Story: Mtu chake...

Story: Mtu chake...

Mwambie aje nimtoe bikra niondoe mikosi ya jiwe.
Stori iko poah nimeifuatilia between a line
 
Haa haa duh jitu si kwa ukatili huo jamani naipimia k ya ulumbi ilivyo siipatii picha kabisa kwa hlo guu la mtoto maana siyo mguu tena
 
Haa haa duh jitu si kwa ukatili huo jamani naipimia k ya ulumbi ilivyo siipatii picha kabisa kwa hlo guu la mtoto maana siyo mguu tena
Hehehehe
Punda Classic baby
 
C. MOONLIGHT LADY - 1985



Baada ya lile sakata la jana nikawaacha warembo wamelala, Harrieth kaondoka kaniacha kaenda kuongea na JITU anataka kumchamba kwanini amewarekodi watoto wa watu kwenye simu

Mimi nimemkataza lakini hajasikia.. nikaona usiku ni mwaka nikaamua kwenda kumalizia sikukuu yangu mjini, nikampigia simu shogangu aje anipe kampani;

Nikadondoka mpaka IT PLAZA, HIGH SPIRIT LOUNGE nikakaa zangu huku Napata wine na kusikiliza mziki mzuuuri huku napunguza stress.. wakati nimekaa nasikiliza Mziki huku namsubiria shogangu mara wakaingia wakaka kama 4 wakaja wakakaa nyuma ya kochi nililokaa, mimi nipo buzy nawaza na kuwazua jinsi JITU alivyowatenda watoto wa watu na jinsi gani Binamu yangu ameponea kwenye mdomo wa mamba, sijui alichukua pesa za JITU au alikataa kama nilivyomuelekeza, unajua hawa watoto bwana akili zao wanazijuaga wenyewe lakini!.. anaweza akasema hajachukua kumbe ameshakula hela kibao, na anaweza akasema ni bikra kumbe ameshabingirita mudaaa sasa anajikosha, nikiwa nawaza na kuwazua hawa watoto siwamalizi mara nikashtushwa na maongezi ya wakaka waliokaa nyuma ya kochi langu wakiwa wanabishana. Maongezi yao yalikuwa hivi;

MJEDA WA KWANZA
mwanamke mwenye ngozi nyeupe sio mtamu kama mwenye ngozi nyeusi
MJEDA WA PILI
Mwanamke mweusi sio mtamu kama mwanamke mweupe
MJEDA WA TATU
Mwanamke maji ya kunde ndio mwisho wa matatizo



Wakabishana hapoo mara shogangu akaingia, shoga kapendeza kaulamba mbayaa! Walipomwona shogangu wote wakageuka wanamtizana maskini shogangu kidogo aanguke maana sio kwa ile minjicho!

Shoga: niaje we mnyama!

Grace: nikacheka maana shogangu ana fujo balaa, nakuona sikuhizi umekuwa mswahili ukiitwa unachelewa lisaa li1

Shoga: yani we acha tu nilikuwa nampa utamu shemeji wako si unajua mpaka nikombeleze utamu ndio naweza kutoka, nimemwacha amelala anahemea pua mdomo na masikio… vp wewe mumeo umemtupa wapi mbona simwoni?

Grace: yani wewe hujaacha tu, huku wale wakaka wanamwangalia bado shogangu.. nikamsogelea shoga nimamwambia hawa wakaka wamekuelewa kweli unaonaje ukiwaalika waje wakae hapa walikuwa na topiki yao walikuwa wanadiscuss wewe ndio umekuja kuwavurugia!

Shoga: akageuka, hello Boys! Hw are you?

MIJEDA: hi, hey, mambo, niaje mrembo

Shoga: Mnaonaje mkija kukaa na sisi tukaendeleza ile topic mliokuwa mnadiscuss kabla sijaja?

MIJEDA: wakashangaa, mmoja akainuka na mwingine na mwingine wakaisha!

Tukasalimiana pale wanaume wakajitambulisha

MJEDA WA 1: Naitwa Moses

MJEDA WA 2: Naitwa Hassan

MJEDA WA 3: Naitwa Baraka

Grace: oh jaman nashukuru kuwafahamu, naitwa Grace na huyu ni best yangu sana anaitwa Money Penny!

