Story: Mtu chake...

Story: Mtu chake...

B. VYA BURE VINA GHARAMA




Asubuhi nikashituka, kuamka ni simu inaita, nikaipokea haraka haraka nikidhani kuwa Harrieth karudi!
Kuangalia simu eh ni Shangazi, ananikumbushia kuwa kwake leo kuna sherehe, mjomba amechinja Wanyama anataka kufurahi na watoto wake wote na wajukuu, nikamwambia sawa najiandaa nitoke


Kucheki simu whatsapp hamna cha message ya Harrieth wala nani, hata simu ya Ulumbi haikuwepo!

Nikiangalia saa ni saa 5 asubuhi, nikaoga fasta nirudishe funguo ya watu saa 6 mchana, mara naskia hodi kufungua wameleta breakfast! Doh aibu mtu mzima nikala fasta nikakusanya hela na mikoba yangu nduki mpaka kwangu, njiani roho inanidunda nisije pokonywa maana hela za watu hizi! Nikafika salama nikawahi kuzifungia kwenye safe yangu, jamani Milion 50 sio ya kitoto, oneni tu watu wanaandika kwenye makaratasi lakini ukipewa mkononi unaweza ukafa ukachanganyikiwa!

Nikajiandaa kubadilisha nguo nikaanguka kwa mjomba kwenye sherehe! kufika baada ya kumsalimia Mjomba na shangazi ile nataka kuomba kazi nisafishe chochote au nisaidie chochote nikavutwa mkono na binamu;

Binamu: we jinga kweli Grace embu twende kuna umbea chumbani, hatujaitwa kupika tumeitwa kula na kunywa washapika waliolipwa

Haooo tukadondoka chumbani, doh chumba kikubwa cha binamu yetu wamejaa mabinamu huku utadhani kikao cha harusi cha wachaga!

Baada ya masalimiano na nene! Topiki ikaanza kuzungumzwa, si unajua tena mabinamu tukikutana, mnajazana habari za tangu mlipoachana mpaka leo!

Ila Mabinamu wangu ni wazuri jamani! Yani acha sina mfano wa kukuelezea! Ni Visu Balaaa! Yale matoto ya
Singida balaaa, si mnajua watoto wa Singida walivyoo eee, wako wamgawanyika flani hivi amaizing kama wale katuni wa kwenye magazeti ya SANI, kiuno dondolaaa, Chura Mashaalaah, Mahispi Don’t Lie akajiimbia Shakira!


Rangi zao sasa, wengine weupe ila maji ya kunde ndio wengi, ndio akina sisi!

Hawa ni ndugu zangu upande wa Mama yangu, Mama yangu mzazi ni Mtu wa Singida, Baba ni Mchaga, kwahiyo mimi Grace unaweza niita Halfcast wa Kichaga… ila hao mabinamu zangu ni watu wa Singida Pure … Nikisema Pure namaanisha Baba yao wa Singida na Mama yao wa Singida, okay?
Katika ongea ongea za hapa na pale, kila mtu kafunguka kuanzia tulipochana mpaka leo tumekutana na nini basi Binamu wa miaka 28 akaomba ushauri:


Binamu Miaka 28:

Samahani naomba niwe mkweli nina shida, naombeni mnisaidie kama ndugu yenu wala sijataka kuongea mnifikirie vibaya!

Jaman mimi nina tatizoo, mwenzenu kila nikipata bwana tunaenda vizuri tuuu ila tukifika kwenye michezo ya wakubwa a.k.a Mechi naogopaaaa! Nakimbiaaaa!

Mpaka sasa sijawahi hata kufanya kitu inaitwa Romance hata kukiss sijui!

Mabinamu Wote:

lahaulaaa! … akyanani… Mukombi wa nene? ….Aiseee… ahahahhahahaha…. Majanga haya… Mungu weee… kwahiyo wewe ni Bikra?... Yeeessuuuu na Maria… Mwehu kabisa… unatuaibisha…. Fcku …stupid girl… shubatra …bitch… oh Lord….Jeesuuus criiipeers…Jinga sana wewe.,… huyu kazaliwa saa ngapi?...

