Story ya kurudi kwa Juma Kaseja, Aishi Manula na Rais wa Dar

Manula ni shati bhana, huna haja ya kumpima kakolanya kwa mechi nyingi ili ubaini ubora wake
Mchezaji mzuri huonekana siku ya kwanza tu unapomuangalia uwanjani,
Ungekuwa kitengo cha usajili ndio unasajili mtu kwa mechi 1 uliyomuona?
Sikatai ubora wa hao makipa wengine ila sio kwa hoja hz.
 
Watu wanatubeza tunaomponda manula ila ni kweli kwamba katika shuti 3 zinazolenga golini kwa manula, shuti 1 lazima liwe goli

Huyu jamaa ana bahati tu lakini si bora kuwazidi kakolanya na kaseja.
 
Ungekuwa kitengo cha usajili ndio unasajili mtu kwa mechi 1 uliyomuona?
Sikatai ubora wa hao makipa wengine ila sio kwa hoja hz.
Simba tuliwajaribu Lamine na sydney kwa mechi moja moja tu na tukabaini hawana cha maana, na ni kweli hadi leo sydney hana kitu

Mkuu mchezaji mzuri hajifichi.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Eti Mnata na Beno hawakuwepo!

Unajua Beno kacheza mengi ngapi akiwa Yanga, Mnata umeanza kumsikia lini?

Siku zote timu za top 4 ndizo mara nyingi hutoa wachezaji bora wa msimu (kipa, washambuliaji, mabeki, viungo nk)

Huyu Mnata angekuwa kipa bora lini na timu aliyokuwa anachezea ilikuwa kwenye msitari wa kushuka daraja msimu uliopita! Huyo Beno ametoa Tanzania Prisons anakuja Yanga bado hakuaminiwa wakati huo yupo Youth Rostand, Baada ya Rostand kuondoa Beno alicheza mechi ngapi zenye kutosha kumpa ushindani dhidi ya Manula ili wachuane kwenye tuzo ya kipa bora?
 
Unapoteza nguvu na muda wa muda wako.
Kwa miaka ya hivi karibuni, baada ya Mohammed Mwameja kustaafu, ni Kaseja pekee anayestahili kuitwa Tanzania Wani.
Na mpaka sasa hakuna wa kumtoa kwenye lango.
Kwa sasa hata mimi nafurahi baada ya Kaseja kurudi tena golini pamekuwa patamu kwa makipa.
Manula aliitwa Tz one sababu hakuwa na mpinzani... huyo kaseja alikuwa kama muda wake umeisha.
Sasa angeitwaje tz one wakati hakai langoni..? Kaseja akitulia atakaa sana langoni kwa sasa labda kocha abadilishwe.
 
Manula ni mbovu ila ndiyo kipa namba moja tuliyekuwa naye (tuliyenae)
Watu wanatubeza tunaomponda manula ila ni kweli kwamba katika shuti 3 zinazolenga golini kwa manula, shuti 1 lazima liwe goli

Huyu jamaa ana bahati tu lakini si bora kuwazidi kakolanya na kaseja.
 
Simba tuliwajaribu Lamine na sydney kwa mechi moja moja tu na tukabaini hawana cha maana, na ni kweli hadi leo sydney hana kitu
Mkuu mchezaji mzuri hajifichi.
Kumpima mchezaji kwa mechi moja sio sawa sana..
Kakolanya ni kipa mzuri kabla hajaenda Yanga, hivyo pia Manula kabla hajaenda Simba.
Ninachoshukuru pale Simba Manula kapata challenge sahihi kama ni Mistake atapunguza.
 
Tumuite tu golikipa wa timu ya Taifa, hiyo Tanzania Wani haimfai.
 
Sasa mkuu.. kama alishindwa kupata namba dhidi ya Rostand na unakiri mwenyewe kuwa hakupata mechi nyingi za kuprove ubora wake kuwa kipa bora, sasa hv amecheza hizo mechi nyingi ??
Ndio maana kuna coment yangu nimesema hata Mnata apewe muda aonyeshe ubora wake hapo Yanga sababu ndipo ataonekana vzr zaidi.
 
Manula ni mbovu ila ndiyo kipa namba moja tuliyekuwa naye (tuliyenae)
Yea uko sawa mkuu ni kweli manula ndio kipa wetu namba moja kwa sasa ila haituzuii kumkosoa ili ajilekebishe

Maana amekua na makosa mengi mno.
 
Ngoja ninywe chai ntapitia the niupitie vizuri huu uzi...
 
Kumpima mchezaji kwa mechi moja sio sawa sana..
Kakolanya ni kipa mzuri kabla hajaenda Yanga, hivyo pia Manula kabla hajaenda Simba.
Ninachoshukuru pale Simba Manula kapata challenge sahihi kama ni Mistake atapunguza.
Hakika mkuu manula anahitaji kujilekebisha, maana makosa mengine anayofanya ni utoto kabisa

Zamani hakua hivyo.
 
Tumuite tu golikipa wa timu ya Taifa, hiyo Tanzania Wani haimfai.
Tanzania one oG amerudi.. Juma K Juma.
Halafu hili jina au sifa ni nyakati ndio zinaamua hivyo.. Ndio maana leo Manyika au Mwameja ni zilipendwa muda wao umeisha.
Kaseja akitoka, Manula, Beno au Mnata ataitwa jina hilo.
 
Buffon bado anadaka,Casilas bado anadaka japo baada ya kuumwa ilisemekana angestaafu,hizi team za kkoo ndiyo zinawaharibia wachezaji wa Tz,na wakikukataa hata national team huitwi maana ndiyo wanaoshawishi nani aitwe au asiitwe,mfano kuna beki bora sanaTanzania prison's anaitwa Kimenge LA beki ila hawezi itwa hadi aje mjini kwanza kkoo au chamanzi
 
Tanzania one oG amerudi.. Juma K Juma.
Halafu hili jina au sifa ni nyakati ndio zinaamua hivyo.. Ndio maana leo Manyika au Mwameja ni zilipendwa muda wao umeisha.
Kaseja akitoka, Manula, Beno au Mnata ataitwa jina hilo.
Manula ni shati mtoe hapo
 
Ndiye golikipa aliyecheza saves nyingi zaid Afcon
2 games 14 saves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…