WAJEDA: Money Penny?!

Shoga: Yes ndio jina langu, kwahiyo mlikuwa mnaongelea utamu wa rangi za wadada mmeishia wapi sasa?

Moses: Mimi naona wadada rangi yako watamu sana

Hassan: we si ulisema weupe ndio watamu huyu dada sio mweupe ni maji ya kunde

Moses: Na wewe Hassan ulisema weusi ndio wazuri sasa kwa Money Penny unatafuta nini?

Baraka: Mimi pekeyangu nilisema rangu ya Money Penny hapa ndio tamu au sio my dia?

Money Penny: ahahahahahaha! Kwahiyo nyie wote mabikra au?

MIJEDA: hapana

Money Penny: nyie wote mmetembea na wanawake wangapi mpaka sasa?

Moses: 15

Hassan: 35

Baraka: 20

Money Penny: na mna umri gani?

Moses: 29

Hassan: 32

Baraka: 35

Money Penny: ndio maana mna maongezi ya kitoto! So nyie wote mmeoa au?

MIJEDA: noooo bado

Baraka: wanawake wa sikuhizi pasua kichwa hatuwezi kuoa kabisa,

Money Penny: kwahiyo nyie wote hamna mademu mnapiga na kukimbia sio?

MIJEDA: hapana, ila wanawak wa sikuhizi wanatupa mazingira ya kuwapiga na kuondoka… hatujawahi kuwapata wale wife material, hawapo!

Money Penny: mnadhani mimi ni wife material au?

MIJEDA: wewe ni zaidi ya Wife material

Hassa: Money kwani wewe umeshaolewa?

Money Penny: nimeolewa mama watoto 3 na wajukuu 5

MIJEDA: NOOOOOOO WAAAAAAY, unadanganya!

Money Penny: nina miaka 48

MIJEDA: huo uongo sasa

Money Penny: hii hapa driving licence yangu angalieni

MIJEDA: wakaidaka fasta fasta, wakaangalia kweli kazaliwa mwaka 70, duuu! Mbona mzuri hivi… dah wajanja wanajua kuwahi na kutunza

Money Penny: Mnadhani mkipata mwanamke mnaweza kuwapenda na kuwatunza wakifika 48 wafanane kama mimi au mnaongea tu? Tatizo lenu nyie mnaonekana waoga hata nikiwapa mdogowangu mtampiga mtakimbia

MIJEDA: Hapana Dada, tupe tu! Lakini Dah shemeji huyo tunaomba ututambulishe maana sio kwa uzuri huu utadhani una miaka 25?

Money Penny: ahahahahahha, ila kwa kujibu Maswali yenu ni kwamba hakuna uzuri wa mtu kumzidi mwingine kila mwanamke Mungu kamuumba Mzuri na ana utamu wake! Ni kwamba nyie wote hamjakutana na wake zenu, mkiwapata hata akiwa albino mtasema ni mtamu kuliko mwenzake!

Ni muda tu ukifika hamtaongea kama mnavyoongea sasa!

Mwisho wa siku mtaendelea kubadilisha mabucha wakati nyama ni ile ile!

MIJEDA: basi tunaomba utusaidie namba ya wadogo zako kama hutojali maana kama dada mtu yupo hivi hao wadogo sijui itakuwaje!

Wote: tukacheka, na kuendelea kuongea pale, Money Penny akawaahidi kuwapa wadogo zake ambao hana kama wataonana tena, wote wakabadilishana namba na Money Penny, wakarudi kukaa kwenye kochi zao wakiamini kabisa atawapa wadogo zake.. sisi tukaendelea na maongezi yetu!
Money Penny: mama mbona waonekana umechoka au shem karudi nini?

Grace: goooooooooooooooooorl, goooooooooorul! Acha tu nipo na wadogo zako hapo nyumbani kwangu natamani hata kuhama mtaa, nikamweleza A to Z za yaliotokea… nikamwelezea kuhusu Shogangu Ulumbi… nikamwelezea kuhusu Harrieth… nikaja kumwelezea kuhusu shemeji yangu pasua kichwa anaitwa JITU!