Hapo kila binamu aliongea kwa staili yake mimi nikabakia namshangaa Binamu alivyo mzuri jamani Zari Mke wa Diamond Platnumz atasubiria miaka buku! Alafu anasema ni Bikra?! Hii ni mupyaaa!

Binamu Miaka 28:

Mwanaume akitaka kunibusu nasingizia naumwa meno, anahama anahamia kwingine… ila akishatoa mgobole wake tu dooooh! Nikiliona tu nakimbiaaaa naachaga na viatu hapo hapo!

Mabinamu:
hahahahahahahah, oooooooooooooooooooooooo mamaaa ahahahahahhaha yani walicheka mpaka shangazi akaja kusema punguzeni makelele tafadhali.


Shangazi alipoondoka tukaendelea na mastori!

Grace: Kwani shida ipo wapi kwa huyu kuwa bikra?

Kayaleta tumsaidie, kama nduguzake mnatakiwa mumsaidie, tujadiliane jinsi ya kumsaidia kumtukana haileti suluhu, hapa ana miaka 28..bado miaka 2 achungulie 30, hana mume, hana mtoto, wenzake wanaolewaaa wanazaaa yeye yupo



Binamu Miaka 28:

Tena napataga wanaume very potential, wealthy, rich, alafu wanakuwaga wakubwa kwangu kuanzia miaka 40 mpaka 45 ila wakisikia mimi bikra wanakimbiaaa!


Binamu Mchafu: Kwanza embu tueleze mwana wewe una bikra ipi labda?!


Binamu Miaka 28: Kwani kuna bikra ngapi si ipo moja tu?

Wote: wakacheka hawana mbavu… uuuwi kazi ipo hapa ndugu hatuna, muhahahahhahahahhahaha



Binamu Mkubwa: My dia Bikra zipo 6, nitafute kwea muda wako nitakutajia!

Binamu Miaka 28: heee?!

Binamu Mkubwa: umebakisha ngapi sasa tujue jinsi ya kukusaidia?

Binamua Miaka 28: Zote zipo!
MABINAMU WOTE: tunakusahuri uzitoe tu angalau toa 1 basi yaishe… ila ukiitoa moja automatically utakuwa umeshazitoa 5 jumla, utakuwa umebakisha moja ya nyuma! toa wewe, acha uboya toaaa.


Binamu Mchafu: kuna mangi mtaa wa 3 nikupe akutoe vzuuri?
Binamu Mkubwa: Mdogo wangu jamani, ujue wanaume watu wazima hawapendi mabikra sikuhizi, wanawasiwasi akishakutoa je utatulia au utamuacha hapo?! Labda akuoe akakutoe, watu wazima sikuhizi wanapenda wale waliotumika, ili wakapige show za kichokoraa na show zingine tofauti na wanazopiga kwa wakezao!


Yani watu wazima wanaona bora akachukue kuberu lililoshindikanaaa mtaani, limepiga round maishani weeeee na mielekaaa yakutosha likachoka maana wanajua Kuberu likiwekwa ndani litatuliaaa kuliko wewe! Wanakuwa na wasiwasi huooo tu mdogowangu! Dah ila bora umelileta tutakusaidia, damu nzito jamani kuliko maji! Lazima tumsaidie wa kwetu asijeakatuletea aibu!

Binamu Mchafu: Kwa kuanzia atafute mwanaume wa maana kuanzia miaka 37-39 amtoe bikra alafu ampige round weeeeee alafu baadae arudi kwa hao watu wazimaaa. Umri niliokutajia kidogo wanauwezo wa kukutunzia siri na kuwa na speed ya kuitoaa … lakini hapo watachukua kwa kukadiria kima cha chini siku 2.. ukiwapata wale wa 41 kuja juu wanaogopaaa maana speed yao ya kutoa malaika imeshapunguaaa, tena bikra ya miaka 28 mama sio mchezo kuimwagaaa, inahitajika mwanaume mwenye nguvu zakee hawa 40+ washachokaaa, goal 1 hoi, case yako anatakiwa bro aliejaaa akiisimamia masaa 3 inatoka yoteee tena ukafungie bagamoyoo maana maumivu yake utapiga yowe Dar es salaam yote tutaskia!

