Ndio mapenzi yenyewe hayo. Ingekuwa chuki ungeliambia ni libayaLakini mi nimeliambia tu kuwa ni lirembo wala si maswala ya mapenzi...😂
- Fuata Maelekezo ya KakaKiiza hapa:👉 Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??Namimi naomba unifundishe, nalichatishaje hilo liroboti huko whatsap
Asante sana, nimeweza na leo nimejifunza kitu kipya.- Fuata Maelekezo ya KakaKiiza hapa:👉 Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??
Mmh hiyo ni kweli lkn,au ni binadamu wawasiliana nae,unatuzuga??
Ni kweli ni li roboti, nimefuata maelekezi yaliyowekwa hapo juu na ikatokea kweliMmh hiyo ni kweli lkn,au ni binadamu wawasiliana nae,unatuzuga??
Asante sana, nimeweza na leo nimejifunza kitu kipya.
Mfano waweza uliza: Je ni hatua zipi napswa kufua ili kununua Gari iliyotumiwa na mtu mwingine?
Sawa mwalimu, nitafanya hivyo
- Tumia AI kuuliza maswali magumu, iwe ya kisheria, masomo, kimahusiano, Afya, kilimo, kazi nk:
- Hakika utaweza kujifunza mengi.
Mfano waweza uliza: Je ni hatua zipi napswa kufua ili kununua Gari iliyotumiwa na mtu mwingine?
Nafikiri wanatakiwa waliongezee uwezo pia mfano picha, mtu unaweza kuhitaji ramani ama muonekano wa kitu fulani.. vilevile inaonekana halipo update sana kuna baadhi ya vitu ukiliuliza linaleta taarifa za wakati uliopita!
- Tumia AI kuuliza maswali magumu, iwe ya kisheria, masomo, kimahusiano, Afya, kilimo, kazi nk:
- Hakika utaweza kujifunza mengi.
Mfano waweza uliza: Je ni hatua zipi napswa kufua ili kununua Gari iliyotumiwa na mtu mwingine?
Mimi hapaSidhani kama kuna mtanzania hajawahi kuyachatisha haya maroboti mambo ya mapenzi.
watanzania tunajuana