Money Penny: JITU MANYANGA?

Grace: Yes unamjua?

Money Penny: kakutaka au?

Grace: of course nikamkataa

Money Penny: Unakataa hela?

Grace: hey! Embu nambie kwanza umemjuaje JITU

Money Penny: hakuna asiemjua JITU, we mwulize JITU kuhusu Money Penny atakueleza nilichomfanya!

Grace: ulichomfanya?

Money Penny: nishakula hela zake sana hakuna bwege kama Yule! Kabla hajamuoa huyo shogako ULUMBI, Yule bwanake alikuwa anataka kunioa mimi

Grace: oh nooo! Kwahiyo na wewe ushapita kwa JITU

Money Penny: unataka niongee au utaongea wewe?

Grace: basi endelea mama

Money Penny: Yes nilishmdate JITU miaka ya zamani kabla sijaolewa, kwao wazazi wake wanahela chafuu, Jitu kwao wana hela mbayaaa, Bikra ya kwanza JITU nimetoa mimi upoo?

Grace: Peeenyyy! Wewe wa kumtoa JITU BIKRA si amekuharibu?

Money Penny: kaniharibu?

Grace: ina maana wewe una bwawa?

Money Penny: skuelewi unaongea nini anti bwawa ndo kivipi?

Grace: kwani hujui kuwa JITU ana machine kama ya PUNDA? Ameliza kila mtu kuanzia mkewe, Harrieth mpaka marafiki za binamu yangu!

Money Penny: ahahahhaha kumbe ni JITU makubwa! JITU katoa wapi dude kubwa?

Grace: kwani zamani alikuwa na bamia?

Money Penny: ndio tulichoachania nacho!

Grace: heee!

Money Penny: habari ndo hiyo!

Grace: nimechanganyikiwa jamani embu rudia tena

Money Penny: bwana unanichosha! Unanilipa au ujue me nina uchaga nusu!

Grace: how much unataka?

Money Penny: unauhakika unaweza kunilipa?

Grace: taja bei

Money Penny: Milion 5

Grace: unakichaa

Money Penny: unataka ukweli?

Grace: sina hela

Money Penny: kachukue kwa jitu

Grace: nooo sio kwa lile punda

Money Penny: akanipokonya simu yangu, ukitaka nimfanye JITU aache kutesa watoto wa watu nahitaji Milion 5 nitakusaidia, akaanza kutafuta namba ya JITU akasevu kwake, akatuma sms kwa JITU akahakikisha imeenda akanirudishia, ole wako utume kingine nasubiria jibu ndio nikuhadithie

Grace: nikachoka huyu mwanamke sijui vepe ananiharibia, kucheki nikakuta kaandika - MoonLight Lady – 1985

Nikiwa katika kushangaa, mara simu ikapigwa nikaitupa kwa Money Penny, haya sasa ongea nae anapiga

Money Penny: akapokea,

JITU: Money is this you?

Money Penny: I miss you!

JITU: what? How? Si umekufa wewe?

Money Penny: Sijafa!

JITU: haiwezekani na kaburi lako wamenionyesha

Money Penny: kwani huyu unayeongea nae ni nani?

JITU: Grace unanichezea akili au?

Money Penny: wala huhitaji kujichetua,

JITU: Siamini Money Penny kama upo live

Money Penny: nipo

JITU: nataka kukuona!

Money Penny: haiwezekani

JITU: Kivipi?

Money Penny: Dola laki 1 kuniona

JITU: Sielewi

Money Penny: unakumbuka ile joint akaunt tulifunguaga pamoja?

JITU: ndio

Money Penny: kaniwekee dola account yake ninayo unabadilisha tu pale kwenye…. Kila week weka dola 5000 zikishafika dola laki 1 nakupigia kwa namba yangu uje kuniona.. nikakata simu

Grace: macho yanamtoka, JITU akapiga tena, Money Penny akachukua simu yangu akaiblock ile namba,

Money Penny: hama namba kesho sawa?

