Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mwanangu na mie Leo Kuna bibie kanipuna kimasikhara tu nilimuona zoba kumbe sio πππKmmmke πππππππππππ
Unakuta game ya mwisho hyo ya laki na 20 hata wale wadhamini walistuka maninaaa unakuta jamaa anapaka poda mikononi hapo ndo unajua hiki cha kike...
Eeeh ikawaje mkuu
Brother Mimi baada ya kufungwa na demu Leo roho imeniuma sana ndio nikakumbuka huu uzi ππNani kafufua huu uzi? πππ
HahahahaaaahahahaahahahaaBrother Mimi baada ya kufungwa na demu Leo roho imeniuma sana ndio nikakumbuka huu uzi ππ
Kanipiga 40k yanguHahahahaaaahahahaahahahaa
Sichezi huu mchezo last time 2023 nadhani. Sitaki ata kuusikiaMwanangu na mie Leo Kuna bibie kanipuna kimasikhara tu nilimuona zoba kumbe sio πππ
Huu huwa nawapiga mazoba ila Leo nimejichanya brotherSichezi huu mchezo last time 2023 nadhani. Sitaki ata kuusikia
ππSichezi huu mchezo last time 2023 nadhani. Sitaki ata kuusikia
Ana maanisha nini kuja na kifuko cha chumvi?Draft utoboi ukikutana na uyo wa kifuko cha chumvi una pigwa supaa
Ulifanikiwa kumpata ama tuendelee kumtafuta mkutane?Kuna muhuni anaitwa Kete huyu ukimuona Temeke, Manzese au Mbezi mwisho niite nina kisasi nae hawezi kunifedhehesha
Watu wa pwani washa nielewaAna maanisha nini kuja na kifuko cha chumvi?
Ahahahahaπππππππ₯π₯π₯π₯π₯Mwanangu na mie Leo Kuna bibie kanipuna kimasikhara tu nilimuona zoba kumbe sio πππ
Hata mi naurudiaga huu uzi kwa ajili ya kuniondolea stress.Kila nikisoma nacheka najua hii kutu ishawahi nitokea..
Siku hizi betting kwa kucheza pool table imekuwa kawaida sana sijui tatizo ni nini.Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa
Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki mwenyeji hakua na pesa ila kwa uchezaji wa mgeni mwenyeji alipata wadhamini ikafika laki na 20 mgeni akamuambia twende yote mwenyej akakubali mgeni alivyo shika stik game liliisha na ela zikaondoka