Alafu usikubali kwenda gesti uchwara sijui manzese sijui kariakoo, kariakoo yote watajuaaaa! lakini umri chini ya 35 watakutangazaa utaisoma nambaaa utachukia Mji unaoishi!



Hivi tukuulize kwanini umeamua kukaa na Bikra mpaka umri huu lakini?



Binamu Miaka 28: Nimeokoka Yesu anakataza kuzini kabla ya ndoa!



Binamu Mchafu: huko Kanisani hamna jamaa akuoe sasa?



Binamu Miaka 28: ah siwapendi hawana hela, wavivu na hawana focus ya maisha!



Binamu Mkubwa: ninachompendea Binamu yangu huyu ni mkeli kuliko maelezo sasa wewe vya Mungu unataka vya shetani unataka, Kanisani hamna wanaume wenye hela kusema ukweli na ukimkuta aliepo kila mwanamke anamtaka aolewe nae huku kwa shetani wamejaa kibao ila ndio wanamatatizo mwanzo mwisho!



Binamu Mchafu: Huku kwa shetani mami, huolewi bikra yani ukiolewa bikra una bahati sana, yani wewe Mungu akushukie mwanaume wako awe mwelewa sana msikae kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwezi ndio utaolewe bikra… la sivyo jiandae kubanjuliwa unapigwa puli mama utanyooshwa mieleka miaka nenda rudi, utalia wewe umeumizwa utalia wewe kwa Mungu mpaka uje umpate wa kukupenda atake kukuoa itakuwa kama huna mimba basi bahati yako imefika!

Kwa shetani pagumu ndugu bora ubakigi huko kwa Yesu .. najua hamuamini kubadilisha mwanaume unachoweza kufanya ni kumchukua mtaani na kumpeleka kwa Yesu ila wasanii nao kibao, anaweza kukuaktia akishakuoa anafungua mikucha!



Inabidi uwe mpole ukubali kubaki sehemu mmoja, naona hata Yesu hakupi wa kukuoa kwasababu bado huna maamuzi mazuri, akikupa aliefulia utamkimbia akikupa mwenye hela utakasirika! Anaona bora akuache tu.



Binamu Mpole: Ah mimi nakumbuka Bikra yangu nilitolewa kijijini kule mtoni, Malaika anachomolewa roho inamwagika inadondokea mtoni.. enzi hizo nilienda Arusha kwa shangazi, doh siwezi sahau, ila hongera sana umejitunza yangu ilitoka nikiwa na miaka 16



Binamu Mjeuri: eh 16? Yangu ilitoka miaka 13, kwenye michongoma kijijini, maumivu mara 3, maumivu ya bikira, maumivu ya mchongoma na maumivu ya machine!



Binamu Mchafu: Yangu nilitolewa kwenye holi la ng’ombe!



Wote: wakacheka ahahahhaha uuuwi Yesu alipozaliwa sio?



Binamu Mchafu: yani sikuhio mimi na ng’ombe tulikuwa tunapokezana zamu ya kulia uzuri mvua ilikuwa inanyesha alafu usiku wa manane! Ila bira imetoka, ningeishia kuwa mbululaz kama huyu bibie hapa! Amekaa kama makamasi yupo yupo tu kila siku anaota!



Enhe Grace tuambie yako ulitolewa ulikuwa wapi?



Grace: Mlima Kitonga kule njia ya kwenda Singida?