Grace: siwezi hama namba

Mone Penny: tena hama namba andikisha jina la mwanao Yule wakike usiandike lako huyu mjinga ataenda kukufuatilia
Grace: unajua umeniudhi leo umeniletea makesi ya kijinga mimi nina matatizo ya kunitosha

Money Penny: hayanihusu matatizo unayalea mwenyewe na ukiendelea kukaa na hio namba huyu mjinga atakusumbua mpaka kwanza ataanza kukutrack simu yako kila ukienda anajua hama namba nakuambia yani kama mimi wewe leo leo ningechomoa nikaitupa kwenye sinki la chooni hapa hapa

Grace: unajua nimekasirika

Money Penny: dola kai 1 kwa rate ya leo inasoma tsh 2200 kwahiyo nitapata million 220,000,000.

Grace: hawezi kuweka!

Money Penny: umemzaa au?

Grace: hapana

Money Penny: Mbona unamsemea?

Grace: hela nyingi sana

Money Penny: hela zangu au zake? We inakuhusu nini?

Grace: unajua Yule ni free mason, kila mtu anaeshika hela yake lazima ailipe!

Money Penny: na mimi ni Free Jesus, aje na makorokocho yake name nakuja na Damu ya Yesu

Grace: Damu ya Yesu haifanyi kazi kwa wapiga panga kama wewe

Money Penny: Yesu mwenyewe alisema muwe wajanja kuliko nyoka! Sasa kama JITU ni nyoka mimi zaidi ya nyoka!

Grace: sasa nikishachomoa line

Money Penny: kwanini hujampiga hela zake lkn?

Grace: sina tama

Money Penny: ndio maana umebakia na shida zako, doh, kazi huna, hela huna, umeachika, upo upo tu

Grace: sasa unavuka mipaka

Money Penny: nisipovuka mipaka utakuja kuhamia kwangu, wewe una miaka 33 hujisomi unajidai umeokoka umekuwa fala kabla hujaokoka! Si bora urudi kuwa wa zamani? Alafu unaokokaje hauishi na mumeo wa ndoa

Grace: haya hayakuhusu

Money Penny: alafu mwisho leo kuniomba hela ya rent kama unaniambia hayanihusu

Grace: poa

Money Penny: Ngoja niondoke nirudi kwa mume wangu, wengine tunachunga ndoa zetu maam nakushauri uchunge na yako.. akaondoka ameniachia matatizo juu ya matatizo hata kurudi nyumbani naogopa!



Nikakaa pale kama lisaa limoja natafakari maneno yake, akaja waiter nikalipa hela yangu nipo tayari kuondoka mara namwona JITU huyo anaingia mwenyewe kama anatafuta mtu!



Doh Grace kidogo ninye, nikainama, akapita akaenda chooni nikakimbia nikatoka, nipo kwenye lift nikakumbuka kuchomoa like, dah nikachukua peni fasta nikajiandika namba ya simu ya mume, mama na baba nikazima simu nikachomoa line lift ikafunguka nikaitupa line ndani ya lift nduki, nikaingia kwenye gari, ile natoka namwona JITU anashuka kwenye lift ameshikilia sim card anacheka doh Money Penny noma, pa kwenda sina naona kama atanikamata JITU, nikaenda moja kwa zote kwa Money Penny, kufika mumewe anashangaa vepe Grace mbona umetujia usiku wa saa 7 kuna nini?

Grace: namtafuta mkeo

Money Penny: mama umekuja kunitukana na kwangu?

Grace: amenifuata Yule mtu

Money Penny Mume: nani anakufuata?

Money Penny: mmh! Haya twende ukalale, huyu amelewa mume wangu twende huku

Nikapelekwa chumba cha kulala, Money Stars ananivuta na kunifinya ole wako uongee chochote kwa mume wangu ntakuchinja stupid girl! Kufika chumba cha wageni nikatupwa kwenye kitanda kama gunia, asubuhi mume akiondoka tutaongea lala, akachukua simu yangu akaondoka nayo!

Grace: sikujua saa ngapi nililala lakini asbh niliamshwa kama nipo jeshini nimemwagiwa maji ya bariiidi dah na zile hangover za jana nilitamani kulia… bibie amesimama mbele yangu ameshikilia Panadol

Money Penny: Meza hizi dawa, una masaa 3 kukaa kwangu uondoke

Grace: nikafanya kama alivyotaka, nikaingia kuoga kurudi nakuta ameniwekea mfuko, gauni na kikoti, nikavaa nikakusanya virango vyangu huyo nikajongea sebuleni

Money Penny: chai hio kunywa uondoke!

