Story ya kurudi kwa Juma Kaseja, Aishi Manula na Rais wa Dar

Mzee Kaseja hajapata kipimo sahihi tulia hivyo hivyo maneno yako yasije kukung'ata siku moja.
.
Sudan is coming
Makundi kwenye kutoa mataifa (10) yatakayo cheza head to head ili kupata watakaokwenda Qatar yanakuja
.
Akivurunda usije geuza maneno yako
Exactly. Nashangaa watu wanakuwa wepesi kutoa conclusion kwa mechi mbili za raundi ya awali, bila kujali kwamba mechi hizi huwa ni za timu zinazokuwa dhaifu. Yaani kumpima Kaseja kwa mechi ya Burundi, ni sawa na kumpima Kabwili au Kindoki kwenye mechi ya raundi ya awali dhidi ya timu ya Shelisheli, kisha kuja kumuita kuwa ni golikipa bora
 
Sijawahi kumkubali manula kwakweli

Uwepo wake simba nauvumilia tu ila hakuna kitu pale.
 
Mkuu, naona umekomaa kuwalinganisha Kaseja na Manula kupitia mikwaju ya penati dhidi ya Wakenya. Kenya ya AFCON aliyodaka Manula na Kenya ya CHAN aliyodaka Kaseja ni timu mbili tofauti kabisa, ile ya AFCON ina professional strikers kama Michael Olunga na Victor Wanyama.

Nijuavyo mimi (I stand to be corrected), si lazima kwa kipa mahiri katika michomo ya dakika 90 au 120 kuwa mahiri pia katika michomo ya penati. Likewise, si lazima kuwa kipa akiwa mahiri katika kupangua michomo ya penati pia anakuwa ni mahiri katika michomo ya kawaida ndani ya dakika 90 au 120. Ukweli huu unapata support na pale ambapo hutokea makocha kumchezesha golikipa fulani kwa muda wa kawaida, na kumfanyia substitution kuingiza golikipa mahiri wa penati. Penati si lazima ziamuliwe na golikipa, bali hata mpigaji.

Kwa hali hiyo, nilitazamia uwapime Kaseja na Manula kwa umahiri langoni ndani ya dakika za kawaida maana hizo kesi za kupigiana penati hutokea mara chache sana tena si katika michezo inayoendeshwa kwa ligi, ila mtoano
 
Sijawahi kumkubali manula kwakweli

Uwepo wake simba nauvumilia tu ila hakuna kitu pale.
Ni vyema kutoa mapendekezo pia badala ya kuishia kusema 'simkubali'. Unamkubali au unapendekeza nani awepo langoni Simba?
 
Manula huyu huyu anaefungwa goli tano tano kila siku ndio wamkulinganisha na Kaseja?
 
Miaka 19 anacheza soka hakuwahi kupata kipimo aje kukipata leo kwenye mechi ya Sudan!!!

Acha kuchekesha watu. Hao magolikipa wazuri watakaompiku Kaseja wamepata vipimo lini wao?

Unapoteza nguvu na muda wa muda wako.

Kwa miaka ya hivi karibuni, baada ya Mohammed Mwameja kustaafu, ni Kaseja pekee anayestahili kuitwa Tanzania Wani.

Na mpaka sasa hakuna wa kumtoa kwenye lango.
 
Kakolanya anatufaa zaidi kuliko huyu mtumia ndumba manula.
Kinachotuponza wabongo ni kila mmoja kujifanya mjuaji. Kakolanya na Manula wote wapo kambini na makocha, halafu leo mtu asiyejua hata timu inafanyia mazoezi wapi anakuja kuchagua mchezaji wa kupangwa. Nadhani unaenda na mkumbo wa upepo tu, ila kama kweli unafuatilia soka hasa mechi alizocheza Simba ugenini mwaka jana, magoli aliyookoa Manula kama angekuwa kipa mwingine yoyote mtanzania, bao zingekuwa zaidi ya zile.
 