Wote: ahahahahhahahaha uuuuwi huyu mchawi huyu ahahahahhaha



Grace: Ajali zilizidi kuwa nyingi nikaamua kwenda kuachilia tambiko pale, nikanyofolewa usiku wa saa 6.. ajali zikakata, so Bikra yangu imeponyesha wazawa wengi, kweli nakwambia hamnaga ajali za kizembe tena tangu sikuhio mpaka leo



Wote: ahahahahahahahahah, tunaomba umpeleke na huyu bibie akafanye tambiko kwengine kwenye matatizo ahahhahahah



Shangazi akaingia haya twendeni mkale Mchungaji ameshakuja anataka aombee nyumba alafu tuingie kula mnapiga makelele sana, twendeni;




Basi kila mmoja akanyanyuka, mimi nikabakia nasubiria wote watoke, nikaona kama Binamu wa Miaka 28 amekasirika, nikamfuata kuongea nae,



Grace: Nambie mami mbona umekasirika, wala usijali, sasa kwanini unataka kuitoa labda nikiuliza? Unaharakia wapi?



Bikra miaka 28: Grace nimeshakuwa mkubwa sioni hata haja ya kukaa nayo!

Nimemaliza shule, nina Degree, Masters, nipo na kazi yangu nalipwa mil 3 Gross Salary, nina Gari, nina Kiwanja nataka kuanza kujenga, ninachomiss ni Mume na watoto!



Grace: sasa unataka nini? Mume au watoto? Unataka kuzaa kwanza ndio uolewe? Ujue kuna single mothers wengi wanahangaika mtaani.. leo una kazi kesho ukaachishwa kazi utamleaje mtoto? Unataka nini kwenye maisha yako?



Binamu Miaka 28: Napenda niolewe nipate watoto ndani ya ndoa!

Grace: Nikikushauri utanisikiliza au umeshaamua kufanya maamuzi yako? Achana na hawa machokoraa wanaokucheka wanakuonea wivu!

Ni kweli hamna mwanaume wa miaka kuanzia 40 atataka apate bikra, washakuwa na wake zao wakitoka nje wanatafuta pa kupoozea sasa hataki kuja kupooza kwenye mihangaiko tena!

Na kumpata mwanaume ambae hajaoa kuanzia miaka 40 ni wachache sanaaa!



Binamu Miaka 28: Kwahiyo unanishaurije nitakusikiliza, nisaidie Dadangu!



Grace: Kaa ujue mapema kuwa wanaume wote ni washenzi, tena hao watu wazima wako ndio balaa… na wewe umejitunza alafu uje umpate mshenzi best unaweza ukanywa sumu ukafa, nakushauri usitoe bikra yeyote kwanza zaidi ya akili, lazima ubadilishe akili yako kwanza, uache kuwa innocent sana, jifunze uchakaramu wa akali… nataka uwe chakaramu kama machangudoa, wanaume wanaogopaga wanawake machakaramu, ukiwa mchakaramu utajua na kumpata atakaekupenda, na ukimpata usikimbilie kulala nae, atakuumiza… mkazie kwanza mvute vute yani unamkazia mwanzo mwisho, akichoka ndio unajidai unataka kumpa lakini usimpe

Hio nakuachia Home work, ila uchakaramu usiwafanyie watu wazima, wanaume watu wazima kwa sasa wablock! Achana nao we kimbizana na hawa umri wako 30 mpaka 39 hao hao ukifanikiwa hapo niite nitakupa mrejesho!



Jinsi ya kuwa chakaramu:

Soma vitabu vya uchakaramu, angalia movies za kichakaramu lakini sio za ngono huko utachanganyikiwa, sikiliza audio za kichakaramu, plz usivae wala kukaa uchi sijui nini hapana, ila akili ya kuambiwa uchanganye na ya kwako best ila usiitoe kwanza nakushauri, mimi nina uhakika kwenye hao hao marafiki zako yupo kijana anaekupenda ni vile unatanguliza kusema wewe bikra



Basi tukaondoka kwenda kula tukanywa na kufurahi, sherehe ikaisha kila mtu akarudi makwao..



Baada ya wiki tatu nikapata simu ya binamu yangu yule wa miaka 28, akaja nyumbani kwangu, ananiambia amefanya yote niliyomfundisha na amepata bwana



Grace: nikakaa kitako nimjue mjanja anaetaka kumsakramenti mdogowangu ni nani, kupewa picha nikachoka! Kweli shetani ni Yule Yule lakini anatumia njia nyingi kumaliza watu wangu wa nguvu, huwezi amini ile Picha ilikuwa ya JITU!