Grace: nikakaa kunywa chai maskini

Money Penny: simu yako nimeitupa, hii simu nyingine na line kanunue kwa jina la mwanao, umeniingiza kwenye matatizo mimi nilishakufaga mwaka 90 sasa ole wako ukaongee kwa mtu yeyote…

Grace: macho yananitoka kuangalia ni Iphone6s.. simu ambayo nimeitamanije, sijawahi kuwaza kuimiliki na hizi ni Milion5,

Money Penny: Pale ulipo umeshahama. Taxi ikija itakupeleka… ukifika mwulizie… mwambie nimekuja kwa ajili ya nyumba… utakaa hapo mpaka nikwambie uhame… Yule JITU ameshaweka dola 5000 kwenye akaunt leo asubuhi.

Binamu yako nimeshaongea nae leo asubuhi nimemwambia umesafiri simu umepoteza kama kuna chochote ongea na mimi, virago vyako vipo kwenye gari yangu taxi ikija utahamishia, hamna kuwasiliana na mtu zaidi ya mumeo, wazazi, mtoto na mimi.. Harrieth mpotezee kwa sasa na Ulumbi..Ukiharibu usikanyage kwangu nitakufukuza kama mbwa hunijui ee?

Grace: macho yananitoka najiuliza bado naota au nimeamka!


Money Penny: Nikimaliza kunywa Juice ndio mwisho wa maongezi yangu!



MWAKA 1985

Nikiwa na miaka 15, nilikutana na JITU akiwa na miaka 20


Tulipendana sana, tukakaa kwenye mahusiano miaka 2 mechi zote tumepigana lakini hakuwa na PUNDA nashangaa umenionyesha kituko jana kwenye simu sijaelewa katoa wapi, nikajua tutaoana, sikumoja akanikaribisha kwao nikapokelewa vizuri na Mama yake akanipenda sana ila Baba yake sikumwona niliambiwa amesafiri kikazi.. kwao kulikuwa kuzuri mno kama ulaya ndogo!

Tukawa kwenye mahusiano yeye yupo Chuo Kikuu Mlimani mimi namalizia form 6 Tambaza High School,

Shule ilipoisha na kumaliza mitihani mimi na mashosti zangu tukaenda kujirusha Mziki mambo ya Happy time, usiku wa Ijumaa tunaenjoy groove night na nini tunajikumbushia miziki ya kikwetu kwetu old school Fulani hivi amaizing… Mara akaja Baba m1, akakaa pembeni anatuangalia tunavyoserebuka! Mimi sikumwona na siku hio JITU hakuwa na mimi nilijiiba na marafiki zangu tukatoka, JITU alikuwa na pepa ya j3 yake nikaona nisimsumbue!

Lile libaba likaja moja kwa moja kwangu,


Baba: hey you


Money Penny: Hi (Ya Mkato)


Baba: naomba nicheze na wewe, maana katika wadada wote hapa mimi nimekuona wewe tu,

Mashosti: aaaaah embu kwenda zakoo

Baba wa watu haogopi wala nini, kaning'ang'ania mpaka nikaenda kucheza nae


Nikiwa nainuka Yule Baba akawaambia she's my moonlight lady, hata sijali mtakachosema:


Mashosti wakawa wanacheka

Hapo nimevaa bonge la umini, baba amekolea anacheza mara anishike kiuno basi vurugu. Tukacheza mziki wa Moon Light Lady wa JULIO IGLESIAS


Tukiwa tunacheza akaniambia jina lake Mr Manyanga! Sikuelewa hilo jina maana sikuwahi kujua kuwa jina la JITU ni Manyanga, aliniambia anaitwa JITU Peters!

Nikamwambia nashukuru kukufahamu Mr Manyanga,

Mr Manyanga: wewe ni msichana mzuri sana, nimekuona tu nimekupenda, una miaka 15 tu au?

Money Penny: nikashangaa huyu baba kajuaje umri wangu?


Mr Manyanga: nataka kukupa ofa nzuri sana itakayobadilisha maisha yako!

