Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Exactly. Nashangaa watu wanakuwa wepesi kutoa conclusion kwa mechi mbili za raundi ya awali, bila kujali kwamba mechi hizi huwa ni za timu zinazokuwa dhaifu. Yaani kumpima Kaseja kwa mechi ya Burundi, ni sawa na kumpima Kabwili au Kindoki kwenye mechi ya raundi ya awali dhidi ya timu ya Shelisheli, kisha kuja kumuita kuwa ni golikipa boraMzee Kaseja hajapata kipimo sahihi tulia hivyo hivyo maneno yako yasije kukung'ata siku moja.
.
Sudan is coming
Makundi kwenye kutoa mataifa (10) yatakayo cheza head to head ili kupata watakaokwenda Qatar yanakuja
.
Akivurunda usije geuza maneno yako