Ndio, JITU mume wa Ulumbi bwana wa Harrieth!



Grace: wow! Huyu ni nani? (Hapo najifanya simjui)

Binamu Miaka 28: Nimempata juzi nilitoka out nilienda South Beach Kigamboni… nipo na marafiki zangu nakula good time na nini mara nashangaa mtu mrefu anakuja anaomba kuongea na mimi, nikajongea kumsikiliza maneno yale yale anaomba namba yangu, nikamkazia kama ulivyonifundisha, akanilazimisha sana, nikamwambia sawa nikampatia akaniomba twende kutembea ufukweni mwa bahari, akanitongoza mpaka, ananiambia atanibadilishia maisha ana hela sana, mimi nikamsikiliza tu lakini naona kwake akili imeganda!



Grace: akili imegandaje?



Binamu Miaka 28: ananipa attention mbayaa, sijawahi kupewa attention kiasi hiki, anapiga simu kutwa mara 10, hadi aibu ofisini, yani hizi wiki 3 zimekuwa amazing kwangu..



Grace: okay! So ushatembea nae?

Binamu Miaka 28: Hapana ulinikataza!

Grace: Umempenda?

Binamu Miaka 28: mmmh sijui kwakweli ila ameniambia yupo singo

Grace: umeshatoka nae Out tangu muonane Kigamboni?

Binamu Miaka 28: ndio kila siku tunaonana nikitoka kazini ananinunulia dinner, tuna kiss ananihug narudi kwangu, sikuhizi ananifuata asubuhi saa 12 nanusu ananipeleka kazini na kunirudisha usiku home baada ya kutoka kula dinner.. ananipenda ananijali wala hajawahi kunilazimisha kulala nae

Grace: ushamwambia wewe ni Bikira?

Binamu Miaka 28: Never sijawahi kumwambia

Grace: umemfanyia mavurugu kama nilivyokufundisha?

Binamu Miaka 28: Ndio

Grace: na akawa anasemaje ukimfanyia mavurugu?

Binamu Miaka 28: anayapenda mafujo yangu sana tu

Grace: kimoyomoyo nasema tobaaa, huyu mjinga anamlia bisi akimkamata mdogwangu atachukia wanaume milele dah sio kwa lile punda la JITU!



Mdogowangu unajua kuna wanaume wanatembeaga na ukimwi! Nadhani hilo bado sijakufundisha!



Sikiliza mdogowangu, huyu JITU namfahamu vizuri sana, ni mume wa rafiki yangu ana Ukimwi, sasa nakuongezea akili ya ziada, wewe mpige hela zake lakini usionane nae ana kwa ana tenaaa… yani upo steji ya mwisho mwisho kubakwa! Yule anakulia timing ahakikishe umekuwa comfortable nae huogopi kuonekana nae unamwamini kifupi ameshakujengea mazingira ya kujiaminisha kwako, Plz plz nakuomba kama huamini hautamaliza wiki huyu bwana atakubakua mpaka utaomba ufe na usiniite!



Kwanza umeharibu kumwonyesha unapofanya kazi na unapoishi, huwezi hamisha ofisi ya watu ila unaweza hama unapoishi, nakushauri hama unapoishi, usionane nae tena live plz plz plz, alafu pokea simu zake mtangazie njaa mwanzo mwisho, baada ya wiki 1 omba likizo mimi na wewe tutasafiri, kumbuka hela ya JITU ni kama ina mashetani, anaeila lazima anailipa na sidhani kwa hali yako kama utaweza malipo ya JITU!



Nakushauri vitu viwili:



    • Mpige hela ndefu hata milioni 100 hata million 800 we mpige utapewa, akikupa hela nyingi hama namba, mimi na wewe tutasafiri kwa siku 28 hatutakaa hapa Bongo, plz fanya navyokwambia ukikosea umeisha!