Nataka uachane na mwanangu JITU

Money Penny: nikasimama kucheza, unasemaje we baba?

Mr Manyanga: umeniskia sana, narudia nataka uachane na mwanangu JITU


Money Penny: kwanini?


Mr Manyanga: Mwanangu hawezi oa kwenu! Ndoa yake ilishapangwa muda sana akimaliza shule nampeka Uingereza anaenda kufundishwa kitajiri, wewe ndio unamzibia bahati yake


Money Penny: Nikataka kuondoka akanishika mkono kwa nguvu, kama unataka kubaki mjini nifuate!


Kuangalia pembeni naona ma-body guard wanamsubiria nikajua leo nafwa maana hata nikipiga kelele haisaidii kuna mziki mnene!


Nikaongozana na Yule mzee mpaka alipokaa, akachukua kitabu chake cha benki akaniuliza ulishatamani kuwa na hela kiasi gani kwenye maisha yako?


Money Penny: mbona sikuelewi baba kuna sehemu nimekukosea au?

Mr Manyanga: Taja au unataka nikuondoe bila malipo sina muda wa kupoteza! Huyu ni mwanangu wa pekee wa kiume na hakuna kitu kitakachoingilia na mipango yangu!

Money Penny: Nataka

Mr Manyanga: Yes ngapi?


Money Penny: nampenda sana mtoto wako siwezi kuondolewa kwake kwa pesa, upendo wetu hauwezi kununuliwa kwa pesa wala mali.

Mr Manyanga: Jitu anajua upo hapa na mimi?


Money Penny: hapana

Mr Manyanga: kwahiyo umemdanganya? Ina maana humpendi mwanangu

Money Penny: ana mitihani j3


Mr Manyanga: milioni ngapi kuondoka kwenye maisha ya mwanangu?

Money Penny: Milion 800 (Niliitaja nikijua hana)

Mr Manyanga: akaandika cheki 20, kila moja ina million 40 nikajua huyu anazingua haya makaratasi tu na mimi najuaje kuhusu pesa ndio kwaaanza nimemaliza form 6 cheki hizi sijui kutumia

Mr Manyanga: akaunt namba yako mpya ni hii, kila baada ya miezi 6 peleka cheki moja moja watauliza waambie nimetumwa na Mr Manyanga

Money Penny: kama ya uongo je?


Mr Manyanga: uje nyumbani kwangu unishitaki kwa mke na mwanangu, sijawahi kuwa mwongo ni vile hunijui

Hizi hela ukizitumia vizuri utasoma kokote Duniani na utafanya biashara yeyote Duniani

Na ukitaka niwe referee wako maishani mwako niambie

Ila kaa na mwanangu mbali


Money Penny: plz naomba basi niwe nae mwisho mwisho amalize mitihani yake tafadhali


Mr Manyanga: sawa, na ukijibebesha Mimba utaniona kwa rangi nyingine
Money Penny: ivi namuachaje mtu nimependana nae?
Mr Manyanga: akimaliza mitihani, mwambie aje Hotel Kilimanjaro, chumba namba… tutakuwa wote, atatufumania, atakasirika atakuacha na wewe utaondoka Money Penny: kuna msamaha Mr Manyanga

Mr Manyanga: Binti yangu hujawahi kutana na fumanizi, maandalizi yake nitakusaidia!



Tangu hapo sijawahi kumwona tena Mr Manyanga, nachojua nilipoenda kuweka cheki ya 1 ikakubali na ile akaunt ya benki alinifungulia yeye ilikuwa ya kweli maskini, nikawekewa hela zangu za kwanza mil 80 zikaingia ndani ya miezi 2… sikuamini, nikaenda kutoa laki 1 sikuamini.. kweli kuna MaDON sikuwahi kuamini!



Nikarudi nyumbani kumweleza sista wangu akaniambia hapo hapo kazia hela itakutoa maisha, kwani Tsh ngapi?




Usiku wa Tukio la kufumania ukafika bwana, hapo kweli ndio niliona rangi nyeusi ya Mr Manyanga!