Kakolanya ametuthibitishia kwamba si lazima tufungwe ugenini

Tumetoa droo na Songo japo tulishambuliwa sana,
Unamlinganishaje na huyu sweta manula, ambae kila shuti linalopigwa langoni kwenu ni lazima uwe na wasi wasi

Au goli tulizofungwa na nkana pale kwao ushazisahau?
 
Mkuu, huwezi kumpima mchezaji kwa mechi moja au mbili halafu ukakimbilia kutoa conclusion. Yaani kutoruhusu goli Msumbiji basi tayari unaconclude kwamba Kakolanya huwa haruhusu magoli ugenini? Anacheza peke yake? Mbona sababu nyepesi sana?
 
Umeongea kitaalamu, na sio ngonjera!
 
Ulikuwepo wapi muda wote kiongozi yani nilikuwa nikibishana na watu wenye uelewa fulani hivi (i don't offend them) lakini daaah
 
Unapoteza nguvu na muda wa muda wako.

Kwa miaka ya hivi karibuni, baada ya Mohammed Mwameja kustaafu, ni Kaseja pekee anayestahili kuitwa Tanzania Wani.

Na mpaka sasa hakuna wa kumtoa kwenye lango.
Ni wazi kabisa ndivyo ilivyo.
 
Umesema vyema mkuu.. ila kumuweka Mnata hapo sijui umempandishaje?
Mnata ana safari ndefu kutuaminisha kama ni kipa mzuri ila hajafika kuwa hapo.
Kaseja
Manula
Beno
Kaseja, Manula, Kalolanya tukiacha hawa magolikipa kwa sasa ni makipa gani wako kwenye kiwango hapa nchini?
 
Mkuu, huwezi kumpima mchezaji kwa mechi moja au mbili halafu ukakimbilia kutoa conclusion. Yaani kutoruhusu goli Msumbiji basi tayari unaconclude kwamba Kakolanya huwa haruhusu magoli ugenini? Anacheza peke yake? Mbona sababu nyepesi sana?
Manula ni shati bhana, huna haja ya kumpima kakolanya kwa mechi nyingi ili ubaini ubora wake

Mchezaji mzuri huonekana siku ya kwanza tu unapomuangalia uwanjani,
 
Hawa watu wanaomdharau Manula siwashangai sana.
Ila kumlinganisha na makipa ambao hata mechi 3 / 4 kudakia taifa bado ndio wananishangaza aisee.
TFF wangetoa tuzo za msimu ulioisha bado kipa bora angekuwa Manula.. ni kipa aliyefungwa goli chache na mwenye mafanikio makubwa kwa msimu huo.
Hii tuzo Aishi ameanza kuibeba toka yuko Azam na amekuja Simba ameendelea kuibeba.
Sasa hawa akina MNATA + BENO hawakuwepo..?
Kipa anaipeleka Starz AFCON, anaifikisha SIMBA ROBO FAINAL CAF CL, anabeba ubingwa wa ligi mara 2 mfululizo.
Watu bhana.
 
Aron Kalambo, Rashid Abdallah, Bidii Hussein hawa ni moja magolikipa wazawa ambao wanaweza kuleta ushindani wa wao kwa wao japo watakaa kimadaraja.

Hata kabla kuitwa kwa Kaseja mimi niliamini hakuna golikipa mzuri nchini kwa sasa kumzidi Kaseja. Golikipa namba mbili kwangu kwa sasa hadi atakapopatikana mwingine wa kukaa kwenye hiyo nafasi ni Kakolanya.

Siwezi kumbeza Manula ila hana uwezo wa kupambana na hao makipa niliotaja.
Metacha
Tinoko n.k
hawa wanaweza kuwemo 10 BORA ila sio 3 bora mkuu.
 
Manula ni kipa mwenye mapungufu mengi hawezi kuwa bora hata kama akiwa na safu bora ya ulinzi.
Manula ni shati bhana, huna haja ya kumpima kakolanya kwa mechi nyingi ili ubaini ubora wake

Mchezaji mzuri huonekana siku ya kwanza tu unapomuangalia uwanjani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…