Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kwahyo jamaa anazunguka table kwa table anajifanya yeye danda an na madenda juu..π π π π π Nishashuhudia mtaani, jamaa kaja kwemye pool table na bodaboda yake akakuta watu wanacheza hiyo kamari.Akaomba acheze kwa elfu tano, baada ya mda jamaa kaliwa elfu hamsini mara ikafika laki mbili na nusu watu walijaa wanashangilia mwenyeji anavyopiga pesa.Sasa chakushangaza jamaa yani anacheza kama anajifunza au hajui vile kumbe alikuwa anamvuta tu, imefika laki mbili na nusu akasema tuweke laki tatu mchezo wa mwisho maana umenila sina hela nisijekuweka bondi bodaboda yangu aiseee huu mchezo wa mwisho mwenyeji aliingiza kete mbili tu na game akalimaliza bodaboda. Baadae ndo tukajakujua kumbe jamaa ni mcheza kamari hatari na anatembea kwenye mapool table kila sehemu kuwapuna wenzie.
Mi hapana pool table siliwezi πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£Ahahahah serious panga siku bhna
Draft utoboi ukikutana na uyo wa kifuko cha chumvi una pigwa supaaMi hapana pool table siliwezi πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mybe draft sema kuna jamaa kasema sijui mtu anakuja na kifuko cha chumvi
Mkuu kamari haipo hivyo wewe hujiulizi mtu analiwa kila siku kweye Betting na bado anachezaAliwavutia maji marefu, hawakujua huo mtego,
Mtu unamla yeye anazidi tu kupandusha dau, jua anakuvutia maji marefu.
Ahahahahha et anaongea lafudhi ahahahahhaha daaha nimecheka sanaDraft utoboi ukikutana na uyo wa kifuko cha chumvi una pigwa supaa
Acha kabisa af ukute kavaa kanzuAhahahahha et anaongea lafudhi ahahahahhaha daaha nimecheka sana
Ahahahaha bao la kete...Acha kabisa af ukute kavaa kanzu
Kumbe kwenye simu mm nataka liveAhahahaha bao la kete...
Sema mimi nina magemu yangu hayo ya kwenye simu weww hutoboi kaka yanaitwa escape
Kuna muhuni anaitwa Kete huyu ukimuona Temeke, Manzese au Mbezi mwisho niite nina kisasi nae hawezi kunifedheheshaπ π π π π Nishashuhudia mtaani, jamaa kaja kwemye pool table na bodaboda yake akakuta watu wanacheza hiyo kamari.Akaomba acheze kwa elfu tano, baada ya mda jamaa kaliwa elfu hamsini mara ikafika laki mbili na nusu watu walijaa wanashangilia mwenyeji anavyopiga pesa.Sasa chakushangaza jamaa yani anacheza kama anajifunza au hajui vile kumbe alikuwa anamvuta tu, imefika laki mbili na nusu akasema tuweke laki tatu mchezo wa mwisho maana umenila sina hela nisijekuweka bondi bodaboda yangu aiseee huu mchezo wa mwisho mwenyeji aliingiza kete mbili tu na game akalimaliza bodaboda. Baadae ndo tukajakujua kumbe jamaa ni mcheza kamari hatari na anatembea kwenye mapool table kila sehemu kuwapuna wenzie.
Ilikuaje mkuuKuna muhuni anaitwa Kete huyu ukimuona Temeke, Manzese au Mbezi mwisho niite nina kisasi nae hawezi kunifedhehesha
Drafti siyo? Upo kwenye website ya play ok ya Tanzania draughts?Mi hapana pool table siliwezi πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mybe draft sema kuna jamaa kasema sijui mtu anakuja na kifuko cha chumvi
Hapana mkuu..Drafti siyo? Upo kwenye website ya play ok ya Tanzania draughts?
Ni kucheza draft online. Kuna kipindi members wengi tulikua tunapasha kuleHapana mkuu..
Kwani kunani huko ahahahah
Sasa matusi yametokea wapi? Umeshindwa kuandika bila kutukana?Kmmmke πππππππππππ
Unakuta game ya mwisho hyo ya laki na 20 hata wale wadhamini walistuka maninaaa unakuta jamaa anapaka poda mikononi hapo ndo unajua hiki cha kike...
Eeeh ikawaje mkuu
Betting na hapa ni vitu viwili tofauti...Mkuu kamari haipo hivyo wewe hujiulizi mtu analiwa kila siku kweye Betting na bado anacheza
Watu wanajua kule sio poa et ,,,,, π π πNi kucheza draft online. Kuna kipindi members wengi tulikua tunapasha kule
Na wewe umesoma kweli...Sasa matusi yametokea wapi? Umeshindwa kuandika bila kutukana?
Unatufanya basi tusome mimatusi yako bila sababu. Acha hivyo sio kitu kizuri.