    • Achana nae yani kata mawasiliano nae usimpige hela zozote, yani kata tu mawasiliano nae akija kwako usifungue mlango mpotezee, akituma hela usimrudishie, akipiga simu usipokee, meseji usijibu akija ofisini kwako usitoke, mkwepe mwanzo mwisho ataacha, itachukua hata miezi 6 lkn ataacha!



Binamu Miaka 28: akaanza kuogopa nikamweka sawa akatulia



Nakushauri kwa mara ya mwisho kwa Jitu hama, yani kimbiaaa kama ulishawahi kukimbia pale paaaaa, paaa omba Mungu akupe mabawa!



Dogo akakubali fresh, akaondoka!



Baada ya wiki 3 nikapokea simu ya Harrieth ananiambia amerudi nimpelekee hela zake kwake, nikaondoka mdogo mdogo mpaka kwa Harrieth, kufika nikamkabithi akahesabu akashukuru, wakati tunataka kuanza stori za London simu yangu ikaita kuangalia ni Binamu wa Miaka 28, nikapokea haraka haraka ananiambia Grace njoo sehemu flani huku Sinza kumekucha kuna gesti yupo hapo amekwama

Tukaondoka na Harrieth mpaka Sinza kwenye hicho kihotel hapo najua binamu kaharibu mbaya

Kufika naona wasichana 2, wamelala wanalia kumwangalia Binamu wa 3 amekaa pembeni analia.. kuuliza kulikoni watu hawaongei nikataka kuita nguvu ya dola ije isaidie maana ni mikelele tu kama mapaka ya usiku



Harrie akafanya kazi ya kuwanyamazisha, wakanyamaza wakakaa sawa, wakaanza kuongea

Binamu wa miaka 28:

Grace dadangu huwezi amini, mimi nimetoka zangu kazini, napata simu ya shogangu ananiambia nije sinza nikaja hapa nakutana na bi shoga mwingine nae kapigiwa simu kaambiwa aje kuingia ndani tunamwuliza mwenzetu vepe uzuri mimi nilikuwa nimesimama mlangoni sijaufunga mara namwona JITU anatokea bafuni yupo mtupu doh kumwangalia na Punda lake nikahisi nakosa nguvu!



Jitu akawa anasema sisi wote tumemchezea na kula hela zake kwa muda mrefu ni siku ya kulipa leo, eh kusikia kulipa huyu mwenzangu akadakwa na Jitu mimi nikakimbia nje!

Nikawa nawaza niite Meneja nikajua tu huyu bwana atakuwa ameshajipanga na Meneja kalipwa asisumbuliwe, basi nikapanga kwenda kuita polisi lakini nikahisi na kule atakuwa anamtu ndio nimekupigia

Harrieth: imekuwaje? Mmebakwa au?

Grace: Bwana wako kaumiza watoto wa watu ona walivyochanika maskini!

Harrieth: ahahahahha! Uuuwi maskini ya Mungu jamani watoto mmezidi lakini mnalipia tama

Binamu Miaka 28: Mimi nimeponea chupuchupu ila kama wanaume wote Duniani wapo kama JITU, naghairi kuolewa bora nizae kwa kupandikiza!

Wote: tukacheka maskini huku watoto wa watu wamelala wanaskilizia maumivu

Tukaishia kuwazoa zoa warembo tukaondoka, nikamwambia Harrieth apitie polisi akawaandikishe wamebakwa ila ndio warembo wajiandae kukutana na waandishi wa habari

Warembo wakakataa katu katu hatutaki, tupeleke kwa rafkietu tukalale, rafkiao akakataa akasema bora twende kwa Dada Grace mimi pale nimeshahama na sitaki mtu ajue!

Baada ya kufika nyumbani kila mtu akiwa ameshatulia na kula chakula tukawauliza imekuwaje, wakaanza kutuhadithia kuwa walimfahamu JITU kupitia Binamu wa miaka 28, sikuile walipokuwa Soth Beach Hotel, Binamu alivyoondoka mmoja wa rafkiako alibakia, Jitu alipomwona akamfuata na kuanza kumtongoza akakubali

Rafiake mwingine na Binamu nae akasema sikuwahi kutongozwa na JITU lakini nashangaa niliona ananipigia simu wiki 3 zilizopita ananifuata kazini anakuja kunitoa out michezo kama aliofanyiwa Binamu lakini wao hawakujua kuwa Michezo ya JITU mwisho wake ni malipo!

