Kaseja ana tatizo lake kubwa la kuchukua h.... Na ndilo lililosababisha Simba wamuache.Juma ni kipa bora wa muda wote Tz,ila timu za kariakoo ndizo zinazostaafisha wachezaji mapema sana,yaani wakikukataa tu nawewe ukakosa msimamo lazima upotee kweli
Hizo ndiyo story za vijiweni,Kaseja huwa hababaishwi na viongozi wa kkoo ndiyo maana wanamuona jeuri maana hataki ujingaKaseja ana tatizo lake kubwa la kuchukua h.... Na ndilo lililosababisha Simba wamuache.
Watanzania ni watu wa kutapatapa sana ktk suala la michezo hawana msimamoKaseja bado ni Tanzania One, Manula hata benchi hastahili kuwepo, hakuna kitu pale
Wewe unajua Mpira wa miguu, umechambua vizuri. Mashabiki wengi wa Tanzania Wana mihemko na wafuata upepo.Manula alipata majeraha kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Harambe stars.
Kaseja na Manula hawana tofauti kubwa sana kihivyo kama ni penalty manula huwa anazicheza nyingi tu kama kaseja.
Manula ni mzuri kwenye one against one situation kuliko kaseja.
Kaseja ni Bora kwenye long balls kuliko manula.
Manula ni mzuri kucheza krosi kuliko kaseja.
Kaseja ni Bora kwenye kucheza dead balls kuliko Manula.
Wote wanauwezo mzuri kucheza mipira ya chini kwa kiwango kinachofanana.
Concentration uwanjani kaseja anamzidi manula ndiyo maana Manula hufungwa magoli mengi ya kushitukiza.
Manula anaongea vizuri na defence kuliko kaseja ndiyo maana makosa ya defence akiwepo kaseja yanakuwa mengi hata jana miscommunication uwanjani ndiyo iliyosababisha goli la Burundi.
Anticipation manula ni mzuri kuliko Kaseja ndiyo maana manula hafungwi goli nyingi za one against one situation.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Huyo manula toka alipopewa nafasi siku ya kwanza national team hajawahi temwa for 4 years now utasemaje Hafai ?
Tuache ushabiki mandazi
Hahah Mkuu ya kweli hii?!Mkuu usinichukulie poa
Hafu ki nacheza saba mzee isingekua mambo ya udaktari ningekua mchezaji nyota sana sema nliamua ku deal na fani moja ya kuokoa maisha ya watu
Tulisema Amunike alikuwa hana muda wa kuwafahamu wachezaji na inawezekana alikuwa anawekewe majina ya starz mezani. Hii combination ya makocha wazawa na huyu mrudi ambae kafundisha timu zetu na bado anafundisha hapa nchini imeonyesha ahueni kwa team yetu stars ata kama jana wangetolewa lakini walipambana tofauti na kikosi cha Mnageria.
Umesema vyema mkuu.. ila kumuweka Mnata hapo sijui umempandishaje?Baada ya Kaseja kutupwa na vilabu vikubwa na kutimkia Kagera nilipata nafasi siku moja kushuhudia mechi moja ya ligi kuu na golini alikuwepo Kaseja.
Kwa namna alivyocheza ni wazi umri si hoja kwani aliweza kufanya kazi ambayo inatakiwa ifanywe na golikipa yeyote yule akiwa langoni kwake.
Alipokuja KMC nilifurahi kuona akiwa yule yule wa siku zote awapo golini, Sikuwahi kukubali kuwa Aishi Manula ni golikipa namba moja hapa nchini.
Ukiondoa Juma Kaseja basi golikipa mwingine mwenye uwezo wa kufanya maajabu langoni ni Kakolanya.
Manula alipata bahati japo siyo kipa wa kutisha awapo golini, ana mapungufu mengi.
Juma Kaseja.
Beno Kakolanya.
Metacha Mnata.
Unamjua buffon vizuri wewe!?Buffoon kipawa chake kilishakwisha zamani tu!
Kaseja umeishi ukimwona tangu ujanani ujana gani huo?
.
Kaseja mpaka sasa bado ni kijana sio mzee yule.
Kipimo sahihi nimeshakitaja ambacho ni Sudan na timu itakapopangwa kwenye makundi ya FIFA
Jan tunaleta jangwani kaseja aje pension yakeManula alipata majeraha kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Harambe stars.
Kaseja na Manula hawana tofauti kubwa sana kihivyo kama ni penalty manula huwa anazicheza nyingi tu kama kaseja.
Manula ni mzuri kwenye one against one situation kuliko kaseja.
Kaseja ni Bora kwenye long balls kuliko manula.
Manula ni mzuri kucheza krosi kuliko kaseja.
Kaseja ni Bora kwenye kucheza dead balls kuliko Manula.
Wote wanauwezo mzuri kucheza mipira ya chini kwa kiwango kinachofanana.
Concentration uwanjani kaseja anamzidi manula ndiyo maana Manula hufungwa magoli mengi ya kushitukiza.
Manula anaongea vizuri na defence kuliko kaseja ndiyo maana makosa ya defence akiwepo kaseja yanakuwa mengi hata jana miscommunication uwanjani ndiyo iliyosababisha goli la Burundi.
Anticipation manula ni mzuri kuliko Kaseja ndiyo maana manula hafungwi goli nyingi za one against one situation.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Huyo manula toka alipopewa nafasi siku ya kwanza national team hajawahi temwa for 4 years now utasemaje Hafai ?
Tuache ushabiki mandazi
Mkuu nilijua utasema Tatizo watu wa siku hizi wabishi sana......
Si yule wa PSG wanayemtungua sasa hivi watakavyo, au unamzungumzia yule aliyekuwa anachezea Juventus Turin?Unamjua buffon vizuri wewe!?
Unaongea tu,buffon sasa hivi ni kipa wa juve,huko psg alishaondoka,amerudi nyumbani,halafu huyo kipa wako manula yy atunguliwi?Si yule wa PSG wanayemtungua sasa hivi watakavyo, au unamzungumzia yule aliyekuwa anachezea Juventus Turin?
.
Note; najua kama ni mtu mmoja
Mzee hapa hatuzungumzii siasa za Simba na Yanga hapa tunazungumzia uwezo wa Kaseja na ilitokana na Santino kubeza uwezo wa Manula kwa ngebe za kiwango cha lami kabisa.Unaongea tu,buffon sasa hivi ni kipa wa juve,huko psg alishaondoka,amerudi nyumbani,halafu huyo kipa wako manula yy atunguliwi?