Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Nimemwambia nenda ukachomekwe pembe la ng'ombe utusini,achana na zanzibar na wazanzibar
Mimi ni Mwafrika Ufugaji wa Ng'ombe ni Asili ya Mwafrika, kamwe sitolamba makalio ya Sultani wa Kiarabu.

Halafu niwaulize ninyi Machotara mbona mnapenda kuenzi upande wa Mwarabu huku mkidhihaki upande wenu wa Uafrika? Kumbuka ukienda Uarabuni wewe ni Al Abidi tu hata kama una Damu ya Kiarabu.
Mnahitaji mapinduzi ya Kifikra.
 
Wanabodi,

Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar

Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu.

Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu na kuniuliza the source, ni ya kuaminika?.

Ndipo nikampigia kaka yangu mwingine yuko Zanzibar, Kaka SSS, akacheki na Oman.

Hili ni jibu kutoka Oman
C&P

Hii ni jawabu la famila yake👇🏼

“The article reflects fantasy and fiction and readers should be warned of its fake news content.

The former Sultan has absolutely no desire to return to Zanzibar where memories still linger of the atrocities committed by the murderous indigeneous mobs and outsiders.

To date the revolutionary government hasn't apologised to the families whom lost their loved ones on 12 January 1964. Instead the genocidal events are lavishly celebrated annually by the government of the Island of Zanzibar.

Justice will be served on Resurection Day and the perpetrators will receive their long overdue punishment for their role in the crimes against humanity."

Mwisho wa kunukuu.

Asanteni sana kaka zangu Chale na SSS kuniwezesha kuupata ukweli huu.

Paskali
kwa nini hawataki babu yake wapemba aje? na ikiwezekana arithi mikarafuu yake aliyoiacha ili waswahili wabaki na ardhi ila mikarafuu juu yake ni ya mwarabu kama ilivyokuwa zamani.
 
Mimi ni Mwafrika Ufugaji wa Ng'ombe ni Asili ya Mwafrika, kamwe sitolamba makalio ya Sultani wa Kiarabu.

Halafu niwaulize ninyi Machotara mbona mnapenda kuenzi upande wa Mwarabu huku mkidhihaki upande wenu wa Uafrika? Kumbuka ukienda Uarabuni wewe ni Al Abidi tu hata kama una Damu ya Kiarabu.
Mnahitaji mapinduzi ya Kifikra.
Kama kuchomekwa pembe kunakuboa,basi vutwa antenna ifike size ya dole la Kati,Ili ukimwaga maji(kachabari) umwage kama bomba la mvua
 
Sultani wa Kiarabu na ukoo wake waliotajirika na Biashara ya Utumwa wa Waafrika wenzetu atafia huko huko alikombilia zitabaki Story tu za hapo zamani za Kale.
 
Hoja yao kwenye utumwa, Zanzibar lilikuwa ni soko tuu, wao wanaletewa, ila hawakamati, Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama walipanda hasira baada ya kunituhumu kuwa mimi ninachuki na Wazanzibar, na mimi nilivyo open and transparent, si nikafunguka jinsi ninavyowapenda dada zao na kila nikija Zanzibar, lazima nile vyakula vya Kizanzibari... Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? Ikawa kesi!, walikasirika hao na wakaja juu kama moto wa kifuu!.
P
Hapo wakubwa tumesha Elewa haikuwa chakula Hiki cha kawaida kama chakula 🤣🤣🤣🤣🤣

Ndio maana waka kumaind
 
Hata Ufalme wa Uhabeshi ambao ni Ufalme wenye umri mrefu kabisa sawa na Mafarao wa Misri lakini ilifikia Wananchi wakauchoka na ukaondolewa.

Mwami wa Rwanda ambaye falme zao inapita kwa umri hata Masultani wa Omani lakini waliondolewa halafu kuna Watu wanalialia kuondolewa kwa Sultani wa Kiarabu.

Hata huko Swaziland/Eswatini vuguvugu la kuuondoa Ufalme lipo.
 
Chotara yeyote asiejielewa lazima amuone hivyo, lakini Waafrika wanaojielewa na haswa PanAfricanists Okello yumo ndani ya Mioyo yetu.

Endelea kula matunda ya Pan Africanism ya CCM mkuu, uwe usilalamike sana tu wakati wa maumivu
 
Endelea kula matunda ya Pan Africanism ya CCM mkuu, uwe usilalamike sana tu wakati wa maumivu
Mimi ugomvi wangu na CCM ni hii style yao ya Utawala wa Authoritarianism na kuiba Kura Rushwa na ukandamizaji wa Demokrasia lakini siku wakibadilika wakaheshimu Demokrasia CCM itatuvutia sisi Wazalendo.
 
Tangu Mungu amchukue JPM na Rais akawa Samia kuna chuki na nongwa imezaliwa huku bara.

Samia anaweza kufanya mema kumi na baya moja lakini hilo baya litaongelewa na kupewa kipaumbele kama vile hayo mema sio lolote.

Kuna chuki ya kijinga inakuzwa miongoni mwetu lakini Mungu ni zaidi ya ubaya wowote wa binadamu.
Ukweli huwa haujifichi, wanaotunga habari za uongo muda utawaumbua tu.
 
Hata Ufalme wa Uhabeshi ambao ni Ufalme wenye umri mrefu kabisa sawa na Mafarao wa Misri lakini ilifikia Wananchi wakauchoka na ukaondolewa.

Mwami wa Rwanda ambaye falme zao inapita kwa umri hata Masultani wa Omani lakini waliondolewa halafu kuna Watu wanalialia kuondolewa kwa Sultani wa Kiarabu.

Hata huko Swaziland/Eswatini vuguvugu la kuuondoa Ufalme lipo.
sultan mwenyewe ukimwangalia sio mwarabu, ni wale koko, hata akienda pale nzega kwa waarabu wa nzega ndogo atanyanyapaliwa na waarabu wa kibongo. utumwa wa fikra.
 
Back
Top Bottom