Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kwahyo jamaa anazunguka table kwa table anajifanya yeye danda an na madenda juu..😅😅😅😅😅Nishashuhudia mtaani, jamaa kaja kwemye pool table na bodaboda yake akakuta watu wanacheza hiyo kamari.Akaomba acheze kwa elfu tano, baada ya mda jamaa kaliwa elfu hamsini mara ikafika laki mbili na nusu watu walijaa wanashangilia mwenyeji anavyopiga pesa.Sasa chakushangaza jamaa yani anacheza kama anajifunza au hajui vile kumbe alikuwa anamvuta tu, imefika laki mbili na nusu akasema tuweke laki tatu mchezo wa mwisho maana umenila sina hela nisijekuweka bondi bodaboda yangu aiseee huu mchezo wa mwisho mwenyeji aliingiza kete mbili tu na game akalimaliza bodaboda. Baadae ndo tukajakujua kumbe jamaa ni mcheza kamari hatari na anatembea kwenye mapool table kila sehemu kuwapuna wenzie.
Ndo hapa mtaani kuna dogo anaitwa roja..
Huyu dogo ukimuona unaweza sema ni mtoto wa shule ya msingi na mda mwingi anashinda na watoto wenzake..
Mi kuna siku nimeshuhudia dogo anatoka kuoga na taulo alafu pale kwao ana gettho lake kabisa...
Kuchimba za chini chini naambiwa jamaa alimaliza form kitambo..
Sasa najiuliza mbona ni mtoto, nikaja ambiwa jamaa anatuchora et...
Huyu dogo kila nikimuona nacheka sana utashangaa mashikaji wanamuita alafu wana mwambia ""acha kutuchora faza"""