Kweli JITU akaja kweli akatufumani kama Baba yake alivyopanga, JITU alikasirika sana, akaniuliza kwanini baba yangu? Nikamwambia hauniridhishi kama Baba yako, Baba yako ana Machine kubwa wewe una ndogo siwezi tena,

Jitu alikasirika, akaanza kupiga vitu anatupa meza, anarusha chupa, mimi nalia maskini JITU, Baba yake akavaa pensi akashuka kumshika, anambembeleza, mimi nikanyata nikavaa nguo fasta, ile nataka kutoka nikashikwa na JITUu nikapigwaa Baba yake amekaa pembeni anavuta sigara, nilipigwaa mpaka nikazimia, ndio babake akainuka, akamzuia, kunishika akamwambia hapumui mwanangu umeua!



JITU: akachanganyikiwa hakuamini, mimi nimekaza roho sipumui si moja ya mpango, Baba yake akamtoa haraka, nenda kaite mabodi gadi, wakaja JITU kachanganyikiwa, Mabodi gadi wakanitoa fasta kama napelekwa hospitali, JITU na Babake haooo wakaondoka.. mimi nikashushwa kwa sista, yeye na babake wakaenda kwao!



Mr Manyanga akatengeneza msiba feki uswazi akamwonyesha mwanae, mwanae akaenda kutoa pole zake akaondoka, baada ya mwezi mmoja JITU akaonyeshwa kaburi na babake pale Kisutu kwa nyuma makaburi ya Upanga! Kaburi feki limetengeneza na jina langu kabisa!

Ndio JITU akaamini nimekufa, shule yake iliisha akaondoka kwenda kufanya Masters Uingereza na mimi nikaenda kusoma Marekani kwa Dada yangu!



Aliesimamia Visa ya Marekani ni Mr Manyanga na Bank statement alitoa Baba Yake JITU!



Stori ya alimuoaje Ulumbi anayo mwenyewe JITU, utafuatilia kwa muda wako..



Na hilo dyudyu kubwa atakuwa ameongezea alipoenda kusoma Masters nina uhakika, nadhani ameongeza kwa kunikumbuka!

Ahahahahah JITU BWANA! Ameenda extra mile kuwakomesha watoto wa watu!

Akijua sikufa anaweza akaua mtu asee!

Yule bwana bado ananipenda mpaka leo kaweka hela natamani sana kuonana nae ila ndio mume asijue!



Sasa wewe unataka kuniharibia kuwa nimefufuka, unataka kuua wazee wa watu au?



Grace: JITU amejuaje akaunt namba yako?



Money Penny: Baba yake alifungua hio akaunt alifungua zinafanana



Grace: Moon Light Lady maanake nini? Kwanini umeandika Moon Light 1985 Akakumbuka na kupiga?



Money Penny: Tulifahamiana 1985 na kupendana na huo wimbo ndio ulikuwa wimbo wetu tunaupenda, tulionana wakati huo wimbo unapigwa mziki!

Baba yake alifanya kukopi … sijui Yule Mzee Manyanga bado yupo au amekufa sijamwona miaka 30 sasa!



Taxi imeshakuja mama tutawasiliana ukishapata namba nipigie!



Grace: nikaondoka nimejaa stori za ajabu kichwani nimechanganyikiwa naona dah mbona kama ni uongo lakini kama ukweli!





MUENDELEZO MKUJE HUKU MABESTI WANGU BONYEZA LINK HII HAPA MBELE KUENDELEA 👉 👉 👉 👉 https://www.moneystarstories.com/mtu-chake/

cc: Aikambee Ekuweme sab BAK Demiss joanah moneytalk
 
Mwambie aje nimtoe bikra niondoe mikosi ya jiwe.
Stori iko poah nimeifuatilia between a line
ENDELEA KUSOMA UTAJUA
Talanta ya uandishi
AWW ASANTE SANA

Aisee punda ni shigid shedaah😀😀😀😀
Binamu na wenyewe wana Baraa!!
Nasubiri muendelezo sister usisahau kunitag!!
NJOOO

Money saa 7tayari mkuuu tunasubiria mtiririko kwa hamu
NJOOO

Smart911 mahondaw

JAMANI MZIGO UMESHUKA HAPO JUU KARIBUNI
 
Back
Top Bottom