Jitu aliwaosha kwa pesa na pesa kila siku anawapa pesa wakaona bwana wa kumchuna ndio huyu kumbe kuna siku yao ya kuchunwa!

Sasa hotelini alienda na mmoja wakawa wanajiandaa kwa mechi rafkiake Binamu alipoingia bafuni JITU akachukua simu akatuma sms kwa rafkiake mwingine na Binamu na Binamu pia kuwa waje guest house namba flani, haraka kuna mtu amemkamata, ndio wote wanakutana na kuingia kumkuta mwenzao amelala mtupu analia, walipomsogele JITU akatokea bafuni akamkamata mmoja na Binamu akakimbia



Watoto wa watu walipigwa Punda kwa kubadilishana alafu kawafungia na kuwarekodi! Anawaambia Pesa zangu mmekula, shopping nimewapeleka leo na mimi nataka mnipe raha.. wakiwa wanaongea simu zao zikaingia message whatsapp, kuangalia ni video toka kwa JITU, kawarekodi maskini walivyokuwa wanapigwa mechi watoto wa watu wanalia mbayaa, wanapiga mikelele Jitu unatuua mpaka wanamaliza na JITU anaondoka anawaacha wanalia na kupumulia mdomo na maskio

Nikaiangalia ile video nikaona jinsi gani shemji yangu JITU alivyo katili, huyu baba sijui free mason au sijaelewa alafu anarekodi watoto wa watu yeye amejificha sura amevaa mask, dah akaniachia mawazo huyu shemeji, sijui Harrieth huko London kulikuwaje..

Binamu Miaka 28: akanifuata akanikumbatia, ananiambia asante sana dada Grace nisingekusikiliza leo ningekuwa nakandwa kama wenzangu wanavyokandwa na Harrieth huku analia



ITAENDELEA KESHO TAR 15 SEPTEMBER 2018 SAA 7 MCHANA YA TANZANIA
 
Siti ya mbeleee kabsa😀
n

Nshachukua siti hapa😀😀
Nimewaelewa sana nasubiri muendelezo tu

Usije ukanilaza na alosto
Ila wanawake sisi unakubalije kuliwa na shemeji yako jamani ila mume wa ulumbi shikamoo kwa mguu wa punda woiiiiii
JITU anaenda kuua mtu [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
😎😎😎
MZIGO UMESHUKA PAGE YA 7 JOMOON
 
Nisichopendea hizi stori zinakuwaga kama sirizi za kiAsia amaKizungu

Yaani ukishaanza kuzisoma hutamani iishe

Unataka kila wakati episode mpya ziwekwe

Alafu mwisho wake huwa tofauti na vile unavyotaka uwe....zinakuumiza moyo (japo ni zakufikirika)
Thank you Sweetness..... 😂😘
Ha ha ha ha.. Very intriguing story.. Unistue itakapoendelea part inayofuatia😀😀
Duuuh hii story kweli balaaa,
Asante sana!
nimesoma stor zako nyingi tu ila hii iko vizur maana unakaa unasubir mwisho wake maana mwanagwa acje akakosa kutembea tu duh
MKUJEEE
MZIGO UMESHUKA PAGE YA 7 JOMOON
 
  • Thanks
Reactions: sab
Dah nimeishia njiani sijui nitamaliza lini
Usijali,unajua mpaka nimeulizwa hapa kwani kp kmekufanya uko_concentrate hivyo na simu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio mishe gani hujanitag Mkuu.
Imekaa poa, Inaitwa hainaga ushemeji.
lol hela naipenda siachi kwenda asee Japo naeza rudi nachechemeaa... punda nuksiiiiii




cc Smart911
MJEEEEE
MZIGO UMESHUKA PAGE YA 7 JOMOON
 
Back
Top Bottom