa yani anacheza kama anajifunza au hajui vile kumbe alikuwa anamvuta tu, imefika laki mbili na nusu akasema tuweke laki tatu mchezo wa mwisho maana umenila sina hela nisijekuweka bondi bodaboda yangu aiseee huu mchezo wa mwisho mwenyeji aliingiza kete mbili tu na game akalimaliza bodaboda. Baadae ndo tukajakujua kumbe jamaa ni mcheza kamari hatari na anatembea kwenye mapool table kila sehemu kuwapuna wenzie.Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa
Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki mwenyeji hakua na pesa ila kwa uchezaji wa mgeni mwenyeji alipata wadhamini ikafika laki na 20 mgeni akamuambia twende yote mwenyej akakubali mgeni alivyo shika stik game liliisha na ela zikaondoka
πππππππ€£π€£π€£ Alafu badae dau lipande au...π€£π€£π€£ Acheni nicheze na mishangazi tuuPanga siku tucheze mm na wewe dau 50k tu
Ahahahah serious panga siku bhnaπππππππ€£π€£π€£ Alafu badae dau lipande au...π€£π€£π€£ Acheni nicheze na mishangazi tuu