Story na chatGPT la WhatsApp, ona lilivyonijibu..

Ndio mapenzi yenyewe hayo. Ingekuwa chuki ungeliambia ni libaya
Halafu linakuwa kama linazoea hivi!, halafu muda mwengine linajitoa akili unakuta nawewe linakuita mrembo!.. ukilisema linaomba msamaha..🤣
 
  • Tumia AI kuuliza maswali magumu, iwe ya kisheria, masomo, kimahusiano, Afya, kilimo, kazi nk:
  • Hakika utaweza kujifunza mengi.

Mfano waweza uliza: Je ni hatua zipi napswa kufua ili kununua Gari iliyotumiwa na mtu mwingine?
Sawa mwalimu, nitafanya hivyo
 
  • Tumia AI kuuliza maswali magumu, iwe ya kisheria, masomo, kimahusiano, Afya, kilimo, kazi nk:
  • Hakika utaweza kujifunza mengi.

Mfano waweza uliza: Je ni hatua zipi napswa kufua ili kununua Gari iliyotumiwa na mtu mwingine?
Nafikiri wanatakiwa waliongezee uwezo pia mfano picha, mtu unaweza kuhitaji ramani ama muonekano wa kitu fulani.. vilevile inaonekana halipo update sana kuna baadhi ya vitu ukiliuliza linaleta taarifa za wakati uliopita!
 
Kinyeo...
 

Attachments

  • Screenshot_20250415_130328_WhatsApp.jpg
    249 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…